ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Ufaransa: Wabunge wapandisha umri wa kustaafu licha ya maandamano ya kupinga

    Wabunge wa Bunge la Seneti wamepiga Kura ilifanya mabadiliko ya Umri wa Kustaafu kutoka miaka 62 ya awali ikiwa ni ushindi kwa Rais #EmmanuelMacron aliyependekeza mipango ya marekebisho ya Pensheni. Muswada huo ulioibua Maandamano na Migomo ya Wananchi takriban Milioni 1.2 wanaopinga mabadiliko...
  2. GENTAMYCINE

    Haya wale Viherehere na mwenye Chuki na Rwanda, Rais Kagame na Wanyarwanda mjibuni sasa Rais wa Ufaransa Macron

    " Congo DR iache kila mara Kulaumu Kuvamiwa na Rwanda, tumechoka na kabla ya Kuwashutumu Majirani zao Wajiimarishe hasa Kiusalama na Kuimarisha kama Taifa kwa Umoja na Kuwaunganisha Wakongo wote* amesema Rais wa Ufaransa Manuel Macron alipokuwa Ziarani nchini Congo DR. Chanzo Taarifa: Amka na...
  3. JanguKamaJangu

    Rais wa Soka Ufaransa ajiuzulu baada ya ripoti mbaya ya ofisi yake na tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi Mwaka 2014. Kabla ya kuchukua uamuzi huo kiongozi huyo alijiweka pembeni kwa muda wakati Serikali...
  4. JanguKamaJangu

    Ufaransa: Mwanamuziki wa Morocco ahukumiwa miaka 6 jela kwa kesi ya Ubakaji

    Saad Lamjarred (37) amekutwa na hatia katika kesi hiyo dhidi ya msichana mwenye umri mdogo ambaye Mahakama haijamuweka wazi, ikidaiwa alitenda tukio hilo hotelini Mwaka 2016. Mara baada ya hukumu kusomwa Jijini Paris, Lamjarred hakuonesha mwitikio wowote na muda mfupi baadaye akawekwa...
  5. BARD AI

    Ufaransa waandamana kupinga TotalEnergies kujenga Bomba la Mafuta ghafi la EACOP

    Wanaharakati mjini Paris Jumatano waliandamana dhidi ya Benki 2 zinazohusika katika ufadhili wa mradi wa mafuta wenye utata katika Afrika Mashariki, sehemu ya maandamano yanayoratibiwa katika miji kadhaa duniani kote. Takriban wanakampeni vijana 30 kutoka kundi la Stop Total waliandamana mbele...
  6. ITR

    Urusi yaikalia Ufaransa kooni Afrika Magharibi

    Ufaransa kama ilivyo huruka ya nchi za kimagharibi alikuwa anajiona ndo Mungu na mmiliki wa nchi za Africa magharibi. Alikuwa ndo kila kitu ndani ya nchi hizo lakini sasa mambo yana muendea kombo ndani ya nchi hizo, hasa tangu Urusi ijiingize kwenye eneo hilo imevuruga kabisa ushawishi wa...
  7. The Sunk Cost Fallacy 2

    Uingereza na Ufaransa wanaandamana kwa ugumu wa maisha, Lissu na CHADEMA changamkieni tenda ya kutengeneza Katiba Mpya kule

    Hello Wadau, Binafsi naunga mkono Katiba Mpya ila siungi mkono Katiba Mpya ya kuondoa wahuni wa CCM na kuleta wahuni wa Chadema,nataka Katiba Mpya ambayo ni takwa la Wananchi na mda ndio utaileta watake au wasitake. Baada ya huo utangulizi, Lisu na Chadema wamekuwa wanawadanganya watu kwamba...
  8. JanguKamaJangu

    Ufaransa yamwita nyumbani balozi wake nchini Burkina Faso

    Wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa ilisema Alhamisi kuwa inamwita nyumbani balozi wake nchini Burkina Faso, ikitaja muktadha wa matukio ya hivi karibuni, siku moja baada ya Paris kutangaza kuwa itaondoa wanajeshi wake katika nchi hiyo. Tumeamua kumrudisha balozi wetu mjini Paris ili kufanya...
  9. kwisha

    Kwanini Ufaransa inafukuzwa Afrika?

    Nchi ya Mali na burka Faso wamefukuza mambassada pamoja na majeshi ya Ufaransa nchini mwao na kuwambia hawataki mausiano ya kideplomasia na nchi hiyo. Hii ina sura gani kwa Afrika? Na kwanini Ufaransa anafukuzwa Afrika?
  10. Webabu

    Nchi zilizotawaliwa na Ufaransa zimejitambua, bado sisi

    Nchi zjilizowahi kutawaliwa na Ufaransa miaka ya nyuma zile za magharibi na kaskazini ya Afrika kwa sasa zimetia akili na kukataa kufanywa kama watoto wa dola hilo korofi. Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita taifa hilo limesababisha hasara kubwa ya maisha na uharibifu wa mali wa mataifa...
  11. BARD AI

    Ufaransa: Zaidi ya watu milioni 1 waandamana kupinga nyongeza ya umri wa kustaafu

    Takriban watu milioni 1.1 waliandamana katika mitaa ya Paris na miji mingine ya Ufaransa huku kukiwa na mgomo wa kitaifa dhidi ya mipango ya kuongeza umri wa kustaafu - lakini Rais Emmanuel Macron alisisitiza kwamba ataendelea na pendekezo la mageuzi ya pensheni. Wakiwa wametiwa moyo na...
  12. B

    Mtu anayeaminika kuwa na umri mkubwa zaidi duniani afariki Ufaransa

    Mtawa kutoka Ufaransa anayeaminika kuwa mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani ameaga dunia wiki chache kabla ya kusherehekea miaka 119 tangu kuzaliwa, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na msemaji wa kituo cha afya Jumatano kusini mwa Ufaransa Lucile Randon ambaye pia anajulikana kama sister...
  13. Dalton elijah

    Hugo Lloris ametangaza kustaafu kucheza Soka la Kimataifa

    Official, Golikipa wa Tottenham na Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Hugo Lloris amestaafu kucheza soka la kimataifa. Hugo ameichezea Ufaransa Michezo 145 akifanikiwa kufika fainali mbili mfululizo za kombe la Dunia na kushinda 1. Hivyo baada ya kustaafu Kylian Mbappe ndiye atakuwa Nahodha...
  14. Raphael Thedomiri

    Chokochoko Irani na Ufaransa!

    Iran iliionya Ufaransa Jumatano baada ya jarida la kejeli la Charlie Hebdo kuchapisha katuni zinazomoonyesha kiongozi mkuu Ayatollah Ali Khamenei ambazo Tehran iliziona kuwa za kashfa. Jarida hilo la kila wiki lilichapisha katuni kadhaa za kumkejeli kiongozi huyo wa juu kabisa wa kidini na...
  15. Execute

    Zidane anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha, nawatabiria ushindi wa Euro 2024 na world cup 2026

    Yule mchezaji na kocha mwenye bahati zaidi duniani anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha kuanzia January 2023. Ninatarajia ataenda kubeba Euro 2024 na kombe la dunia mwaka 2026. Ufaransa wanavyo vipaji vya kila aina ikiwemo kijana machachari Mbappe. Muda utatupatia majibu.
  16. Mutangi

    Ufaransa kujaza watu weusi kwenye timu ya taifa ni kuendeleza utumwa

    Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia. Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa...
  17. Mwachiluwi

    Ufaransa imeniangusha sana

    Mategemo yangu ni ufaransa kuchukua ubingwa lakini sivyo inaniymaaaaaaa saanaaaa mpka nimelia ase, mpira haramu sana.
  18. H

    Ufaransa anabeba Kombe la Dunia

    Binafsi ni mshabiki mkubwa wa Argentina lakini game ya leo naona kabisa Ufaransa anabeba. Ufaransa ni team yenye uzoefu mkubwa na wana kocha ambaye anajua vizuri kucheza kwenye game muhimu kama hizi, tujiandae kisaikolojia kabisa kwa Ufaransa kubeba tena kwa mara nyingine.
  19. D

    Argentina na Ufaransa kuiwakilisha nguvu ya Dunia Ulimwenguni

    Ni kama jambo jepesi lakini limebeba maana nzito ya kiulimwengu! Lengo kuu la kuiteka dunia kwa kuifanya dunia kuwaza pamoja, kwa muda mmoja na jicho la pamoja si jambo jepesi hata kidogo! Hii ni mipango ya wenye nguvu katika Ulimwengu wa roho. Asilimia 70% ya watu duniani Leo watafikilia na...
  20. JanguKamaJangu

    Karim Benzema akataa kurudi Qatar kujiunga na Ufaransa

    Mshambuliaji huyo amekataa ofa ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye ametoa ndege yake binafsi kwa wachezaji wote majeruhi wa taifa hilo kwa ajili ya kwenda Qatar kushuhudia mchezo wa fainali dhidi ya Argentina, leo Desemba 18, 2022. Inadaiwa Banzema alikasirishwa na maamuzi ya Kocha wa...
Back
Top Bottom