Twende taratibu mkuu,usiwe na jazba kiiivyo tunatafuta uelewa, yawezekana kabisa unabishana na watu unaowazidi kielimu,lkn hata uyo unayemzidi kielimu kuna jambo anaona haliko sawa katika elimu zetu tz,,ebu nikuulize hivi wajua kuna mazingira fulani yawezekana ukashuka na kufanya kazi ya walio chini yako??,,
Mifano mizuri tunaona kwa walioendelea kama ujerumani, china na kwingineko,injinia asimamii tu wakati mwingine na ye anashika nyundo,koleo nk,,lkn wasomi wetu nyie mnataka mkae tu maofisini weee,,mnaishia tu kuelekeza na kuagiza,,wenzetu wanaweza fanya katika hali zote hata kubeba karai ya zege kupandisha ghorofani,why nyie mko tofauti??,, kumbuka hali hii yawezatokea tokana hasa na uhaba wa ajira,unajua waweza kosa nafasi ya kuendelea kuwa msimamizi?,what next?utafanya nini?, tatizo lenu liko hapo!!.
Sawa Tafuta Wachina wenye First degree ujue pia wanafanya kazi gani apa Bongo kwenye miradi yao.
Nenda katizame mitaala yao waliyofundishiwa; Theory 30% na Practical 70%, mitaala yenu ikoje? ma specialist wao wanazama chini ya maji kujenga madaraja makubwa na hatari kwa ratio na dimensions wanazoziamini wao.