Wewe ni mwenyeji wa Arusha?
Wewe ni mkongwe wa Arusha?Unazijua “mbanga” za Arusha? Unawajua hawa? Kyusa, Zungu, Kababuu, Pengo, Mojaa, Juma Kipisi, Jumanne Mjusi, Sadiki Mkindi na Wengineneo?Kwa mkongwe wa Arusha, nina hakika kabisa majina haya yamekusisimua sana. That is a list of daring...