Nimekuwa nafuga kwa miaka mingi sasa , kiufupi nimerithi hii shughuli , kinachoshangaza ni kunishitua ni gharama za ufugaji zinapanda hadi sio vizuri hapa nazungumzia ufugaji wenye akili sio ule wa kisukuma na kimasai 1.bei ya mifugo mfano bei ya ndama dume wa kisasa mwenyew wiki Moja ni...