ugonjwa

  1. Mkalukungone mwamba

    Dkt. Grace Magembe: Watu 281 waliokuwa Karantini kwa ugonjwa wa Marburg Kagera watoka Salama

    Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe amesema watu 281 wakiwemo watumishi wa afya 64 waliokuwa wametangamana na wagonjwa wa Marburg mkoani Kagera, wametoka karantini wakiwa salama. Amesema katika mipaka ikiwemo viwanja vya ndege na bandari, wasafiri 18 kati ya 417,148 waliochunguzwa...
  2. Ghost MVP

    Je huu ndio Ugonjwa wa "MonkeyPox" umeingia Tanzania?, na Mamlaka hawasemi Kitu

    Kuna Video inatembea sana Mitandaoni, ikimuonesha Kijana mmoja mwenye ugonjwa asili ya Tetekuwanga ila hii ni Extra.. tunapenda kupata tamko na maelezo juu ya ugonjwa huu, kutoka kwa mamlaka husika, ili kusaidia watu Kujihadhari
  3. RIGHT MARKER

    Ugonjwa wa "kuamka huna hela mfukoni" na dalili zake.

    👁️JINA LA UGONJWA KUAMKA HUNA HELA MFUKONI. 👁️DALILI YA UGONJWA WA "KUAMKA HUNA HELA MFUKONI" (a) Mwili kuchoka na kukosa nguvu, ikiwemo kupoteza hamu ya kula. (b) Kupoteza hamu na shauku ya kuwasiliana na watu au marafiki unaofanana nao kiuchumi. Unahisi kuwasiliana nao ni kuharibu salio...
  4. Waufukweni

    Ugonjwa usiojulikana waibuka Kongo na kuua watu zaidi ya 50

    Zaidi ya Watu 50 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na ugonjwa usiojulikana, hii ikiwa ni kwa mujibu wa Madaktari waliopo katika eneo hilo na Shirika la Afya Duniani (WHO). Takriban visa 419 vimeripotiwa, vikiwemo vifo 53 tangu mlipuko wa ugonjwa huo...
  5. Kevin Biharagu

    Ugonjwa wa Ngiri(Hernia)

    Habari wakuu, naomba kufahamu zaidi kuhusu huu ugunjwa wa Hernia. 1. Chanzo chake 2. Dalili 3. AThari zake 4. Matibabu yake
  6. Setfree

    Umezuka Ugonjwa wa Kusahau Kulipa Madeni!

    Mtu anakuja kwako analia, kilio cha msibani. Anapiga magoti umkopeshe pesa. Unamkopesha kwa moyo safi kabisa. Anaondoka kwa shangwe utafikiri bwana arusi kaoa. Muda mliopatana wa kulipa deni ukifika, ghafla anapatwa na "ugonjwa wa kusahau kulipa madeni." Ugonjwa usiotibiwa hospitali, ambao dawa...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Jihadhari sana kabla hujamkopesha mtu, Kuna wengine kila anayemkopesha anakufa au anapata ugonjwa mbaya sana

    Shika neno hili. Kuna mtu ukimkopesha Hela, kila mara unakuwa mtu wa kupoteza simu na mtu msahaulifu. Mtu mwingine ukimkopesha Hela Yako, anakupeperusha, unajikuta bila sababu yoyote umehamia mbali na eneo la mdaiwa wako. Mtu mwingine ukimkopesha Hela, unajikuta unaanza kuandamwa na makesi ya...
  8. Captain Fire

    Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

    Mwezi umepita nililala na mwanamke bila Kinga, mpaka leo nikikojoa panauma. Je, inaweza kua UGONJWA gani?
  9. J

    Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa

    Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa Uponyaji ni nini Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo. Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima...
  10. mkolaj

    Naombeni msaada wa dawa za kutibu ugonjwa wa Scabbies

    Ndugu wa Jf poleni sana Kwa mihangaiko yetu ya siku, natumaini tunaendelea vizuri kulingana na mapenzi ya muumba wetu. Nirudi kwenye maada, Mimi nasumbuliwa na homa ya Scabbies, kiukweli hii homa inanifanya nikose amani, ngozi ina upele na inawasha sana. Naombeni msaada wetu wa dawa mzuri za...
  11. FRANCIS DA DON

    UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

    Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha? - Magonjwa haya husababishwa na kushuka kwa kinga ya mwili (upungufu wa kinga mwilini), lakini unaweza kuyapata...
  12. JOHNGERVAS

    Ugonjwa Kuwashwa katikati ya Vidole

    Habari wakuu, mada hapo juu inahusika. Nina mdogo wangu ana Miaka 23 wa Kiume amekutwa na Ugonjwa wa Ajabu wa kuwashwa mwili mzima. alienda Hopsitali wakamwambia ni Mzio yaan aleji ambayo ilisababishwa na Ile dawa ya Mbu ya Kupaka. Walimpa dawa za aleji akatumia amepona japo kwa sasa amekuwa...
  13. OMOYOGWANE

    Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani kitaalam, kienyeji huku wanaita "kajembe"

    Hellow wakuu, Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne, Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat" Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second Hii ni ya miaka mibgi. Analalamika kifua kibana na maumivu...
  14. A

    Ugonjwa zao la ufuta majani kujikunja na kukakamaa nitumie dawa gani

    Ufuta wangu una wiki 7 majan yanakakamaa je nipige dawa gani nimeshapga dawa ya duduba lakin hali bado haijakaa sawa
  15. Alvin_255

    Ugonjwa wa Akili Narcissistic Personality Disorder (NPD)

    Ni ugonjwa ambào mtu anakuwa na hisia za Ubinafsi ndani yake, Aina hii ya ugonjwa mtu anakuwa na uhitaji mkubwa wa kusifiwa na kupongezwa katika kile anachokifanya.. Mtu mwenye ugonjwa huu huwa na hisia zilizokithiri za kujiona kuwa yeye ndio wa muhimu hivyo huhitaji kupewa umakini. Watu wenye...
  16. Yoda

    Ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu(Dementia) ni ugonjwa adimu Tanzania?

    Huu ugongwa wa kupoteza kumbukumbu(dementia) ni common sana kwa watu hasa wazee kuugua huko Marekani na Ulaya. Kwa hapa bongo ni nadra sana kukutana na mtu anayegua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia). Maisha yangu yote nimewahi kumuona mzee mmoja tu akiugua huu ugonjwa, tena alikuwa...
  17. ngara23

    Simu za Google pixel 4a zimepata ugonjwa wa kufa battery 🔋

    Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a Kuuza ni ngumu Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma, wanasema google pixel 4a ikishakufa betri habari imekwisha Ukibadilisha ugonjwa wa kuuwa betri ukitumia...
  18. OMOYOGWANE

    Kalala usiku kaamka kanyolewa nywele. Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani?

    Habari wakuu, Picha hapo juu inajieleza, Ni kijana mwenye umri wa miaka 26, jinsia mwanaume, kazi yake ni mkulima. Alilala usiku akaamka hana nywere baadhi ktk eneo la juu ya kisogo na pembeni, nywere zilizotoka hazikuonekana kitandani wala popote, hii hali ilitokea ghafla tu Hana rekodi...
  19. Uchumi TV

    Rais Samia athibitisha uwepo wa Ugonjwa Marburg Tanzania

    Rais Samia akitoa taarifa kwa Mkurugenzi mkuu wa WHO jijini Dodoma amesema kuwa mmonjwa mmoja amekutwa na ugonjwa huo kutoka mkoa wa Kagera na wengine 25 waliopimwa baada ya kushukiwa hawakukutwa nao. Amesema serikali inaenelea kufaya uchunguzi zaidi. https://www.youtube.com/watch?v=Atn0fKyOmu4
  20. Dr PL

    Ifamu ugonjwa wa Kiharusi (Stroke), Dalili na Matibabu:

    Kiharusi (stroke) ni ugonjwa wa kupooza sehemu au upande mmoja wa mwili kutokana na hitilafu/uharibifu kwenye ubongo, hasa ubongo kukosa damu au damu kuvilia ndani ya ubongo. Kiharusi husababisha ulemavu na vifo duniani kote ambapo kila mtu mmoja (mwenye miaka 25 na zaidi) kati ya wanne hupata...
Back
Top Bottom