little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,465
- 4,862
Hawa mi huwa naona wanatafuta attention tu tangu nigundue hilo sijawahi kufungua hata nyuzi zao huwa wanafanya makusudi kutafuta likes tu. Mtu timamu kabisa anayejitambua hawezi fanya hayo.Mkuu mbona unaulizwa swali la kijinga sana?siyo la laxima kila post uonekane ume comment
Wanaonufaika tu hawaropoki hivyo.