Wasalaam Sana wajumbe.
Kumekuwa na dhana iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu ugonjwa wa Urinary Track Infection UTI ambao unawakumba watu wengi nyakati hizi bila kujali umri wala mazingira anayo kaa mtu.
Je UTI ni ugonjwa unaoambukizwa kwa kujamiiana.? Nauliza hivi kwa Sababu Kuna msemo...
Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.
Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo.
Cha zaidi ni...
Kwenye maisha kila mtu ana haki ua kutoa maoni yake kwa vile anavofikiria.
Bahati mbaya wengi tumeshindwa kufikia ndoto zetu au kuamua mambo yetu kwa kuishia kusoma comments za watu humu ambao bila kutafakari tumeishia kufanya maamuzi ya juu kwa juu.
Ni wangapi wameacha kuanza biashara kwa...
achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani.
ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server katika mfumo wako wa ubongo unakawaida wa kuleta kukusanya na kuleta taarifa hasa ukiwa...
Daaah! Ama kweli hujafa hujaumbika
Nilikutwa na shida ya figo na nikapata taarifa kwamba itafika kipindi mzuka wa kula papuchi utaisha.
Jana nimepata demu pisi kali nakwenda nae ghetto mgejege umegoma kutoa ushirikiano nikajua tayari CKD ishafanya yake
Jamani tunzeni figo zenu maana athari...
wakuu,
Mimi nimeugua kuanzia 2021 hadi leo miaka minne. Nipo nahangaika.
Naumwa ugonjwa wenye tiba lakini wenye usugu wa dawa. Yaani kwa kifupi ni sikio la kufa.
Nadhan wapo wengine ambao wamepata magonjwa ya kudumu kama pressure, kisukari na ukimwi.
TUFARIJIANE
Inaelezwa kuwa karibu watu wote wanaugua Surua na Tetekuwanga kwa nyakati tofauti katika ukuaji wao.
Mara kadhaa nimeshuhudia wazazi wengi wakiwatibu watoto wao kwa dawa za Asili wakieleza kuwa hutibu haraka na kwa uhakika.
Lakini kwanini hawataki kuwapeleka Hospitalini kupata ushauri wa...
Wakuu nawapa mrejesho wa shida zangu baada Jana usiku kichwa kuuma sana katikati ya utosi...nkaenda pima dispensary nkaambiwa nna UTI25 na hypoid
Leo nkaamkia mloganzila kwenye clinic yangu ya siku zote ya ugonjwa nao umwa wa tezi ..baadae nkaenda muona physician akaniandikia...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO),Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa Mlipuko wa Mpox si janga la Afrika pekee bali ni la kimataifa katika mkutano wa kamati ya dharura ya shirika hilo Agosti 14, 2024.
Kwa mara ya pili tangu mwaka 2022, ugonjwa umetangazwa...
Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .
Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa...
VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo.
LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI TUNA FICHA MAGONJWA MENGI KWENYE SHIDA INAYOWEZA PUUZWA NA WENGI KWAMBA "...:confused:.ma'''''ke iki...
Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi fulani n.k
Aina hii ya mauaji imekuwa maarufu zaidi katika nchi za magharibi ikihusishwa zaidi na...
Ni wazi kuwa tumepata kuona kwenye vituo vyetu mbalimbali vya afya wagonjwa wa Hydrocephalus, watoto wetu wamekuwa wakipata matatizo haya kwa kiwango kikubwa. Kwa zaidi ya miaka 10 nimekuwa nikiwaona wazazi na walezi wakipata shida, wakizunguka hapa na pale kwa ajili ya kutafuta suluhu ya...
Nimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden.
Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025.
Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna changamoto ya kiafya.
Naomba ushauri wako ni ugonjwa gani nikiuweka plus ushaidi wa daktari itakuwa...
Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia mpya ya kutibu ugonjwa wa kisukari.
Timu ya wataalam kutoka Hospitali ya Changzheng ya Shanghai...
Chembe hai za ubongo (neuronal cells) zina utando unaoitwa Sphingolipids( Haya ni mafuta maalum ya ubongo) na mojawapo yanaitwa Sphingomyelin.. mafuta haya husaidia kusafirisha taarifa ( impulse) ambayo huwa katika mfumo wa umeme( action potential).Taarifa ya kusikia , kuona , maumivu nk...
Habari Ndugu zangu!
Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio!
Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote!
Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye mazoezi! Japo bado sioni mafanikio!
Jamani ninahitaji Sana wa kupata watoto umri wangu umesonga, Ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.