Habari wakuu,
Napenda kufahamu kutoka kwa wajuzi mbali mbali humu jf.
Je, mamlaka ya uhamiaji Tanzania inaweza kumchukulia hatua za kisheria mbongo yeyote aliyeamua kujiripua nje ya nchi,
kutafuta maisha,mfano alitoka hapa bongo akaenda Kenya akachukua passport ya Kenya akaenda DENMARK...