Wakuu,
Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA.
Pia soma: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo.
Mambo yanazidi kuwa moto.
Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni?
Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
Inawezekana kabisa TAL aliamua kugombea uenyekiti wa Chama taifa mapema zaidi lakini hakutangaza kutokana na historia ndani ya chadema. Historia inaonesha viongozi wote ndani ya chadema walioonesha kuutaka uenyekiti mapema waliundiwa zengwe na kupewa kesi za usaliti kuwazuia kugombea uenyekiti...
Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema?
au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi?
na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa,
kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
Uchaguzi ndani ya vyama vyote kugombea uenyekiti ni mgumu kuliko urais sababu unatakiwa kuwa na network kubwa ndani ya chama kuku support upite uongozi wa chama
Lakini ugombea uraisi waweza okota kura za wajinga hapa na pale wanaoweza vutiwa na sura yako
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akirejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine tena.
Soma pia: Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?
Wakuu,
Inaonekana BAWACHA wametimiza rasmi ahadi yao ya kumlipia Mbowe fomu ya Uenyekiti
Soma pia: BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe
Kundi la wanawake wanaomuunga Mkono Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi kingine cha miaka...
Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe...
Wadau ...
Nipende kumshauri mpinzani wa kweli na Muumini wa Demokrasia Mh Tundu A. Lisu kuwa ni busara kujiengua mapema kwenye kiini macho kinachosubiriwa cha uchaguzi CDM, watu ambao wanaenda kupiga Kura wanakula , wanalala kwa gharama za Mbowe. Wewe Nani atakupigia Kura japo wanafahamu uwezo...
Wanabodi,
Leo nawaendeshea somo la kitu kinachoitwa assets and liabilities, kwenye siasa.
Kwenye biashara assets ni mtaji na rasilimali na liabilities ni madeni, na hasara, biashara ikiwa nzuri, assets ni faida, biashara ikianguka, una dispose some of your assets into liabilities kuiokoa...
Habari.
Uzi huu uwe mwendelezo wa kila kinachojiri katika mpambano huu wa kukata na shoka.
Siku ya kesho December 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mdude CHADEMA kuongea n vyombo vya habari.
Dec 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mwenyekit wa CHADEMA taifa mh. Freeman Mbowe kutangaza hatma yake.
Lakini kesho...
Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema.
Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
“Endapo nikikuta jina la Profesa Ibrahim Lipumba katika karatasi za wagombea uenyekiti najitoa.” Hii ilikuwa kauli ya aliyekuwa mgombea uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Wilfred Lwakatare.
Licha ya kutoa kauli hiyo mara mbili kwa nyakati tofauti alipozungumza na Mwananchi, Lwakatare...
Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu.
Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm
Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.
Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa.
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
====================================================
Akiwa anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri .
Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.