The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.
Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.
Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'...
Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Mabibi na mabwana kwa hakika hekima ni uhuru.
Bila ya kupepesa macho, inataarifiwa kuwa pale UDSM wamechukua hatua hii ya msingi sana:
Japo pale #5 mwishoni mwishoni pana ka ukakasi, ni hatua kama hizi tunazoihitaji pia serikali kuzichukua. Hasa hasa kudhibiti mikusanyiko ya watu na kuwahami...
Wanabodi: Nimefurahishwa na Tangazo la wataalam wa chuo chetu kikuu cha Dar Es salaam kutangaza dawa mpya ya Corona inayoitwa Fukiza. dawa hiyo kwa mils 10 inauzwa sh 6,000 tu. kuhusu matumizi na ufafanuzi zaidi tazama video clip hapa chini.
DAWA YA CORONA TANZANIA
Habari zenu wana jukwaa!
Nimekuwa nikijiuliza sana hilo swali mpaka sipati jibu. Eti lecturer anatoka Dar Anakuja kufundisha Dodoma INA mana kuna uhaba sana Wa vijana Wa Ku cover hizo nafasi.
Kuna vijana wanaingia vyuoni kwa alama nzuri sana na ambazo sio za kubahatisha kabisa na wana uwezo...
Ukiacha JWTZ taasisi inayomiliki ardhi kubwa katika mkoa wa DSM ni Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, na kutokana na kuwa chuo hiki kimetoa wahadhiri mahiri wenye kuheshimika duniani ambao walikuwa busy kufundisha mpaka kusahau kujenga makwao ni muda sasa chuo kuwatengea sehemu ya malalo ya kudumu...
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
VACANCIES
The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following vacant posts:
ACADEMIC POSITIONS
1. COLLEGE OF SOCIAL SCIENCES (CoSS)
a. Department of Statistics...
Habari wadau!
Juzi watu walikuwa wanapiga kelele kitendo cha mkuu wa wilaya Kenani Kihongosi kutandika viboko wale wahuni walioiba madawati ya shule.
Binafsi nikawa na cheka tu maana akanikumbusha kisa cha Hayati Mwalimu JK Nyerere na mzee wetu spika wa mstaafu Hayati Samweli Sita (Mungu...
Kama nlivoanza hapo juu nahitaji msaada kwa wanafunzi wanaosoma UDSM au chuo chochote. Ni kuhusu course yangu ya Bachelor of art in language nahitaji kufanya online registration na sielewi nfanye chaguo kwa ktk linguistic na English lang au linguistic na kiswahili? Naomben msaada ushaur wenu n...
UDSM hakika mmejitahid kuandaa marathon matata nchini. Kongole. Ila mnabidi mwakani mjipange zaidi.
1. Usalama wa washiriki barabarani haukuzingatiwa (magari yaliendelea kupita wakati marathon inaendelea).
2. Hakukuwa na MC mahsusi wa shughuli nzima, zaidi wale wa kujitolea,
3. Finish line...
TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI
Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili.
Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
Kwa wale wote wanaohitaji kupanga Hostel karibu au jirani na maeneo ya UDSM, ARU, Chuo cha TAKWIMU mnakaribishwa. Hostel ipo Changanyikeni. Ina fensi, maji pia na umeme. Uwanja una peving na vyumba vyote vina Ceiling Board. Baadhi ya vyumba ni self contained na vina tiles. Vyumba vipo bei...
Wakuu, habari za majukumu.
Naomba kujuzwa, UDSM wanatoa lini admission letters na Joining Instructions, maana siku zinazidi kusonga wazazi hatujui ni nini kinahitajika mpaka sasa.
Habari za wakati huu,
Wale tuliochanguliwa UDSM kwa mwaka wa masomo 2020/2021, karibuni tupeane details zinazoendelea kwa ajiri ya joining instructions, Admission letter na hata taratibu mbalimbali za chuo.
Wakongwe pia wa UDSM karibuni kwa maoni yenu, ushauri na hata mtupe taswira ya...
"UONGOZI SIO MADEGREE" MAGUFULI
"Uongozi sio Madgree, ni kipaji unachopewa na Mungu, Mbunge wenu Lusinde ni Kijana mzuri anafanya kazi nzuri, ndio maana ni Mjumbe wa NEC,niliahidi Barabara ya lami KM 16 kutoka Mlowa hadi Mvumi, RC njoo nikuagize tumalizane hapahapa,zege halilali"-JPM akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.