Nitaenda kwa Mbowe ndani ya siku mbili hizi kumshauri asifanye dhambi kutufanya wafuasi wake tukafarakana kwa kipindi hiki muhimu kuliko nyakati zozote zile. Nitamsihi kuiona mbele ya CHADEMA.
Mimi nikiri wazi kuwa nimehuzunishwa sana na mambo ambayo baadhi ya wafuasi wa Mbowe ambao kiukweli...
Nashangaa sana wazee wa mwanzoni akina Mtei na Makani walifanya uenyekiti wa CHADEMA kama nafasi huru hawakutaka kukaa madarakani mpaka waondolewe kwa nguvu. Kwa Sasa ni CHADEMA imejenga mtindo wa kwamba akitokea kiongozi mwenye ushawishi akagombea uenyekiti wa chama huwa anageukwa na kuitwa...
Na : Twahir Kiobya (The Man)
Ni rasmi sasa Lissu anautaka uenyekiti ndani ya CHADEMA. Ametangaza nia yake kupitia vyombo vya habari na umma umesikia.
Azimio hili la Lissu ni uamuzi mzito na ni la kihistoria ktk chama cha CHADEMA. Kama Mwenyekiti wa sasa ndugu Freeman Mbowe atagombea uenyekiti...
Wagombea tisa wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo Prof. Ibrahimu
Pia, Soma: Katibu Mkuu CUF: Uchaguzi Mkuu CUF Utapita Bila Mgogoro, Wanachama hawana Tamaa ya Madaraka
Lipumba wanatarajiwa kuchuana katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mwenyekiti mpya wa chama hicho...
Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni kumuomba agombee tena nafasi hiyo.
Hadi sasa Mbowe...
Miongo 4 iliyopita Tanzania imeshuhudia vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi,vikiongozwa na viongozi wasomi Mfano TLP chini ya Mrema Na CuF chini ya Mwenyekiti Prof Lipumba lakini havikuweza kitimiza azima ya chama cha siasa kwa sababu za kiusalama au uoga.
Tumeshuhudia...
Naomba kuwasilisha ndugu wana jukwaa, Taifa hili linapita katika nyakati ngumu sana awamu hii ya 2015-2025, mengi yametokea na yanaendelea kutokea, Lissu ata set precedence ya mambo yanayokuja mbeleni kwenye maeneo kadhaa ambayo sipaswi kuyasema.
Demokrasia ndani ya CHADEMA ni chachu ya...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA.
"Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia...
Taarifa Kamili itakujia hivi Punde
========
Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo.
Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
Askofu Mwamakula aliwahi kuonya kuwa siku akigundua kuwa ndani ya chadema kuna ufinyaji wa haki hatawatetea tena.
Sasa kwa hili la Tundu Lisu kuandamwa na wanachadema wenyewe baada ya kutangaza kugombea uenyekiti, analisemeaje...
Friends and Our Enemies,
Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao.
Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa...
Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,
Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
Wajumbe zaidi ya 1000 wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa, watakutana kupiga kura na kumchagua mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa chama hicho Taifa, tarehe muafaka itakayotangazwa na kamati kuu.
Kwa hali ya kisiasa ilivyo ndani ya chadema iliyogawanyika, ushawishi wa Freeman Aikaeli Mbowe...
Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema isiyo ya vikundi vya kujinufaisha ambao ndio hao wameshaanza kupiga kelele, kwa hofu, wameshazoea...
Ansbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia.
Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana mkutano wa Lissu ulijaa wana CCM waliovalishwa nguo za Chadema, hivyo wakajisahau na kujikuta...
Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.