Kati ya mhitimu wa VETA na mhitimu ya kitivo cha Uhandisi utamwajiri yupi?

Tatizo mama la nchi hii mpaka tunaona wenye certificate na degree wako level moja ni siasa mbuvu na mindset mbaya
Japo mtu wa elimu nyingine anamtegemea pia mtu wa level nyingine
 
Kule wodini hospitali huwa naona mtaalu mwenye degree anashindwa na mtaalamu mwenye diploma katika kutafuta na kupata mshipa wa damu kumuogezea maji mtoto. Nikauliza hii nini jamaa mmoja akaniambia mitaala ya digrii hapa kwetu ina maelezo (theory) nyingiiiiiiiii kuliko vitendo (practical). Wasomi wetu wakienda vyuo vya ulaya wanaongoza kwenye theory
 
Ingekuwa busara na rahisi kuchukua mapato yote ya madini kuiomba China ilete walimu wao wa sayasi na uhandisi kuja kufundisha shule na vyuo vyetu kwa kutumia mitaala yao kwa muda wa miaka 10 ili kupata mbegu chotara ya walimu wenye umahiri. Kama tunataka watoto wanaomudu kuzungunza na kuandika kiingereza/kifaranza au... kuleta walimu wazuri kabisa wa kiingereza mashuleni kwetu kutoka ndani na nje ya nchi. Hii ndiyo itakayoivunja ile vicious cycle yetu ya elimu mbovu.
Hiyo busara unafikiri anaweza kuifanya kama siyo viongozi ambao ni zero brain kabisa wapo wapo tu kusifiana, unakuta mtu ni waziri hana philosophy yoyote kuhusu maisha
Maendeleo kwa kiasi kikubwa ya kinchi yanaletwa na viongozi wachache walioamua kubadilisha hatma ya nchi watanzania wengi ni smart na wanaweza kuleta mageuzi ya kiuchumi na ya kisayansi tatizo mfumo unawabana unabaki kuwa chawa why Engineer na kada nyingine wakienda abroad wanakuwa wanategemewa na wakifanya pia undersurpvison ya wageni wanaperform vizuri

Elimu yetu iko too theoretically na wahadhiri wengi wakitaka kufanya maboresho kwa mfano kununua vifaa vya maabara, workshop na vingine wanaambiwa budget haitoshi na ukikomaa sana unaweza hata kunyimwa baadhi wa fursa ,ukiamua ufungue kampuni wanakunyima tenders hata kama unajua anapewa mchina ukipewa wanataka percent kubwa unaamua tu ufanye chini ya kiwango ili urudishe gharama
 
Kule wodini hospitali huwa naona mtaalu mwenye degree anashindwa na mtaalamu mwenye diploma katika kutafuta na kupata mshipa wa damu kumuogezea maji mtoto. Nikauliza hii nini jamaa mmoja akaniambia mitaala ya digrii hapa kwetu ina maelezo (theory) nyingiiiiiiiii kuliko vitendo (practical). Wasomi wetu wakienda vyuo vya ulaya wanaongoza kwenye theory
Itakuwa tu jamaa alikuwa kilaza yeye kama yeye lakini kusema kwamba Md anazidiwa uwezo na Clinical Officer hiyo haipo kingine naamini kwenye kufanya majukumu wanategemeana
 
Zamani nilikuwa najua kuwa kadri mtu anavyosoma zaidi ndivyo anavyozidi kuwa mahiri na mchapa kazi (kiutendaji) kumbe sivyo.

Aliyesoma sana anakuwa mvivu halafu wengi wao ni wezi , mafisadi wa hatari
 
Hiyo busara unafikiri anaweza kuifanya kama siyo viongozi ambao ni zero brain kabisa wapo wapo tu kusifiana, unakuta mtu ni waziri hana philosophy yoyote kuhusu maisha
Maendeleo kwa kiasi kikubwa ya kinchi yanaletwa na viongozi wachache walioamua kubadilisha hatma ya nchi watanzania wengi ni smart na wanaweza kuleta mageuzi ya kiuchumi na ya kisayansi tatizo mfumo unawabana unabaki kuwa chawa why Engineer na kada nyingine wakienda abroad wanakuwa wanategemewa na wakifanya pia undersurpvison ya wageni wanaperform vizuri

Elimu yetu iko too theoretically na wahadhiri wengi wakitaka kufanya maboresho kwa mfano kununua vifaa vya maabara, workshop na vingine wanaambiwa budget haitoshi na ukikomaa sana unaweza hata kunyimwa baadhi wa fursa ,ukiamua ufungue kampuni wanakunyima tenders hata kama unajua anapewa mchina ukipewa wanataka percent kubwa unaamua tu ufanye chini ya kiwango ili urudishe gharama
Mwalimu aliyetokana na mwalimu hafifu wa darasa la saba (UPE) ni mwalimu hafifu pia. Ndiyo maana wanafunzi wa Yesu wote wako strong, wanafunzi wa Socrates wote ni mahiri sana, wanafunzi wa Nyerere wote wako kama Nyerere kwa ubora na hata kuongea. Hivyo, mwanafunzi wa Professor hafifu ni hafifu pia.
 
Uko sawa ila tu kwa nyerere hapo mimi nadhani nyerere ni chanzo cha matatizo mengi ambayo pia tunapigania yaondolewe
 
Itakuwa tu jamaa alikuwa kilaza yeye kama yeye lakini kusema kwamba Md anazidiwa uwezo na Clinical Officer hiyo haipo kingine naamini kwenye kufanya majukumu wanategemeana
Kakaaaaaa!!! mchukue AMO (Assistant Medical Officer) wa wakati ule ulinganishe na digrii MD (Medical Officer) huko wodini na theater uone mziki wao, mbingu na ardhi.
 
Tunarudi hapo hapo tu tatizo mama la nchi hii viongozi na mfumo maana hata hao Clinical officer's wa kipindi kile siyo wa leo hawa wenye D 4
 
Back
Top Bottom