Ndugu zangu, nimesoma sehemu mhandishi huyu wa dawasa akidanganya. Pamoja na mvua zinazonyesha dsm kuna maeneo hakuna maji ikiwa ni pamoja na kinyerezi.
Ndg waandishi wa habari popote pale mnaposoma huu ujumbe fikeni kinyerezi saranga mjionee, mpate habari za kukosekana maji yapata mwezi wanne...