Mufupi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 945
- 910
Yeah nisahih mkui ila unadhani huko nje ya ncho hatuna maainjinia wa tz?.Ukweli hapa PM ni Mtanzania kama sisi, nae anayo haki ya kushangaa kwanini madakatari wamepunguza gharama za wagonjwa kwenda India, SA, UK, Israel, nk kwenda kutibiwa moyo na figo lakini wahandisi miaka nenda hawajawahi kutupunguzia gharama za kuagiza matrekta, baiskeli, vipuli, sindano za kushonea vishikizo wala zip za suruali za wananchi. Kitivo kimebemendwa? Hadi leo kama unataka kujenga kiwanja cha mpira lazima uende china, na kama unataka kadaraja imara kidogo kasikozolewa na tumaji twa tumvua tuchache tu lazima uongee na Rais Xi akupe vijana wake, kwanini kitivo kisivunjiliwe mbali? Kimedumaa.
Je unajua kwanin suma jkt wanaaminika kupewa tenda wakati vijana wao wamesomea haphapa bongo?