The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na operasheni kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu ikiwa ni pamoja na kuwasaka wahalifu waliotenda makosa ya kijinai ya siku za nyuma katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam.
Katika hatua hiyo Polisi wamemkamata GADI DAUDI@ tito...
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi. Shime kwa wale wenye vigezo, nia na raghba ya kufundisha vijana, tafadhali changamkieni fursa hizo.
Tangazo la ajira ni kama ifuatavyo:
Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo...
Leo nimekutana na tangazo la ajira kutoka UDSM wanahitaji Procurement Specialist.
Nikajiuliza maswali yafuatayo.
1. Je, UDSM haina wataalamu wa Ununuzi ?
2. Na kama wataalamu wapo, Je, hawana sifa zinazokidhi matakwa ya hiyo kazii?
3. Je UDSM haiwaamini wataalamu wake walioko kwenye sekta ya...
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete has re-appointed Prof. Bonaventure Sylvand Ishengoma Rutinwa to the position of Deputy Vice Chancellor - Academic from 2021/2022 to 2024/2025 effective from 1st December, 2021.
Professor Rutinwa joined the University of Dar es Salaam in 1987 as a Tutorial Assistant. He...
Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni Kuwalaumu tu Wahadhiri Wenu na Kusingizia kuwa Masomo ni magumu.
Asanteni sana Wahadhiri wa Somo la Uchumi...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Chancellor) kwa kipindi kingine cha miaka sita.
Uteuzi huo utaanza Januari 17, 2022.
My take
Mwenye nacho ataongezewa, naye asiyenacho hata kidogo kile alichonacho atanyang'anywa...
Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM.
Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama...
Kutana na Juliana Shonza kwenye website ya UDSM kama alumni of the month.
Hakika ana historia ndefu ya kiuweledi licha ya umri mdogo na wasifu unaoweza kuwa inspire vijana.
Hongera dada.
NB: Nimeambatanisha PDF ya wasifu.
Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia?
Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria...
Kwa wale wenzangu tuliosoma sheria udsm, tunajua kuwa ni kabudi na majamba tu ndio walipata first class. hii naunganisha na law school ambako wanaweza kufanya mtihani watu 200 wakafaulu 50, one fifty wanafelishwa. hivi hii ina maana waalimu wa sheria chuo na law school hawana uwezo kufundisha...
Wapendwa kwema?
Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili.
Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu...
Sikutegemea kuna mwana JF anaweza kulalamika kuwa kuna mgao wa maji Dar es Salaam.
Sijawahi sikia wakazi wa Temeke, Mbagala au Kigamboni wakiongelea hadithi za mgao wa maji
Kigamboni ni wilaya mpya watu wanaishi wao na visima vyao vya maji
Mbagala na Temeke wao wanaishi na Maji yao ya kununua...
Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza vibanda vya wafanyabiashara vilivyopo kando ya barabara ya kuelekea katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Moto huo ulianza leo Ijumaa Novemba 12,2021 saa 2 asubuhi lakini kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilifika eneo...
Je wajua?
Jaji Luvanda, aliyekataliwa na Mbowe, Jaji Siyani aliyejitoa, na Jaji Tiganga, anayeendesha shauri sasa, wote walianza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2000, na kumaliza 2004. Na pia walisoma na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Nchi ya Tanzania JP
Tunajua wajua lakini tutaendelea kukujuza
Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,.
Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu.
---
Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM
Tito...
Leo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7.
Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu,
Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya...
Kwema wasomi?
Kuna jamaa angu ni in service wa halmashauri moja hapa Tanzania, mwaka 2019 alinifuata kuniomba ushauri wa program na chuo cha kusoma hapa Tanzania, kwa uelewa wangu kiasi niliokua nao kwa kipindi hicho, nikamahauri ni Bora atafute chuo cha private walau huko kunakua na unafuu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.