Hii yote ni kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya Putin ya mabomu anayopiga hadi bembea za watoto, ameikimbia frontline kaenda kushambulia makazi ya watu.
Nchi yote ikilindwa vizuri dhidi ya haya mashambulizi, mapigano yatandelea vyema frontline kule ambako anapokea kichapo balaa.
French...
Mataifa haya makubwa yana uwezo wa kujitegemea wenyewe. Kwa nini yasingeamua kuwa neutral kijeshi na kuamua kujiunga na NATO ambapo kwa namna moja ama nyingine ni kama kuwa chawa wa marekani??
ikizingatiwa kuwa ufaransa iliwahi kujitoa,ilikuwa na ulazima gani wa kurudi mara ya pili...
Mwaka huu tutashuhudia mengi. Wakoloni wa Afrika wanazidi kuumbuliwa na Urusi kupitia nishati za Urusi. Hivi sasa Putin amekula sahani moja na Ufaransa kwa kumkatia gesi Macron baada ya Ufaransa kukosa pesa ya kulipia gesi iliyotumia mwezi July.
Wakoloni hawa walizoea kupewa gesi ya dezo na...
Shirika la Ndege la Ufaransa, limewasimamisha kazi marubani wake wawili wa Air-France kwa kosa la kupigana wakati wakirusha ndege ya Airbus A320 kutoka Geneva kwenda Paris mwezi Juni.
Wafanyakazi wengine waliingilia kati ugomvi baada ya kusikia kelele ambapo waliamua kuwatenganisha vyumba...
Waziri wa Uchukuzi wa Ufaransa alitoa wito wa kuangazia mazingira ya kashfa hiyo inayozunguka tuhuma za kampuni ya mafuta ya TotalEnergies kuisambazia Urusi mafuta kwa mahitaji ya jeshi la anga la Urusi.
Tofauti na makampuni mengi makubwa ya Magharibi ambayo yameanza kufanya biashara nchini...
Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine.
Katika kuthibitisha hilo Marekani imeambatanisha na video iliyorikodiwa na drone (video ipo hapo chini) wakati artillery ya...
Tarehe 25 mwezi Juni mwaka 2022 fainali ya mashindano ya 21 ya “daraja la kichina” la wanafunzi wa vyuo vikuu duniani ilifanyika nchini Ufaransa kwa njia ya mtandaoni na nje ya mtandao, kaulimbinu ya mashindano hayo ikiwa ni “ dunia moja, familia moja”. Balozi wa China nchini Ufaransa Bw. Chen...
Wafaransa washenzi sana, walipoitawala Mali waliamua kufanya majaribio yao ya nyuklia kwenye ardhi ya Algeria miaka ya 1960s ili athari zitakazotokana na nyuklia ziwaathiri waafrika tu.
Yaani majaribio wafanye kwa faida ya Ufaransa, lakini madhila ya miaka na miaka hadi kesho yaendelee...
Na Eva Ngowi, Dar es Salaam
Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imetia saini mkataba wa kuipatia Tanzania mkopo wa Euro milioni 75 sawa na takriban shilingi bilioni 195 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Usambazaji wa Majisafi na Usafi wa Mazingira katika...
Vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi vikiwekwa Moscow,mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo la kujidhamini nishati na kuongezeka gharama ya bidhaa hiyo,Shirika la gesi la Gazprom la Russia...
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameshindwa kupata kura nyingi katika uchaguzi wa wawakilishi wa viti vya Bunge, ikiwa ni pigo kubwa kwake katika utawala wake ambapo amerejea madarakani hivi karibuni kuendelea na muhula wa pili.
Macron na washirika wake hawatapata Wabunge wa kutosha...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki.
Siku ya Ijumaa Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ilitangaza kuwa meli mbili za mafuta za Ugiriki...
Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Frédéric Leclerc-Imhoff (32) ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Ukraine. Leclerc-Imhoff alikuwa akifanya kazi katika Shirika la habari la BFM TV na alikuwa nchini Ukraine kutangaza hali halisi ya vita ikiwemo uokoaji wa watu.
------
A French journalist has been...
Haijawahi kutokea- Ufaransa mbioni kuwa muwekezaji nambari wani Tanzania. Ufaransa itawekeza zaidi ya dola bilioni 4.2 katika kipindi cha miaka mitano. Asiyemuelewa mama kindly spare us the noise.
===
Dar es Salaam. The French public and private commitment for Tanzania over the next five years...
Mchezaji mzuri anapaswa kung'aa kwenye timu yoyote na nchi yoyote.
Messi kushindwa kung'aa akiwa na timu ya PSG nchini ufaransa kumethibitisha kuwa Messi yuko over-rated!!
Ameishia na keshaanza kuwaza kukimbilia Marekani au uarabuni. Mwenzake CR7 hadi sasa ana magoli 18 na ndiye shujaa wa...
Taifa hilo limesema linawafukuza Wanadiplomasia 34 kutoka Ufaransa, 27 wa Hispania na 24 kutokea Italia. Mataifa hayo matatu ni miongoni mwa Nchi za Ulaya ambazo zimefukuza Wanadiplomasia zaidi ya 300 tangu vita kuanza Ukraine
Mataifa hayo yaliwashutumu Wanadiplomasia wa Urusi kwa kufanya...
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Urais baada ya kumshinda mpinzani wake, Marine Lepen katika raundi ya pili ya Uchaguzi wa Rais Nchini humo
Kura zimeonesha Macron ameshinda kwa kura 58 dhidi ya 42 za Lepen kulingana na makadirio ya taasisi za ukusanyaji wa...
1. Ufaransa wamepiga Kura Leo, matokeo Leo Leo. Na mpinzani kakubali kushindwa Leo Leo.
2. Afrika Sasa! Matokeo baada ya siku 14 na upinzani wanadai wameibiwa.
**Tusubir kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake.
Leo francophone kote Ni full shangwe
Watoto wanne wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo wamefunguliwa mashitaka Nchini Ufaransa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya mali za makampuni na rushwa.
Watoto hao Grace, Betty, Arthur na Hermine Bongo, wote wakiwa na zaidi ya miaka 50 walifunguliwa mashitaka hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.