Kati ya mhitimu wa VETA na mhitimu ya kitivo cha Uhandisi utamwajiri yupi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Naenda maonyesho ya sabasaba kila mwaka, huwa napitia mabanda ya VETA, SIDO na Kitivo cha UHANDISI UDSM kote nakutana TU na mashine za kufyatua matofali zenye ingini kutoka China, ninashindwa kutofautisha viwango vya ujuzi kati ya taasisi hizi tatu. Je, ni mhitimu yupi Bora kati ya wanafunzi wa VETA na wale wa kutoka Kitivo cha UHANDISI UDSM? Kama mwajili utapenda kutoa ajira kwa mhitimu yupi?
 
Veta wako more practicle kuliko hao wa UDSM kazi yao ni kuomba mshahara mkubwa ila kazi hamna kitu.
 
Kasome kwanza kazi za engineer na technician..haf njoo uulize swali lako..
Nikasome wapi bhana wakati naona barabara zote zinajengwa na wachina, magari yetu tunatengenezewa na mafundi wa hivihiiivi miemneni, mashine nyingi zinachongwa na wahitinu wa VETA na SIDO pale? Hata vijiko tunaagiza kutoka hukoo, na mwishowe hata toothpicks tunaagiza? Wewe huohopi!!!
 
Shida ya JF mi kuwa kila pimbi anaruhusiwa kuandika ..
Unaweza kutofautisha katika ya:
  1. Artisan
  2. Technician
  3. Engineer?
Unaweza kutofautisha kati ya:
  1. Nurse
  2. Clinical officer
  3. Medical Doctor
  4. Specialist?
Au kwako wewe yule anayechoma sindano ndio kila kitu?
Kusoma na kuelimika ni vitu 2 tofauti. Kusoma ni vyeti na kuelimika ni namna ulichosoma kinavyorudi kwenye jamii na kutatatua kero zao na kero zako kwa pamoja.
 
Veta ni watu wa practical zaidi tena Probably anachokifanyia Practices hata Hajui structure yake
Mhandisi wa COet yeye Ni Mtu wa analysis na Complex Evaluation za Ivo vitu technically huyo Veta akipewa kitu afanye kinakuwa Analyzed tayari na wataalam
 
VETA hawezi kutengeneza sindano ya kushonea vishikizo vya shati na graduate wa chuo kikuu hawezi pia, yaani wote wapo lakini sindano (needles) tunatoa uchina. Hiyo analysis sikui evaluation is nonsense.
 
Naenda maonyesho ya sabasaba kila mwaka, huwa napitia mabanda ya VETA, SIDO na Kitivo cha UHANDISI UDSM kote nakutana TU na mashine za kufyatua matofali zenye ingini kutoka China, ninashindwa kutofautisha viwango vya ujuzi kati ya taasisi hizi tatu. Je, ni mhitimu yupi Bora kati ya wanafunzi wa VETA na wale wa kutoka Kitivo cha UHANDISI UDSM? Kama mwajili utapenda kutoa ajira kwa mhitimu yupi?
Itategemea na mahitaji ya mwajiri. Kuna kazi ambazo engineer anahitajika, kuna ambazo mtu wa veta atahitajika.
 
Tofauti ipo kwenye vyeti, matarajio na viwango vya mishahara, lakini jamii (mtumiaji wa mwisho) inachohitaji ni huduma. Yaani gari langu limeharibikia njiani nataka fundi aje alitengeneze ili kuendelea na safari yangu. Nani kati ya hawa 2 nitampata haraka na nani kati ya hawa atafanikisha gari langu lipone na kuendelea na safir yangu.
 
Ndio maana unatakiwa ujifunze, tofauti haiko kwenye vyeti hata majukumu. Engineer unamuongelea hapa ni wa fani gani maana wako wengi?

Engineer hata kimasomo, mitaala yao ime focus kwenye design,analysis, and development. Huwezi mkuta engineer site anabeba cement au anakoroga zege.

While watu wa veta ni practical application, ndio maana huwez kuta fundi wa veta anasimamia mradi wa barabara, au ana design madaraja na barabara.

Kila mmoja ana faida yake, na mahali pake
 
Veta ni watu wa practical zaidi tena Probably anachokifanyia Practices hata Hajui structure yake
Mhandisi wa COet yeye Ni Mtu wa analysis na Complex Evaluation za Ivo vitu technically huyo Veta akipewa kitu afanye kinakuwa Analyzed tayari na wataalam
Sasa ni kipi kilichozuia huyu mhandisi na ye afanye practical kama wa veta??,,je wajua vyote ni mhimu??..kwa style hiyo uyu injinia sehemu ingine atashindwa kuajiriwa.
 
Ndio maana unatakiwa ujifunze, tofauti haiko kwenye vyeti hata majukumu. Engineer unamuongelea hapa ni wa fani gani maana wako wengi?

Engineer hata kimasomo, mitaala yao ime focus kwenye design,analysis, and development. Huwezi mkuta engineer site anabeba cement au anakoroga zege.

While watu wa veta ni practical application, ndio maana huwez kuta fundi wa veta anasimamia mradi wa barabara, au ana design madaraja na barabara.

Kila mmoja ana faida yake, na mahali pake
Kama huwezi kumkuta engineer mwenye degree Moja akichanganya udogo hapo ndipo tatizo la elimu yetu lilipoanzia.

Wenzetu hata mwigizaji wa tamthilia ana degree Moja hata mbili, sisi kwetu uigizaji ni kipaji tu
 
Naenda maonyesho ya sabasaba kila mwaka, huwa napitia mabanda ya VETA, SIDO na Kitivo cha UHANDISI UDSM kote nakutana TU na mashine za kufyatua matofali zenye ingini kutoka China, ninashindwa kutofautisha viwango vya ujuzi kati ya taasisi hizi tatu. Je, ni mhitimu yupi Bora kati ya wanafunzi wa VETA na wale wa kutoka Kitivo cha UHANDISI UDSM? Kama mwajili utapenda kutoa ajira kwa mhitimu yupi?
Ulitaka mhandisi wa Ujenzi...na yeye ajenge Tofali kweli....Yeye yupo level ya management.
Ivi Watz ni lini Ujinga utatuisha.
Yani mnataka wote wawe watendaji haya na wakaguaji na wasimamizi wawe kina nani.
 
Back
Top Bottom