The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.
Kuna picha kadhaa nimeziona zinazohusiana na video ya mwanafunzi wa UDSM ila wengine mjini hapa hatuna connection za kutosha kupata zile clips.
Embu wadau tusambaze upendo basi.
Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya.
Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa...
Wavuti inayofanya tafiti na kutoa orodha ya vyuo vinavyoongoza kwa ubora duniani 'webometrics' imekitaja chuo kikuu cha dar es salaam 'udsm' kuwa ndio chuo pekee kutokea Tanzania kuwepo kwenye orodha ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora barani Afrika.
Kwa mujibu wa rank za vyuo vikuu...
Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**Cha ajabu chuo hiki pendwa hii. Hakuna midahalo, Wala kumbukizi
**RIP Prof Luhanga.
Haabari wadau..!
Maisha ya UDSM enzi hizo yalikuwa powa sana sijajua kwa sasa.
Tuanzie wapi ,ngoja tuanze na Boom enzi hizo lilikuwa 4000/= kwa siku ila tulivyoingia chuo ikabidi tufanye mgomo Boom liongezwe watoto wa mama hawataelewa.
Maandamano yalianzia Revo Square sijuhi kama watoto wa...
Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu
Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini nimeshindwa kumshauri achague ipi kwa vile sina uelewa mzuri wa hizo kozi ,
Wanabodi,
Hii ni C&P, kwa msaada wa Classmate wangu ambaye ni dakitari, kanimegea toka group lao la madakitari.
Karibu.
Paskali
TUCHANJE MVUA AU TUOTE JUA?
Imeandikwa na Dr. Ally Mahadhy (PhD) - UDSM.
Ugonjwa wa kirusi cha korona (COVID-19 au UVIKO-19), kwa mara nyengine tena unaku wa ni...
Dear Minister of Foreign Affairs,
First and foremost, i would like to congratulate the President of United Republic of Tanzania Mama Samia for appointing you to be the Minister of Foreign Affairs. Most Elites rejoiced together with you because your appointment signals her respect to diplomacy...
Her Excellence, kindly be notified that there is no single Tanzanian University in the list of top 3,000 Universities in the World. UDSM used to be the best in Africa but now it is falling down at a light speed due to a wide spread of Sabayakokoism (Sabayaism + Kakokoism). Kindly suspend or...
Katika kuendeleza dhima ya Uchumi wa viwanda wanafunzi wamemzawadia lecturer wao viatu na shati . Kazi ndo imeanza.
**Wakihojiwa wanaonyesha kufurahia tendo hilo.
Dear Minister of Foreign Affairs,
First and foremost, i would like to congratulate the President of United Republic of Tanzania Mama Samia for appointing you to be the Minister of Foreign Affairs. Most Elites rejouced together with you becauseeqqf your appointment signals her respect to...
Wajameni kwa kweli nimeona nilete hii hoja hapa angalau inaweza fanyiwa kazi. Kutoka geti la Chuo Kikuu Dar es Salaam kama unaenda Msewe kwenda geti la kutokea kama unaenda Changanyikeni katikati au jirani na School of Education.
Kuna mashimo mawili ni kama choo. Gari zinapita upande mmoja tu...
Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani.
Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele wao wapo Zama za mawe.
Sanamu la mabati mbona Fundi tu kitaa anatengeneza?
Utaalamu wenu mpaka...
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Rais Mstaafu awamu ya nne, Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete ameshiriki kuwatunuku Degree kwenye duru ya kwanza ya mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Mei 27, 2021.
PIA SOMA:
- Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi...
Kuna mambo fulani ukiyafikiria unaishia kuhuzunika tu. Ukienda University Computing Center ya University of Dar es Salaam, kama unataka usajili Domain Name kupitia UCC, unapaswa kujaza form iliyoko kwenye word format, kisha uwatumie.
Ati hizi ndio taasisi za serikali zinazopaswa kutuondoa...
likuwa hospitali ya Temeke. Nilimuona mama mmoja mtu mzima na ambaye aliwahi kunihudumia wakati nasoma UDSM.
Saa sita wakati natoka nikamuona bado amekaa palepale. Kumuuliza akasema alistaahafu na anamsubiri mtoto wake ili amlipie apate huduma kwani baada ya ajira alitakiwa aongeze pesa...
WanaJF
Nafasi za udahali wa wanafunz chuo kikuu cha Dar es salaam sio nyingi kwa pande zote, but kwa dip holders idadi ni finyu zaidi hii inasababishwa na nin? Na vigezo ni vipi.
Namtafuta dada yangu huyu na rafiki yangu kipenzi Wahida Mohamed alisoma pale udsm tulianza mwaka 2006 akisomea Chemistry, mara ya mwisho kuwasiliana nae 2013 alikuwa akifanya kazi/intern pale ZBS, zanzibar. Kama akiiusoma uzi huu tafadhali tuwasiliane inbox. Au yeyote mwenye kufahamu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.