Sasa hivi kila taasisi ina madudu ya kutosha juu ya rushwa na ufisadi.
Kulingana na ripoti ya CAG, tuliona namna ambavyo taasisi za serikali chini ya viongozi wake wanavyoiba pasipo woga wowote, hii inamaana wanapata baraka kutoka juu.
Pesa hizi zinazoibiwa ndio zinasababisha maisha ya...
Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%.
Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi.
Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungunkwa na wapigaji..
Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais...
Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount Meru, na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli iliyokuwa inamilikiwa na Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli tena.
Kijana ana ukwasi wa kutisha sana ndani ya miaka mitatu tu hii.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke.
Amesema haiwezekani Rais Samia anahangaika kutafuta fedha ndani na...
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.
Hii ni kwa kuwa...
Huu ni mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 tarehe 30 Mei 2024 bungeni Dodoma.
“....Serikali tarehe 16 Juni 2023 kupitia Wizara ya Ujenzi ikiongozwa na Prof. Makame Mbarawa by then, ilisaini mikataba saba...
Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan Uingereza na ligi ya mabingwa wa ulaya, wamefanya tena wizi wao dhidi ya walala hoi wa Tanganyika na Zenj...
Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana.
Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na jukumu zito sana la kuwahoji kabla ya kumuomba Raisi awasamehe na awape onyo kali sana.
Kamati...
Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
Kadri Raisi Samia anavyo fanya dhiara nje kutafuta pesa zinazo itwa za maendeleo ndio kadri wahuni wanavyo jipigia pesa za Umma.
Kasi ya upigaji ni kubwa kuliko ya kutafuta pesa huko nje na inaonekana Raisi hajali kabisa hilo, yeye upigaji sio jambo linalo muumiza kichwa wala kumkosesha...
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
Sina exactly eneo ila inaelezwa nyuma ya uwanja wa Ndege Tabora kuna eneo lenye zaidi ya Hekari mia nane linalomilikiwa na wananchi . Inaelezwa kwamba wananchi wameomba ilo eneo walipime wenyewe wakakataliwa badala yake wakaambiwa ofisi ya Ardhi ina kampuni za upimaji za watu binafsi watawapa...
Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa banda la kupokelea samaki katika soko la kimataifa la samaki lilipo eneo la Katambe Magarini lililojengwa kwa fedha za mfuko wa ndani Halmashauri kiasi cha Tsh. Mil 50 lakamilika kwa 100%. OR TAMISEMI
Ufisidi ni janga kubwa sana linalofanya kazi ya kukandamiza Taifa letu lishindwe kuinuka kwa haraka maana nguvu nyingi inatumika kufanya mambo ambayo ingepaswa kutumika nguvu kidogo tu. Miondombimbinu mibovu, kutumia fedha nyingi kununua bidhaa nje haya na mengine mengi ndiyo matunda yatokanayo...
Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.
Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa.
Chichi dodo
Kwa hali hii, tutafika?
Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X
Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
Mkurugenzi wa Katavi aliyetumbuliwa jana na Mh. Samia Suluhu bibi Catherine Mashalla haikutolewa sababu, lakini kumbe ana kesi ya uhujumu uchumi na alikuwa sero mpaka wiki iliyopita ndio amepata dhamana kwenye hii kesi niliyoambatanisha. Kiasi halisi alichotuhumiwa kupiga ni...
UFISADI WA MAKONTENA 329 BANDARI KAVU YA AZAMU ICD (2015)
To make a long story short,
Kama umekua mfatiliaji wa mambo, utakumbuka mnamo December, 2015, Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara TPA na kumuhoji Meneja wa TPA, (Abel Muhanga kwakipindi hiko), kuhusiana na tuhuma za ufisadi wa kupitisha...