udsm

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. and 300

    Matriculation Exam UDSM ilipunguza vilaza

    Wakuu mtakumbuka miaka ile kuingia UDSM hata Kama una Division One ya point 3 Lazima ufanye na kufaulu Matriculation Exam. Tofauti na Zama hizi za Dot.com jitu linamaliza chuo hata kuandika sentensi mbili za kiingereza halijui. Ptuu
  2. J

    Wanasiasa kama Tundu Lisu mnapotumia msamiati wa " Jalalani" mnakosa uzalendo kwa UDSM!

    Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani" Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli. Maendeleo hayana vyama!
  3. P

    UDSM hii mmewakatisha na kupunguza ari ya kufanya kazi kwa hao vijana wenu

    UDSM mlitangaza nafasi kwa watumishi wa umma kuhamia, na katika tangazo lenu mliweka mpaka scale za mishahara kwa ambao watafanikiwa kupata nafasi hizo. Mdogo wangu ni mmoja wa watu waliofanikiwa kuomba nafasi hizo na kufanikiwa kupata! ana siku kadhaa sasa toka ameanza kazi hapo...
  4. Tripo9

    Umbea tu: Kwa wale vijana wa 1982 (Achana na kilaza Bashite) waliopitia UDSM hasa wa mabibo hostel yule mdada alikua anaitwa kitimoto yu wapi nowdays

    Niko naangalia video music ya Harmonize hapa ya "Falling in love". Kamtumia mke wake yule muitaliano kama Video Queen. Dah mweupe balaa kanikumbusha yule mdada wa miaka hiyo ya UDSM alikua akivuma sana hasa kwa waliokaa mabibo hostel alikua anataniwa kiti moto. Nadhani alikua Law yule. Yuko...
  5. Valencia_UPV

    Kelele za Muziki maeneo ya UDSM

    Wakuu nilipeleka mgonjwa pale kituo cha afya UDSM-Main Campus. Tukiwa pale Kama masaa MAWILI mfululizo. Panapigwa muziki kwa kelele zote. Najiuliza wanafunzi na wagonjwa wanawezaje kuhimili Yale makelele? Serikali ya mtaa, Chukueni hatua
  6. Analogia Malenga

    UDSM yatengeneza nyungu ya kidijitali, fukiza bila majani

    CHUO kikuu cha Dar es Salaam chatengeneza dawa ya kujifukiza (Nyungu) ambayo imetengenezwa kwa mfumo wa kisasa zaidi ambapo hutumii majani ya miti lakini unatumia mafuta tete. Akizungumza na Michuzi Blog Meneja mradi kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, Stephan Nyandoro amesema kuwa dawa ya...
  7. Mzukulu

    SAUT wameanza kwa mfano huu bora naomba sasa UDSM, Mzumbe, CBE na hasa hasa IFM nanyi Muwaige

    Chuo Kikuu cha Mt. Augustino Tanzania (SAUT), Mwanza kimewafuta kazi wahadhiri watatu kwa makosa ya kujihusisha na rushwa ya ngono na wanafunzi kwa nia ya kuwapa upendeleo kwenye mitihani. Chuo hicho kimesema vitendo hivyo havikubaliki na kuwataka wanafunzi kuendelea kuvifichua. Chanzo...
  8. sychellis

    Ni njia zipi za kukuza GPA kama ikitokea umemaliza Chuo na GPA ndogo

    Wakuu naomba mwenye ujuzi anijuze njia zipi unaweza kutumia kukuza GPA kama ukimaliza na GPA ndogo. na pia nataka nijue ukimaliza chuo na GPA chini ya 3 unaweza kupata kazi
  9. madola

    Waliosoma BCOM UDSM na shida ya vyeti vyao kwenye ajira

    Kama mnakumbuka miaka ya nyuma wale waliosoma BCOM University of Dar es salaam walikuwa wanamajor au wanachagua kwenye core kozi mwaka wa pili kama utasomea accounting,human resources, management science,finance au banking. Lakini ukimaliza chuo mwaka wa mwisho vyeti vyao havikuandikwa kwamba...
  10. Nelson Kileo

    Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

    Hii sasa imegeuka kama style flani hivi kwa sasa na hii inafanyika mikoa mikubwa especially Dar na Arusha. Kina dada wamegeuza sehemu hiyo kua fursa ya kufanya ufuska wao mwingine. Mtu unajiuliza gym hakuna? Basi kama gym gharama, hakuna maeneo special kwa ajili ya hayo mazoezi? Au labda...
  11. Victor Mlaki

    Mzee wa Upako awananga Wanafunzi wa UDSM kwenye kipindi cha tutashinda Channel 10 leo jumamosi 25/4/2020

    Nimemfuatilia kwa karibu sana mwanzo mwisho na nilichojifunza ana mafundisho mazuri sana ila kuna kosa kubwa amefanya la kutaka Wanafunzi wa UDSM kuwa ni wakosoaji wa Watumishi wa Mungu huku wakiwa hawaelewi chochote kuhusu imani. Anaendelea kusema Utumishi ni taaluma unapaswa kuheshimiwa na...
  12. J

    Wasamaria wema watoa msaada wa vyakula kwa watu walio katika Karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM

    Wasamaria wema kutoka katika jumuiya mbalimbali za kijamii jijini DSM wametoa msaada wa vyakula na maji safi ya kunywa kwa watu walio katika karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM. Mmoja wa wasamaria hao amesema walipata taarifa kuwa baadhi ya watu walio katika karantini hawana hata...
  13. Suley2019

    Mwanafunzi wa UDSM akamatwa kwa kusambaza taarifa na Takwimu za uongo za Covid-19 WhatsApp

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mwaka wa Tatu Kitivo cha Kiswahili Mariam Jumanne Sanane (23) kwa kosa la Kuchapisha na kusambaza taarifa na takwimu za uongo kuhusu Corona kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Whatsapp. Akitoa...
  14. J

    NCCR Mageuzi: Abadani hatutaruhusu nchi kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja. Mbatia adai alifukuzwa UDSM akipigania mageuzi

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi amesema wale vijana wadogo kwenye Siasa wanaodhani watairudisha nchi hii kwenye mfumo wa chama kimoja wanajidanganya na kuota ndoto za mchana. Mbatia amesema alifukuzwa Chuo Kikuu pale UDSM tarehe 10/02/1992 siku ya Jumatatu kwa sababu ya harakati zake za kupigania...
  15. J

    Mbowe: CHADEMA tunaamini kwamba umaskini ni laana na kila mwanachadema ni tajiri rohoni mwake

    Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake mzee Freeman Mbowe amesema chama chao kinaamini kuwa Umaskini ni laana na kwahiyo wataendelea kuhubiri sera ya utajirisho. Mbowe amesema kila mwanachadema ni tajiri wa Roho hivyo wanakerwa sana na viongozi wa CCM wanaoukumbatia umaskini. Mbowe...
  16. Luqman mohamedy

    Profesa Ndalichako aagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi

    Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua. Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa. ===== Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
  17. beth

    Butiku awapa wasomi mtihani wa Katiba Mpya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha nyingi. Aliyasema hayo jana, wakati wa kumbukizi ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Chuo...
  18. Victor Mlaki

    Hatimaye Chuo cha Dar es Salaam kimeanza kuzingatia uvaaji wa mavazi kwa wanafunzi

    Leo nimefarijika sana kuona Udsm by laws ikiradidi maelekezo kutoka kwenye nyaraka mbalimbali za watumishi wa Umma kuwa kuanzia sasa ni muhimu kuzingatia maelekezo ya nyaraka za mavazi.
  19. S

    Kubadilishiwa matokeo ya mtihani - UDSM

    Jana natokea zangu chuo niko kwenye daladala ya Tegeta pembeni kuna mtoto mkali akapigiwa simu kwa maelezo niliyosikia kwa upande mmoja ni kuwa huyu binti alifanya mtihani wa Supplementary matokeo yametoka hakufanya vizuri. Kwahiyo akashauriwa akate rufaa mtihani usahishwe upya baada ya matokeo...
  20. Jamii Opportunities

    New Scholarship Opportunities at The University of Dar es Salaam ( UDSM ) 2019/20 | Deadline: 31st October, 2019

    New Scholarship Opportunities The University of Dar es Salaam ( UDSM ) 2019/2020 NAFASI ZA UDHAMINI WA MASOMO 2019 Overview: The University of Dar es Salaam is the oldest and biggest public university in Tanzania. It is situated on the western side of the city of Dar es Salaam, occupying...
Back
Top Bottom