Viongozi hao walikutana Makao Makuu ya CCM Dodoma.
Balozi huyo wa Ufaransa nchini Tanzania amesema Nchi yake itazidisha Ushirikiano na Serikali ya Tanzania kwani inafurahishwa na hali ya kisiasa Tanzania.
Amesema Wamefurahishwa na hotuba aliyoitoa Rais Magufuli wakati wa ufunguzi wa Bunge la...
Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa
Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
Aliyekuwa Rais wa zamani wa Ufaransa Valery Giscard d'Estaing amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94,baada ya kuugua homa inayosababishwa na Virusi vya Corona. Rais huyu aliiongoza nchi ya Ufaransa kutoka mwaka 1974 Hadi mwaka 1981.
Valery amefariki nyumbani kwake na taarifa zinasema kuwa...
Maandamano yanafanyika nchini Ufaransa katika maeneo kadhaa hii leo.
Hayo ni baada ya serikali kutangaza sheria mpya ambayo itazuia watu kutumiana picha za maafisa wa polisi wanapowakamata watu.
Sheria hiyo imetangazwa siku chache baada ya video kusambaa kote nchini humo ikimuonesha polisi...
Mimi ni Mfaransa na nchini yangu Askari Polisi walipiga mtu mweusi na walimsema "Sale nègre" (Mtu mweusi chafu).
Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter
Marejeo :
Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy atafika mahakamani Jumatatu ambapo anatuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi, ikiwa ni moja ya uchunguzi kadhaa wa jinai ambao unatishia kuweka aibu kubwa katika utumishi wake wa muda mrefu wa kisiasa.
Waendesha mashtaka wanadai...
Waislamu hasa kwenye nchi zenye fedha wameamua kususia bidhaa za Ufaransa ikiwa ni kuonesha hasira zao kutokana na mwendelezo wa kejeli za raisi wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwa dini ya uislamu.
Katika hatua ya sasa mataifa kadhaa ya kiarabu yameamua kuteremsha chini bidhaa za nchi hiyo...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya bara la Afrika?
Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule...
Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
Wiki moja tu tangu Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kusema uislamu ni janga la dunia mambo yamemgeukia.
Muda aliotamka maneno hayo ulinasibiana na kuachiwa huru kwa mateka muhimu na raia wa ufaransa bi Sophie Petronin ambaye alitekwa nchini Mali mwaka 2016 alipokuwa akifanya shughuli za huruma...
Mahakama moja ya kukata rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka msukiwa a mauaji ya kimbari nchini Rwanda Felicein kabuga kushitakiwa nchini Tanzania. Bwana kabuga alikamatawa nyumbani kwake nje ya mji wa Paris baada ya miaka 26 kama mtoro.
Takriban watu 800,000 waliauwa nchini Rwanda katika...
Katika pitapita zangu katika maeneo mbalimbali ya viunga vya Jiji la Dar es Salaam, nimeshuhudia hivi karibuni mfumuko wa mabango na makaratasi mbalimbali ya kumnadi mgombea wa Urais wa CCM, John Magufuli pamoja na baadhi ya wagombea wa CCM wa Ubunge na hata Udiwani.
Makaratasi hayo inaonyesha...
Saddam Hussein, C.I.A & Italian Military Intelligence Service (SISMI): Tuhuma za wizi wa Uranium Powder (Yellowcake) kutoka migodi ya kampuni za Ufaransa nchini Niger!
UTANGULIZI SEHEMU YA KWANZA
===========
Nyaraka za kughushi za mkataba wa kuuziana madini ya uranium huko chini Niger hapo...
Jameni ifahamike corona imebadilisha dunia na hatuishi kwa mazoea tena, hili linapaswa kuwa somo kwa majirani zetu wanaotulilia sana, hatuwachukii wala kuwadharau, ila ni mwendo wa tahadhari tu, tumeweka afya ya Wakenya kama kipaumbele.
Ufaransa wameapa kulipiza kisasi kwa Uingereza maana hao...
Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu janja ' Smart Phones ', tablet na saa janja ' Smart Watches kwa watoto chini ya miaka 15 katika shule.
Serikali ya taifa imekuwa ikitilia shaka uwezo wa wanafunzi kwa maana ya kutegemea vifaa hivi katika masomo yao pia ikionekana kama chagizo la...
Baada ya muda mrefu hatimaye calendar ya mashindano ya riadha duniani imeanza tena. 'First leg' ya 2020 Diamond League(DL) ilianza kule Monaco, Ufaransa ijumaa hii.
Protokali zote mpya za COVID-19 zilizingatiwa, huku mashabiki 5,000 tu wakikubaliwa kwenye ukumbi wenye capacity ya watu 16,000...
Habari Watanzania'
Mataifa zaidi ya 35 ulimwenguni mengi yakiwani ya Ulaya yameanzisha mradi mkubwa sana wa kutengeneza teknolojia kwa ajili ya kufua nishati kwa kutumia mbinu kama inayotumika na jua-Nuclear Fission.
Teknolojia hio inalenga kutengeneza clean energy na ni salama zaidi kuliko...
1960s KGB CLOAK-AND-DAGGER SEXPIONAGE SPARROWS WITH LOVE FROM MOSCOW: Kisa cha Balozi Malaya wa Ufaransa na Majasusi wa Kike wa Russia (Femme Fatales)
Ninakushauri uanze kwa kusoma kwanza makala yangu hii ya zamani: K.G.B Espionage na Ujasusi kwa njia ya ngono kama silaha ya vita. Honey...
Serikali ya ufaransa imesema haina mpango wa kuipiga marufuku Huawei kufanya kazi ndani ya nchi hiyo ila imesisisitiza kampuni za simu kuepuka Huawei.
Kuna kampuni tayari zilishapewa kibali cha kutumia mitambo ya Huawei kwenye teknolojia ya 5G hasa kwenye maeneo yasiyo ya muhimu kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.