ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bata Boy Official

    Wapi wataonesha Fainali ya Ufaransa dhidi ya Argentina kwenye 'screen' kubwa?

    Wakuu mwaka jana sjui juziii(sikumbuki vizuri) watu wa Heineken waliweka big screen pale kigamboni kuonyesha fainali ya UEFA Champions League. Vipi mwaka huu hakuna sehemu watakayoweka big screen? Maana experience yake huwa ni nzuri saaaana, kuna muda kutokana na mashabiki wengi unahisi kama...
  2. technically

    Ufaransa kupigwa Kama ngoma

    Kipigo alichompiga Croatia mwaka 2018 kesho kitamgeukia atachapwa ndani ya dakika 90 Messi atamfunga na wengine watafunga Messi pia atakuwa mchezaji Bora wa mashindano Na mwakani Messi atakuwa mchezaji Bora wa Dunia na huo ndio utakuwa mwisho wake 🙏🙏🙏 Na Messi ataandikwa Kama mchezaji...
  3. NetMaster

    Tushachoka kubembeleza undugu, itapendeza Ufaransa ikiwapa Morocco kipigo cha mbwa koko wapigwe mpaka wachakae

    Offcourse tunajua kuna tofauti kubwa kati yao na sisi hasa linapokuja suala la asili yao, Lakini kweli wakatae hata undugu wa kiafrika kwamba wapo nasi ndani ya bara la Africa? Morocco wametukataa, yaani wanaona wao siyo ndugu zetu ni kwamba tunajipendekeza. Basi ndiyo tumekoma hatujipendekezi...
  4. Slowly

    Kwa takwimu hizi, Mshale unaonyesha Ufaransa anaenda kuchezea kichapo heavy semi final FIFA W/C

    Katika mechi 11 zilizopita Ufaransa ameshinda mechi 5 , amefungwa mechi 4 na ametoka droo mechi mbili, amefunga magoli 17 na amefungwa magoli 13 Kwa upande wake Morocco , katika mechi 11 zilizopita, ameshinda mechi 8 , hajafungwa mechi hata moja , ametoka droo mechi 3, amefunga magoli 19 na...
  5. M

    Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

    Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno! Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m Morocco! Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
  6. Execute

    Ufaransa atafunga magoli manne katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la dunia kati yake na Morocco

    Mwaka 2004 ugiriki walibeba kombe la mataifa ya ulaya wakati haikutarajiwa. Walikuwa wanafunga goli halafu wanarudi nyuma na kupaki basi. Hapakuwa na burudani kwasababu timu moja ndio ilikuwa inacheza peke yake huku nyingine ikizuia. Morocco naona wameanza vizuri kwa kufuata mfumo kama ule...
  7. Frustration

    TBC badala ya kuonesha mchezo wa Robo Fainali kati ya Ufaransa na England, wao wapo na kipindi cha pambe

    Hawa TBC sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa. Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo. TBC ni wahuni tu...
  8. BARD AI

    Ufaransa kugawa Kondomu bure kwa Watoto na Vijana

    Rais Emmanuel Macron ametangaza hatua hiyo baada ya ripoti ya Serikali kuonesha ongezeko kubwa la Magonjwa ya Zinaa kwenye kundi la Vijana na Watoto. Huduma hiyo itaanza kupatikana nchi nzima kwenye Maduka yote ya Dawa kuanzia Januari 1, 2023 na ikumbukwe pia Ufaransa ni moja ya nchi...
  9. Execute

    Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

    Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo. Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo. Argentina atamtoa Uholanzi kisha ataenda na kumtoa Brazil/Croatia kwenye nusu fainali Ureno...
  10. BARD AI

    Burkina Faso: Jeshi lakifungia kituo cha Redio RFI ya Ufaransa

    Serikali ya Kijeshi imechukua maamuzi hayo kwa madai kuwa kituo hicho kimetangaza taarifa za uongo na kuwapa nafasi Waasi wa Kiislamu kusikika kwenye matangazo yao. Pia, Jeshi limesema RFI ilirudia ripoti iliyokanushwa kwamba Rais Kapteni Ibrahim Traore aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya...
  11. Shujaa Mwendazake

    Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA"

    Baada ya Rais wa France, Emmanuel Macron kutapika nyongo kuwa ; Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi" Naye Rais wa Baraza la Ulaya amefunguka na kuishambulia Washington. Soma: Washington daima inatanguliza masilahi yake ya kiuchumi...
  12. Shujaa Mwendazake

    Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi"

    "Lazima tufikirie juu ya muundo wa usalama, ambao tutaishi kesho. Ninazungumzia, haswa, maneno ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kwamba NATO inakaribia mipaka ya Urusi na kupeleka silaha ambazo zinaweza kutishia usalama wa Urusi," alisema. Rais wa Ufaransa Emmanuel Muundo wa usalama wa baadaye...
  13. JanguKamaJangu

    Mali yapiga marufuku Mashirika yasiyo ya serikali yanayofadhiliwa na Ufaransa

    Serikali ya kijeshi ya Mali Jumatatu ilipiga marufuku shughuli za mashirika yasiyo ya serikali yanayofadhiliwa au kuungwa mkono na Ufaransa, ikiwa ni pamoja na mashirika ya kibinadamu, huku kukiwa na mzozo unaozidi kuwa mbaya kati ya Paris na Bamako. Waziri Mkuu wa muda wa taifa hilo la Afrika...
  14. K

    UTABIRI: Ufaransa anatetea ubingwa wa Kombe la dunia

    Historia ipo ili ivunjwe Mpaka sasa hivi hakuna nchi yenye kikosi kipana na bora kama Mabingwa watetezi
  15. Pang Fung Mi

    Rais Paul Biya wa Cameroon anasurika kifo Ufaransa akisherekea miaka 40 ya Urais

    Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu. Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu. Bia anamwaga muda si mrefu. Nikiripoti habari nyepesi ama...
  16. ndiuka

    Wachunguzi wa Ufaransa, Canada na Italia wawasili kusaidia uchunguzi ajali ya Precision Air

    Taarifa ya Kamishna Mkuu wa Ufaransa Nabil Hajlaoui inasema timu kutoka Ofisi ya Uchunguzi na Uchambuzi wa Usalama wa Usafiri wa Anga ya Ufaransa itasaidia katika uchunguzi wa ajali hiyo. Tayari timu nyingine ya washauri wa kiufundi kutoka kampuni ya Franco-Italia, ATR, imewasili nchini...
  17. JanguKamaJangu

    Ufaransa: Mbunge aliyetoa kauli ya ubaguzi bungeni aadhibiwa

    Wabunge wengi wa Ufaransa wametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya mbunge wa National Rally, Gregoire de Fournas aliyepiga kelele akisema “rudi zako Afrika” wakati mbunge Mweusi akiuliza swali kuhusu uhamiaji. Bunge la Taifa la Ufaransa lilipiga kura kumuadhibu de Fournas kwa kumzuia kuhudhuria...
  18. Wakusoma 12

    Hivi ni kweli Saido Tibazonkiza amecheza ligi kuu ya ufaransa (league I)?

    Jana wakati wa mechi ya Yanga na Geita nimemsikia zaidi ya mara 3 mtangazaji wa Azam sports ambaye alikuwa mtangazaji wa mechi hiyo. Alisema kuwa Saido Ntibazonkiza alikuwa akicheza ligi kuu ya ufaransa kabla ya kutimkia yanga. Swali langu kwanini yanga wamemuachia mchezaji huyu mwenye uzoefu...
  19. Suzy Elias

    Maandamano nchini Ufaransa kupinga upandaji wa gharama za maisha

    Ulaya inaendelea kushuhudia maandamano ya kupinga Urusi kuwekewa vikwazo hasa sekta ya nishati. -- Tens of thousands of people have protested in Paris against the high cost of living and for a more decisive fight against climate change. But is it the beginning of a wider movement against...
  20. J

    Pauline Gekul: Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa

    Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa : Mhe. Gekul Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul ameipongeza timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 (Serengeti Girls) kwa ushindi wa magoli mawili kwa Moja dhidi ya Ufaransa. Mechi hiyo ya Kundi D...
Back
Top Bottom