Tarehe 6 August 1926 mdada huyu alikuwa mwanamke wa kwanza Kuvuka mlango bahari kati ya Uingereza na Ufaransa (The English Channel) kwa kuogelea Kilomita 56.327 kwa masaa 14½ tu. Aliporudi kwao baada ya kuvunja rekodi hiyo alipokelewa na Parade maarufu ya Canyon of Heroes kwa umati wa watu...
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.
Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu...
Sababu walizozitoa za kwanini wamtunuku Rais MWINYI hazitoshi kabisa. Eti Wanampa tunzo kwa kuwa Waziri wa Ulinzi na kushiriki vema katika kazi za kimataifa!!! looh!! tuzo kama hiyo si ingeenda kwa Mkuu wa nchi na Makamu wake walioruhusu nchi ishiriki kazi za kimataifa?
Wazungu hawana cha bure...
Zaidi ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa.
Serikali inalenga kuzuia maambukizi ya virusi vipya aina ya Delta vinavyo sambaa haraka.
Huko Paris, maandamano tofauti ya mrengo wa kulia na mrengo wa...
30 Juni 2021
Paris , France
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Juni 30, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyekiti wa kundi la maseneta wa kifaransa marafiki wa Tanzania Mheshimiwa RONAN DANTEC M. Ronan Dantec, sénateur de la...
MAKAMU wa Rais wa JMT, Dk. Philip Mpango, amewasili nchini Ufaransa kwa ajili ya kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa (Generation Equality Forum) linalofanyika jijini Paris kuanzia leo Jumatano Juni 30 na kumalizika Julai 2, 2021.
Chanzo: Nipashe
Kuna Utafiti uliwahi Kufanywa na ukaja na Matokeo kuwa 90% ya Mashabiki wa Yanga SC ni Mbayuwayu ( Watupu Vichwani ) wengi Wetu ( hasa Wadau wa Soka) nchini tukabisha na kukataa ila leo tumejiridhisha na Kuamini.
Katika hali ya Kushangaza (ambayo kamwe hutoweza kuikuta kwa Mashabiki Werevu tupu...
Ndege ya abilia ya ufaransa Air france ilitekwa nyara na magaidi wa kipalestina wakiongozwa na mjeruman Wilfried "Boni" Bose. na mwanamke Brigitte Kuhlmann, Ndege hiyo ilitua Benghazi na mwishowe Entebe.
Subiri basi uone wiki ijayo(yaani baada ya siku sita za majadiliano) kitatokea nini...
Mzuka wanajamvi!
Tahadhari kama hujui kiingereza vizuri kabisa usiendelee chini kusoma. Nimeamua kutumia taaluma yangu kwenye huu Uchambuzi.
Omnipresent N'Golo Kante delivers Munich masterclass In 26 days’ time, N’Golo Kante could hold every major honour in the club and inhternational game...
Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imeipatia Serikali ya Tanzania mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya Euro milioni 130, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 361.7 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme wa jua.
Mkataba wa...
Mahakama imemhukumu aliyempiga kofi Rais Emmanuel Macron usoni siku kadhaa zilizopita kifungo cha miezi minne. Mwendesha Mashtaka amesema alichofanya Damien Tarel (28) hakikubaliki na kilikuwa kitendo cha makusudi cha ghasia.
Rais Macron (43) alisema hakuamua kuchukua hatua za kisheria na...
Wijinaldum amesaini mkataba na miamba ya soka ya jijini paris ufaransa (PSG) kuitumikia mpaka juni 2024. Ikumbukwe Barcelona walikuwa na nafasi kubwa ya kumpata mchezaji huyu lakini akabadili na kwenda kusaini kwa miamba hiyo ya Paris.
Tukio la kushambuliwa kwa makofi Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron linatupeleka mbele na kulazimika kujifunza mambo machache anuawi katika uwanda wa Ujasusi ulimwenguni. Nimeliangalia katika pande nyingi na sasa ninaweza kulichambua kwa sehemu fulani ili kusherehesha na kufunza walinda viongozi...
Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa.
Mamlaka za Ushindani wa Kibiashara nchini Ufaransa zimesema faini ya Google inatokana na kutumia nafasi...
Licha ya kitendo chake cha kufanya Mapinduzi ya Kijeshi mara mbili ndani ya miezi tisa kukosolewa, Kanali Assimi Goita amekula kiapo kuwa Rais wa Mpito wa #Mali akiahidi Uchaguzi Mkuu utafanyika Februari 2022 kama ilivyopangwa.
Kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea, Ufaransa ambayo ni...
Nyota huyo na familia yake yupo Zanzibar kwa mapumziko na familia yake.
Inasadikiwa ataanzisha kituo cha michezo cha watoto na kuendeleza soka la Zanzibar.
"Nimefurahi kwa uwepo wako hapa Zanzibar na tutashirikiana katika kuendeleza soka la watoto"
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametahadharisha juu ya Uturuki kuingilia kati katika uchaguzi wa rais nchini Ufaransa mwaka ujao.
Ameituhumu serikali ya mjini Ankara kwamba inaeneza uwongo kupitia vyombo vyake vya habari. Akihojiwa na kituo cha televisheni nchini Ufaransa cha France 5, Rais...
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.
Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia...
UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA
Enzi Za Ukoloni Mataifa Mengi Ya Ulaya Yalianzisha Makoloni Sehemu Mbali Mbali. Lakini Mataifa Ya UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Ndiyo Yalijipatia Makoloni Makubwa Zaidi. Nimekuwa Nikisoma Kuhusu Ukoloni Lakini Kuna Swali Sikupata Jibu Lake.
HISPANIA Ilitawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.