…Valéry Giscard d’Estaing alikuwa ni Rais wa Ufaransa kuanzia mwaka 1974 hadi 1981.
Jean-Bedel Bokassa alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mwaka 1966 hadi 1979.
Ndani ya miaka 13 ya utawala wake, alibadili mfumo wa utawala nchini mwake CAR na kuwa utawala wa Kifalme… Baadae...
Nimeona wananchi kesho wana mechi ya ligi ya mabingwa afrika, ni mechi muhimu sana kiasi wakaamua kuipa jina “Pacome Day” huku wakinogesha na style ya nywele ya mchezaji wao Pacome.
Style hiyo kutumiwa na wachezaji wengi wa timu sio ngeni katika shughuli za michezo hasa kabumbu.
Mwaka 1998...
Habari wana JF,
Kwa wanaojua Kifaransa kuna clip nimekutana nayo inaonesha mtoa hotuba amechukizwa na matamshi ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, na ameishtumu Ufaransa kubwa ni nchi inayoongoza kwa kulinyonya bara na nchi za Kiafrika inasemekana ni waziri mkuu wa Italia.
Video yake inatoa...
Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni shoga amemteua mume wake Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo.
Sejourne, ambaye pia anaongoza chama cha siasa...
[emoji599] Cristiano Ronaldo: “𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐢𝐬 𝐛𝐞𝐭𝐭𝐞𝐫 𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐋𝐢𝐠𝐮𝐞𝟏 already now, I’m sure of that" [emoji1210]
◉ “Saudi Pro League is more competitive than Ligue1, I can say that after one year spent there and I’m sure”.
◉ “We are better than French league already now”.
◉ “I feel so happy at Al...
Staa wa soka Karim Benzema amefungua mashtaka ya jina lake kudhalilishwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gérald Darmanin ambaye alimtuhumu kuwa na uhusiano na Kundi la Muslim Brotherhood ambalo limepigwa marufuku katika Nchi kadhaa zikiwemo Misri, Urusi na Saudi Arabia.
Oktoba...
Wanaukumbi..
Baadhi ya nchi hazijathibitisha ushiriki wao, hata hivyo, huku zingine zimesema juhudi zao za kusaidia kulinda trafiki ya kibiashara ya Bahari Nyekundu zitakuwa kama sehemu ya makubaliano yaliyopo ya jeshi la maji badala ya operesheni mpya inayoongozwa na Marekani..
Ukosefu wa...
Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa.
Kwa mujibu wa wasemaji wa jeshi la Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao meli hiyo ilishambuliwa kwa kombora moja tu...
Wazungu wana uungwana mwingi sana maana Omar bin Laden, anaishi kwa uhuru kule Normandy Ufaransa.
Omar bin Laden
Wakati mtoto wa kwanza, Abdallah bin Laden anaishi Saudi Arabia na haruhusiwi kwenda popote.
Abdallah bin Laden
Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) limesaini mkataba wa kushiriki katika kufadhili ujenzi wa Mtambo wa Kufua Umeme wa Kakono Nchini Tanzania.
Kupitia makubaliano hayo Umoja wa Ulaya (EU) na AFD zitachangia kwa pamoja Euro Milioni 146 ambayo ni karibu nusu ya jumla ya gharama ya Euro Milioni...
Wanajeshi kutoka nchi ya Ufaransa walioletwa Niger kulinda usalama dhidi ya vikundi vya kigaidi wanaonekana kwenye video hapo nchini wakifungasha virago maeneo ya Airport ambapo ndege yao ilitua hili kuanza mchakato wa kuondoka nchini humo baada ya kauli ya kiongozi wa kijeshi nchini Niger...
Tañgu zama na zama ufaransa na hasa jiji la Paris ndio limekuwa linasifiwa kwa usafi na ustaarabu! Hata ukitembelea majiji mengine usafi kwa wafaransa ni jadi Yao !
Hao kunguni wametoka wapi ? Nini chanzo chake ? Kwa afrika mtu akiwa na kunguni hata mmoja kwenye shati yake ni tukio la aibu na...
Wananchi wa Ufaransa pamoja na watalii wanaoitembelea nchi hiyo wanaugulia maumivu baada ya kungátwa na kunguni ambao wamesambaa katika maeneo mengi hasa ya umma.
Kufuatia kuwepo kwa picha mbalimbali za video mitandaoni zikionesha kuwepo kwa wadudu hao hasa katika jiji la Paris kwenye treni...
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye rasilimali madini kwa wingi yakiwemo Madini Mkakati ambayo mahitaji yake yanazidi kuongezeka kutokana na kutumika kuzalisha aina tofauti za vyanzo vya nishati na teknolojia zinazohitaji aina mbalimbali za...
Taifa la Marekani liliingia vitani nchini Afghanistan kwa kisingizio cha kuitia adabu kwa vile ilikataa kumkababidhi Osama kwao aliyetajwa kuongoza uripuwaji wa majengo pacha ya New York.Vita vilikuwa ni vikali sana vilivyouwa maelfu kwa maelfu ya watu nchini Afghanistan.
Matekani hakuna...
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema watachukua maamuzi hayo kutokana na Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Niger ya kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.
Amesema “Tutatekeleza hilo ndani ya saa kadhaa zijazo, Balozi na Wanadiplomasia wetu watarejea nyumbani, hivyohivyo kwa vikosi vyetu...
Novemba 24, 2021 Kijana wa miaka 13 raia wa Burkina Faso, Aliou Sawadogo akiwa na manati yake porini akiwinda ndege, aliona kitu kikiambaa angani.
Sawadogo akatoa jiwe kutoka katika kaptula yake kisha akaliweka katika kigozi cha manati na kuanza kutafuta shabaha.
Akavuta pumzi na kuzishusha...
Kiukweli ana uwasilishaji mbovu mno.
Anarudia rudia kitu kimoja hata mara tano.
Halafu na wao huwa sioni uhimu wa yeye kutoa taarifa tena maana ni kama tu anarudia kile ambacho wakina Lwambano wameshareport.
Juzi nilipita maeneo ya karibu na Ubalozi wa Ufaransa nikaona bango moja limeandikwa "Kifo cha Imam Husain kinatukumbusha umuhimu wa Uhuru". Huwa nina kawaida nikiona mabango ya dini napendaga kufuatilia zaidi maandiko yale hasa kama kuna ujumbe ambao umenigusa wakati huo.
Ila kuna kitu zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.