uganda

  1. J

    Uganda kujenga SGR kuelekea Kenya kwa kuwatumia wakandarasi wa Yapi Merkezi. Je, SGR ya Tanzania itaweza ushindani wa Kenya na Uganda?

    ..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya Tanzania Serikali ya Uganda imechukua uamuzi huo wa kusitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour...
  2. Uganda yaingia mkataba na kampuni ya Uturuki kwenye SGR

    Hii ni kwa kipande cha SGR kitakachounga hadi Kenya.... After eight years of non-execution, the Uganda government has terminated the contract of China Harbour Engineering Company (CHEC) to build the country’s first phase of standard gauge railway (SGR), a 273km line from Malaba to Kampala, The...
  3. Uganda yavunja mkataba wa ujenzi wa SGR wa Tsh. Trilioni 5.1 na kampuni ya China, yasaini na Yapi Merkez

    Baada ya miaka 8 ya kushindwa utekelezaji, Serikali ya Uganda imesitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) ya kujenga awamu ya kwanza ya reli ya kisasa (SGR), njia ya kilomita 273 kutoka Malaba hadi Kampala. Njia hiyo, inayoanzia mpaka wa Malaba kati ya Uganda na...
  4. WHO yaitangaza Uganda kuwa haina tena ugonjwa wa Ebola

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limefikia maamuzi hayo ikiwa ni baada ya Siku 113 tangu Ugonjwa huo ulipoingia nchini humo na kusambaa katika maeneo ya jiji la Kampala huku ukisababisha vifo 55. Katika kukabiliana na maambukizi, Rais Museveni aliziweka kwenye vizuizi Wilaya mbili za Mubende na...
  5. Uganda: Ajali ya Basi yaua watu 16 na kujeruhi zaidi ya 20

    Takriban watu 16 wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi lililokuwa likielekea Gulu kugonga na Trela la Lori katika kituo cha biashara cha Adebe huko Kamdini kando ya barabara kuu ya Kampala-Gulu kaskazini mwa Uganda . Polisi walisema watu hao 12 walifariki papo hapo, huku wengine...
  6. Mwanajeshi wa Uganda awaua wenzake watatu Nchini Somalia

    Tukio hilo limehusisha Mwanajeshi wa Uganda walio Mogadishu chini ya Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika ambapo tukio ufyatuaji risasi ulitokea makao makuu ya kikosi cha jeshi la Uganda. Inaelezwa mtuhumiwa alivamia na kumpiga risasi mwanajeshi wa kwanza kifuani, hiyo ikasababisha taharuki...
  7. Uganda: Watu tisa wafariki huku wengine wakijeruhiwa kutokana na mkanyagano

    Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
  8. Uganda: Mabasi ya Volcano na Oxgen yagongana na kusababisha vifo vya watu sita

    Watu sita wamefariki papohapo baada ya Basi la Kenya la Kampuni ya Oxygen kugongana na Basi la Rwanda la Kampuni ya Volcano katika Kijiji cha Rwahi kinachounganisha Wilaya za Ntungamo na Rukiga magharibi kwa Uganda,Polisi Uganda wamethibitisha.
  9. Uganda: Majaribio chanjo ya Ebola yakwama kwa kukosekana wagonjwa

    Wataalam wa Afya wanasema hali hiyo ya kukosa wagonjwa wapta tangu Novemba 2022 imewafanya kushindwa kutoa chanjo aina tatu za majaribio zilizotua nchini humo hivi karibuni. Maambukizi ya ugonjwa huo kupitia Kirusi cha ‘Sudan strain’ yamesababisha vifo vya watu 55 tangu mlipuko ulivyoanza...
  10. L

    Tanzania, Uganda na Zambia ni moja ya nchi kumi zitakazopata fursa zaidi ya soko nchini China

    Kwa mara nyingine tena China imeendelea kuonyesha udhati wake kwenye kuzipatia fursa nchi zilizonyuma kiuchumi, kwa kufungua zaidi soko lake na kupunguza masharti ya kuingia kwenye soko. Hatua mpya ya mwelekeo huu ni ile iliyotangazwa na kamisheni ya ushuru ya baraza la serikali ya China...
  11. Dr. Idd Amin Dada aliyekuwa Rais wa Uganda. Na marais wetu na Doctorate za Kichawa

    Unashangaa? Wenye akili walikuwa wanazikataa.... Akina Nyerere waliamua waitwe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na kushimiwa sana. Nyerere alikuwa akiona unajipendekeza sana kwake anakutolea mbavuni. Hakutaka kuitwa Dr.. Idd Amin alipewa Degree ya heshima ya Sheria na Chuo Kikuu Cha...
  12. Uganda: Wizara ya Afya imesema mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameruhusiwa kutoka Hospitali

    Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo. Afisa Kutoka Wizara ya Afya, Diana Atwine ameandika pia kupitia Twitter "Ninafuraha kutangaza kwamba tumemruhusu mgonjwa wa...
  13. Operesheni ThunderBolt: Mkakati wa Kuokoa Mateka wa Israel Entebe - Uganda

    Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii ilitua katika uwanja Athens ikiwa safarini kutoka Tel Aviv Israel kuelekea Paris Ufaransa. Mpaka...
  14. Visa vya Ebola vyapungua nchini Uganda

    Wiki tatu zijazo ni muhimu kwa Uganda kudhibiti Ebola kufuatia kupungua kwa maambukizi mapya kwa mara ya kwanza ndani ya siku 10. Iwapo hali hiyo itaendelea, nchi inaweza kufurahia likizo "huru" za Krismasi baada ya takriban miezi miwili ya vizuizi kwa watu kutoka wilaya za Mubende na Kassanda...
  15. Simu zapigwa marufuku Magerezani Uganda wakati wa Kombe la Dunia

    Agizo hilo limewataka Wafanyakazi wa Magereza kutotumia 'Smartphone' muda wote wakiwa kazini kwa maelezo kuwa Wafungwa wanaweza kutumia msisimko wa Soka kutoroka. Msemaji wa Magereza Frank Baine amesema "Wafanyakazi wote hawatakiwi kuripoti kazini na Simu kwa sababu zinavuruga umakini na...
  16. Uganda: Rais Museveni adai wanaidhibiti Ebola

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewahakikishia watalii na wageni kuwa maambukizi ya Ebola yanadhibitiwa na hawana haja ya kusitisha kuitembelea Nchi hiyo Amesema kuna watalii walisitisha ratiba ya kwenda Uganda na wengine kuhamisha shughuli zao walizotakiwa kuzifanya Nchini humo. Ameeleza...
  17. M

    Msaada: Bus linalotoka Dar es Salaam kwenda Uganda au njia rahisi ya kutuma mzigo kwenda Uganda

    Habarini wakuu, Naomba kuulizia bus linalotoka DSM kwenda Uganda na ofisi zao zilipo (kana lipo lolote) au njia rahisi na ya bei nafuu ya kutuma mzigo kwenda Uganda.
  18. Baada ya Kenya kupeleka askari wake DRC chini ya mwavuli wa EAC. Je, Rwanda na Uganda watapeleka askari wao?

    Habari wakuu? Natumaini wengi wetu tumeona taarifa juu ya serikali ya Kenya kupeleka askari wake kwaajili ya kupambana na waasi wa M23 pamoja na vikundi vingine pale mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo ambapo askari hao wamepelekwa kama askari wa jumuiya ya Afrika mashariki ukiachana...
  19. Wanafunzi 8 wafariki kwa Ebola Uganda, Serikali kuzifunga shule zote

    Baraza la Mawaziri limeridhia Shule kufungwa Novemba 25, 2022 ikiwa ni baada ya wanafunzi 23 kupata maambukizi ya Ugonjwa huo. Mke wa Rais Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu amesema hatua hiyo itapunguza mikusanyiko ya watoto kukutana na wenzao, walimu na wafanyakazi wengine wanaoweza...
  20. Hongera kwa Ruto kutowarembea M23, Akiwa mpole Kenya Magharibi itaanza kuchezewa kama Congo, M23 = Rwanda + Uganda

    Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda kwa Mkuu wa majeshi ya Kenya ambae ni Ruto. aliweka ujumbe kwamba anaweza kuikamata Nairobi ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…