Ndugu zangu TRA, Kuna kampuni inaitwa DMA ipo dodoma na makao makuu yapo Dar es salaam. Hawa kwanza ni matapeli kutoka Zimbabwe, wametufanyisha kazi na hawajatulipa toka mwezi wa tatu na mikataba yetu ilimalizika tangu mwezi wa tano. Tupo wat zaidi ya 300 kwenye mikoa ya Dodoma, Manyara na...