UGONJWA WA VIJANA NDO UMAUTI WAO.
Dhana mnayoiendekeza namnaiona ndo pepo yenu tambueni ndo umauti wenu pia maana hakuna kizuri kisicho kuwa na kasoro.
Yes nawakumbusha Vijana 👇
Mashangazi hupenda vijana kwa sababu ya Pumzi na ni Wateke Wanakuna mpaka Pochi manyoya zao zinaitika na wanaipata...
Harakati Harakatini
Msingi mkubwa wa haki za binadamu ni mapokeo ya Universal Declaration of Human Rights ya mwaka 1948 ambapo humo kuna vipengele 30 vya hizi haki za binadamu. Ni document ya page 8; yeyote anaweza kuisoma na kujionea kilichomo.
Ukipitia hiyo document ya haki za binadamu...
habarini wana Jf,kuna mdogo wa mke amepata ugonjwa wa ajabu amekuwa ananyonyoka nywele kama mnavyoona yeye ni umri wa miaka 13 ,je huu ni ugonjwa gani tiba ni ipi.
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Jamila Yusuf amesitisha shughuli za uchimbaji madini katika Mgodi wa Lumuka uliyopo Kijiji cha Dirifu, Manispaa ya Mpanda kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu uliozuka katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo.
Agizo hilo amelitoa mara baada ya...
Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna
Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua.
Kama Kuna mtu anisaidie maana...
Wakuu nilipata homa nikapima nikakutwa na tyfoid, nilivoanza kupona mara homa ikajirudi tena, je inaweza kuwa na mke wangu ana ugonjwa huo pia? Na kunisababisha kurudi Kwa homa ya tyfoid kama ilivyo Kwa UTI?
Jifunze kuhusu ugonjwa wa ngiri,aina,na matibabu yake.
•kuna magonjwa ya hernia ya aina nyingi kama zile ziitwazo kitaalamu inguinal, umbilical, femoral, epigastric, incisional, inguinal hernia na diaphragmatic hernia.
Lakini watu wengi hukumbwa na hernia iitwayo inguinal hernia ambayo hutokeza...
Kuna miaka ilikuwa mtoto akionekana mbishi wa kula, amezubaa zubaa au goigoi sana wazazi wanaambiana inawezekana ana minyoo na mara moja atapewa dawa za minyoo bila hata kumuona daktari, ila umepita muda mrefu sana sioni watoto wakipewa dawa za minyoo/ safura tena!
Nafikiri hata kipindi...
Watoto wanne wa familia moja wakazi wa Mtaa wa Sanungu, Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, wamefariki ghafla kwa ugonjwa usiojulikana hali iliyosababisha taharuki kwa wakazi wa maeneo hayo na kuiomba Serikali kupitia wataalamu wa afya kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha vifo...
Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida.
1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa.
Wengi kwenye nadharia ya kwanza...
Novemba 14 ni siku ya Kisukari Duniani ikilenga kuongeza uelewa kuhusu Ugonjwa huo na umuhimu wa kuzuia na kudhibiti hali hii.
Kumekuwapo na Taarifa nyingi kuhusu ugonjwa huu, zikiwepo Sahihi na Zinazopotoshwa.
Je, Taarifa gani unahitaji kujua Uhalisia wake kuhusu Ugonjwa wa Kisukari?
Pia...
Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa.
Haya mambo...
Utangulizi
Katika muktadha wa afya ya umma, ni muhimu kuwa na ufuatiliaji wa haraka na wa kina wa matukio yanayoathiri jamii. Katika eneo la Kijiji Cha Itumbi, kata ya Matundasi, wilaya ya Chunya, kuna taarifa za kusikitisha kuhusu kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu, ambao umesababisha vifo vya...
Washitakiwa tisa (9) wanaotuhumiwa kuhusuka na mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ualbino Marehemu Noela Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu mkazi wa kata ya kamachumu ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamefikishwa mbele ya jaji wa mahakamani kuu ya Tanzania kwa ajili ya...
Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu )
Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama watu wanavyoongelea ( ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu ya kawaida )
Uhatari wa ugonjwa huu upo...
Habari wakuu
Niliwahi kupost uzi tofaut tofaut kuhusu huu ugonjwa ambao kwa mujib wa wanaJF ni PE na nimetumia dawa na ushauri tofauti tofauti kutoka kwa JF experties
Nini cha kuongezea hapa nilipofikia maana kuna ngozi laini sana inabanduka
Kuna mwanamke mmoja nipo nae kwenye mahusiano na huwa tutakutana kimwili mara mbili au mara tatu kwa mwezi.
Mara nyingi tukikutana huwa hatutumii kinga sababu wote tulienda kupima kipimo kikubwa na kuonekana wote damu zetu zipo safi kwamaana hatuna maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Wiki mbili...
Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea kusababisha saratani ya ini(Hepatocellular carcinoma). Mpaka sasa 'Hep B' haina tiba kamili ya kuiondoa...
Pamoja nauwepo maji ya kutosha lakini watuwanakosa maji safi na salama ya kutumia
Hivi karibuni, katika Jiji la Nairobi nchini Kenya, ilizinduliwa Taarifa kuhusu Hali ya Mazingira ya Afrika kwa mwaka 2024, ikiangazia zaidi suala la upatikanaji maji salama barani humu.
Kikubwa katika uzinduzi...
Kichaa cha Mbwa ni ugonjwa hatari unaosababishwa na kundi la virusi waitwao Lyssa (kuna virusi wa Rabies na virusi wa Australian bat wote hawa huleta ugonjwa huu).
Ugonjwa huu huwapata binadamu kwa kuumwa na mnyama Kama Mbwa, Mbwa mwitu, paka, Fisi, popo na wengineo wa jamii hiyo mwenye virusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.