Kati ya mhitimu wa VETA na mhitimu ya kitivo cha Uhandisi utamwajiri yupi?

Unaifahamu CARMATEC iliyopo Arusha mkuu? Walishaunda Tractor Lao mbona...Aidha wanazo teknolojia nyingi tuu za kufaa kwa wakulima na wafugaji...Nakushauri upite kwenye website yao
Kama ukiona mhitimu wetu kafanya jambo la maana ujue alipelekwa tena India, China, Cuba, Korea, Israel, UK, Ujerumani au kwingineko kwa mafunzo tena kuhusu jambo hilo (continuous education). Elimu wanayohiyimu nao haiwawezeshi kufanya lolote. Ili daktari aweze kupandikiza figo lazima apelekwe kwanza hukoooo kisha arudi ajaribie huku.
 
We ni fala , kwa hiyo wahandisi wa Tanzania wanaofanya kazi kwenye mining , manufacturing , telecommunications , construction na engineering consultancy firms miaka yote nchi hii walipelekwa nje kusoma ? , we ni mbwa kabisa
Acha kucomment vitu usivyo vielewa mbwa wewe ,kabishane simba na yanga huko
 
Inawezekana ni jina kubwa tu ila practically unakuta mtu wa Veta anakuwa na ujuzi zaidi kwasababu anakuwa na mazoezi ya vitendo kuliko kumeza madesa na formulas...... nilikuwa na jamaa yangu wa coet anakampuni yake ya Ujenzi,anawatumia sana Veta kupata mafundi,nilipomuuliza kwanini usiwatumie wenzio uliosoma nao mtakuwa vizuri alidai wengi wana vitu vizuri kichwani na kwenye makaratasi lakini ukimpeleka site inampa shida....... anyway lazima tukubali Elimu yetu inakosa baadhi ya vitu
Wewe na huyo mwenzako hamna akili ,hao Enginieers ndio waalimu wa veta ,sasa s
Kwahiyo Benjamin Mkapa hospital, MOI, Jakaya Kikwete Heart Institutes ni taasisi za serikali zile, kumejaa wachina na wazungu mule wanaofanya hizo operations? kakoj*e ukalale kaka. No Impact as per expectations. Hali hii iko vilevile chuo kikuu cha SUA, wahitimu wake ni heri wale wanaohitimu vyuo vya MAT.
Tatizo huna akili na unajifanya unacomment issues za industry ya Engineering .
Wewe si umesema huoni impact ya wahandisi nchi hii ,sasa nakuuliza hao madaktari ndio wanaomiliki au ndio walioanzisha hizo hospitali za surgery ? Hizo benjamin mkapa nk unaajua mwanzilishi na mmiliki ni nani ?

Fanya comparison na information mi bure ingia website ya TANZANIA contractors registration board uone utitiri wa kampuni za wahandisi wazawa ni ngapi na wamiliki ,waendeshaji na waanzilishi ni nani ,na fuatilia miradi waliofanya mpaka sasa ni ipi .
Acha usenge wako wa kuandika vitu bila facts ,taahira we
 
Kama ukiona mhitimu wetu kafanya jambo la maana ujue alipelekwa tena India, China, Cuba, Korea, Israel, UK, Ujerumani au kwingineko kwa mafunzo tena kuhusu jambo hilo (continuous education). Elimu wanayohiyimu nao haiwawezeshi kufanya lolote. Ili daktari aweze kupandikiza figo lazima apelekwe kwanza hukoooo kisha arudi ajaribie huku.
Wee jamaa nimegundua unahali ya kutojikubali, nakutahadharisha hiyo hali itakurudisha nyuma. Hii nchi Rais akisema kuanzia sasa nataka tufunge mkanda tutengeneze vya kwetu nakuhakikishia asilimia kubwa ya bidhaa tunaweza vizuri tuu! Tanzania ya sasa si kama ile ya kipindi hicho nchi ilipokuwa inapata uhuru. Watanzania tujifunze kuvipa kipaumbele vitu vyetu na wageni nao wataviheshimu na kuvipenda.
Kwa Tafiti ambazo zimeshafanyika na zinazoendelea kufanyika hapa nchini naamini tukiamua tunajitegemea pakubwa tuu.
 
Wewe na huyo mwenzako hamna akili ,hao Enginieers ndio waalimu wa veta ,sasa s
Tatizo huna akili na unajifanya unacomment issues za industry ya Engineering .
Wewe si umesema huoni impact ya wahandisi nchi hii ,sasa nakuuliza hao madaktari ndio wanaomiliki au ndio walioanzisha hizo hospitali za surgery ? Hizo benjamin mkapa nk unaajua mwanzilishi na mmiliki ni nani ?

Fanya comparison na information mi bure ingia website ya TANZANIA contractors registration board uone utitiri wa kampuni za wahandisi wazawa ni ngapi na wamiliki ,waendeshaji na waanzilishi ni nani ,na fuatilia miradi waliofanya mpaka sasa ni ipi .
Acha usenge wako wa kuandika vitu bila facts ,taahira we
Mkuu kwani umeguswa sehemu mbaya nini,tulia utaizoea tu
 
We ni fala , kwa hiyo wahandisi wa Tanzania wanaofanya kazi kwenye mining , manufacturing , telecommunications , construction na engineering consultancy firms miaka yote nchi hii walipelekwa nje kusoma ? , we ni mbwa kabisa
Acha kucomment vitu usivyo vielewa mbwa wewe ,kabishane simba na yanga huko
Wewe ni mjinga sana. Kama mainginia wetu wana uwezo kwanini jengo la mahakama yetu dodoma limejengwa na wachina? Kakojoe ukalale bro.

View: https://youtu.be/vIBDe0JKGlU?si=kSLuW_BzXmxiljDy
 
Wewe na huyo mwenzako hamna akili ,hao Enginieers ndio waalimu wa veta ,sasa s
Tatizo huna akili na unajifanya unacomment issues za industry ya Engineering .
Wewe si umesema huoni impact ya wahandisi nchi hii ,sasa nakuuliza hao madaktari ndio wanaomiliki au ndio walioanzisha hizo hospitali za surgery ? Hizo benjamin mkapa nk unaajua mwanzilishi na mmiliki ni nani ?

Fanya comparison na information mi bure ingia website ya TANZANIA contractors registration board uone utitiri wa kampuni za wahandisi wazawa ni ngapi na wamiliki ,waendeshaji na waanzilishi ni nani ,na fuatilia miradi waliofanya mpaka sasa ni ipi .
Acha usenge wako wa kuandika vitu bila facts ,taahira we
Judiciary Square - Dodoma ilikuwaje ikajengwa na wachina kama nyinyi mpo? nyie ni mafundi mchundo tu bro. Elimu yetu baaaado kabisa.
 
Talking nonsense
Hakuna ubishi wahitimu wetu wa kitivo hawana ujuzi hata kama elimu wanao. Mafundisho yoyote unayopitia lazima yakuachie vitu 3 vya kuondoka navyo; ufahau, ujuzi na tabia. Mafunzo yetu yanakabiliwa na tabia ya vcious cycle ya ukosefu wa mitaala bora, walimu bora na wanafunzi bora. Yaani tuna mitaala hafifu inayozalisha wanafunzi hafifu ambao watakuwa walimu hafifu watakaofundisha elimu, ujuzi na tabia hafifu za wahitimu. Tuna walimu waliotoka kwenye mitaala halifu na walimu hafifu wasiokuwa na ujuzi na morali ya kufundisha.
 
Wote takataka bora nimpe kazi fundi maiko elimu ya Tanzania ni mzigo. Nimeandika hivi kwa niliyokutana nayo
 
Kwani unadhani ilikuwa rahisi mkuu kusema hata wenye digrii waende VETA? Hivi wewe una kipya kinachofanywa na wahamdisi wenye digrii hapa nchini?

Watu wengi hata wale wasomi inasikitisha kuona kwamba hawajui mifumo ya elimu inakuwa aligned vipi ili iweze kuleta matokeo au kutatua matatizo yetu ya kila siku. Mifumo yetu ya elimu imeshakufa hata ukipeleka graduates VETA huwezi kupata matokeo. Elimu ili upate matokeo lazima uwekeze kwenye miundombinu na Sera ambazo zote zinahitaji pesa. Sisi tunataka matokeo, tumewekeza kiasi gani? Haiishii tu kuwekeza, serikali yetu inapaswa kuandaa mazingira kwa wale wanaopata elimu inaenda kutumika wapi? Usipokuwa na manpower projection vs public investments huwezi kuwatumia watu wako Sawa Sawa ili upate uchumi. Ukiangalia historia ya mapinduzi ya kiuchumi yaliyofanyika East Asian (Asian tigers) kama vile Singapore, Taiwan, China, South Korea na Japan utaona kwamba walianza na mifumo ya elimu ili kuhakikisha wanapatia watu wao maarifa sahihi ili wanapowekeza kwenye viwanda watakuwa na skilled manpower kwa ajili ya uzalishaji. Nchi yoyote inayodharau elimu hasa elimu ya juu, haiwezi kupata maendeleo. Elimu ya juu ni muhimu sana kwenye kutatua matatizo ya jamii. Nchi zote ambazo, zinapiga hatua kimaendeleo, angalia ranking ya vyuo vikuu vyao. Kwa Asia vyuo vikuu vyenye rank ya juu kabisa vipo kwenye hizo nchi nilizotaja. Ukiangalia North America, vyuo vikuu vyenye rank ya juu viko USA na Canada. Australia, ranks the same. Halikadhalika kwa mabara mengine. Ukirudi kwetu Africa, vyuo vikuu vyenye rank ya juu zaidi viko South Africa, almost top five yote ni vyuo vikuu vya South Africa. Ukilinganisha hadhi ya vyuo vikuu na maendeleo vinaenda sambamba kabisa.

Uhusiano Kati ya hadhi ya elimu ya juu na maendeleo ni mkubwa sana. Ndio determinant kwamba elimu yako inatatua matatizo yako au lah. Kwa mataifa ya Asia kama nilivyotolea mfano hapo juu, mataifa vyenye vyuo vikuu ambavyo vinachukua nafasi za juu kwenye hadhi/ranking ndio yale yale yenye economic progress kubwa. Kwa Americas, America kusini vyuo vikuu vyenye hadhi ya juu viko Brazili, Argentina, na ndio mataifa yenye uchumi mkubwa. North America vile vile, Hali ni ile ile. Ukirudi Africa, vyuo vikuu vyenye hadhi kubwa viko South Africa na ndio taifa lenye uchumi mkubwa na linalokuwa kwa kasi,. The List goes down to Egypt, nakadhalika. Elimu yako ikiweza kutatua matatizo yako utapata maendeleo, kinyume chake dismal failure. Ili elimu itatue matatizo, jambo muhimu ni kuwa na taasisi imara za kisiasa ambazo zinajenga taasisi imara za elimu na za kiuchumi. Mataifa yenye taasisi dhaifu za kisiasa, huwa na Sera mbovu ambazo hazitoi mazingira rafiki kwa taasisi za elimu na kiuchumi kukua.

Ukiona nchi imefikia hatua, Waziri mkuu wa nchi anasimama hadharani na kusema kwamba wahitimu wa vyuo vikuu warudi VETA wakasomee kozi za kushona, kutarizi, useremala nk ujue nchi iko kwenye hatua za mwisho za kukata roho. MNEC wa CCM anasimama kwenye mkutano wa hadhara na kusema graduates waende VETA. Hawa watu akili zao zimefikia mwisho, hakuna kitu wanaweza kufanya ili kuleta maendeleo kwa watanzania.

Jambo la kusikitisha zaidi hata wasomi wenyewe wa vyuo vikuu pia wamekubaliana elimu yao haina manufaa, na hivyo wanasapoti graduates warudi VETA. Huu ni msiba mkubwa. Yule ambae amesababisha elimu yao ikose manufaa amewaingiza mkenge mwingine wasomi wakubali kwamba elimu yao haina manufaa ili wasimnyooshe kidole.

Duniani kote, elimu ya juu ndiyo inayoongoza kwa innovations/ubunifu kwa nchi ambazo elimu yao Inaakisi na kutatua matatizo ya jamii. Wasomi wa elimu ya juu ndio wanaoinnovate robots. Baada ya innovation, mass production ya robots inafanywa na watu wa elimu ufundi au VETA. Wasomi wakigundua drones, mass production inafanywa na watu wenye elimu ya ufundi kwa kuassemble na kufunga nati. Specialist wa Afya wakigundua dawa ya kansa, mass production inafanywa na technicians, hivyo hivyo walipogundua sindano za insulin, mass production yake inafanywa na technicians. Sasa Elimu ya juu ikikosa mwelekeo, hata elimu ya Kati inapoteza mwelekeo pia. Na nchi pia inakosa mwelekeo.

Elimu ya Kati/ufindi/VETA duniani ni elimu kwa ajili ya watu wenye uwezo wa Kati na wa chini kutokea elimu ya sekondari. Ni elimu kwa ajili ya kutrace nguvu kazi inayopotea baada ya kumaliza elimu ya msingi ili kuipatia maarifa kwa ajili ya kuingia kwenye mfumo wa ajira au uzalishaji. Sio elimu kwa ajili ya watu wenye uwezo wa juu baada ya mchujo wa sekondari. Watu wenye uwezo wa juu wanatakiwa kutumika na taifa kwa ajili ya Innovation, policy makers, academicians, researchers nk. Tukiambiwa warudi VETA ni wazi nchi imepoteza mwelekeo.

Ukikaa kwa umakini kabisa, ukiangalia matokeo ya form four, Kwa karibuni miaka yote, zaidi ya asilimia 70 ya wanafunzi wanaofanya mitihani ya form four hupata kati ya division three, four na zero. Asilimia chini ya 30 hupata div 1 na 2. Wanaopata division 3 mpaka zero, ndio manpower mahususi kabisa kwa ajili ya elimu ya ufundi. Ili wasipotee bila skills wanatakiwa kupelekwa veta, wapate skills waingie kwenye uzalishaji. Bahati mbaya sana, hawa wanapotea bila kuwa na skills wengi wanaishia kuwa vibaka, wakabaji, wengi wanaolewa ndio zisizoeleweka kwa sababu za kiuchumi nk. Ukiacha asilimia zaidi ya 70 inayopotea ambayo ikipatiwa skills inaweza kuwa na mchango mkubwa sana kwenye uzalishaji na ulipaji wa kodi, unaenda kuwarudisha wale ambao ni Galactico ya taifa VETA ni jambo la ajabu sana. Ni kukosa dira kama taifa.

Taifa linapowekeza kwenye elimu lengo maalumu sio tu kupatia ajira watu wake. Lengo kuu ni kuwatumia watu wenye elimu ili kutatua matatizo yake na kujikuzia uchumi, kupitia kodi na uzalishaji. Ni wazi taifa letu la Tanzania halina projection ya mahitaji ya manpower yake ili kuweza kupanga namna gani kama taifa tuwekeze ili tuweze kutumia rasilimali watu tuliyonayo kujikuzia uchumi. Hii ndio sababu kuu watu wanaambiwa waende VETA, sio kwa sababu tu wamekosa ajira za kuwaajiri, hawana mipango ya namna gani wanaweza kuwatumia. Ni kwamba tumeshapoteza mwelekeo, hatutaki kujisahihisha. Kila Rais anaeingia madarakani anasukuma gurudumu lake kwa miaka yake 10, anahakikisha Chama kinabaki kuongoza dola, kitakachofuata hapo hakimhusu, yeye anaenda kukaa kwake akila pension huku anaandika kitabu cha maisha yake ya Urais.

Haya yote ni matokeo ya matatizo ya katiba. Watawala wana uhakika kufanya wanachotaka kwa sababu they have all it take kuendelea kubaki madarakani. Msipo wachagua wataiba kura.
 
Hayo majengo ya maghorofa makubwa huyaoni? Huwa husomi hata vile vibao vikionyesha mainjinia waliohusika huwa unaona kuna cheo cha VETA kwenye bango la jengo linalojengwa?

Hayo madaraja ya fly over wanejenga VETA?

Ujenzi wa njia kubwa ya umeme wa treni ya SGR wamejenga VETA?
Best comment of the year 😂😂
 
We msenge kweli , Artisan WA veta anaweza fanya power system and controls design na analysis ? , Hivi mnajua kazi ya Engineer ,Technician na artisan ninyi mbwa ? ,Au mnafikiri hao walioweka hizo sections ni wapumbavu ,Kenge kabisa wewe .
Ni nchi gani duniani ambayo haina hizo section tatu kwenye uhandisi dunia hii ?
😂😂😂😂😂😂
 
We ni fala , kwa hiyo wahandisi wa Tanzania wanaofanya kazi kwenye mining , manufacturing , telecommunications , construction na engineering consultancy firms miaka yote nchi hii walipelekwa nje kusoma ? , we ni mbwa kabisa
Acha kucomment vitu usivyo vielewa mbwa wewe ,kabishane simba na yanga huko
Wahandisi wetu wenye afadhali ni wale wanaopitia vyuo vya kati kati DIT, VETA. Hata vijana wetu siku hizi wanakataa kwenda form V badala yake wanapenda kwenda vyuo vya kati mara tu wanapomaliza form IV, wana akili sana.
 
Nikasome wapi bhana wakati naona barabara zote zinajengwa na wachina, magari yetu tunatengenezewa na mafundi wa hivihiiivi miemneni, mashine nyingi zinachongwa na wahitinu wa VETA na SIDO pale? Hata vijiko tunaagiza kutoka hukoo, na mwishowe hata toothpicks tunaagiza? Wewe huohopi!!!
Matatizo mengi hapo chanzo ni siasa ya kipuuzi kama ma engineer wa kibongo wana kampuni na hawapewi hizo tenders shida yao iko wapi
 
Mindset za watu wa nchi hii ni za ajabu sana dunia inaondoka kwenye ujinga sisi tuko busy kuona elimu haina faida
 
Watu wengi hata wale wasomi inasikitisha kuona kwamba hawajui mifumo ya elimu inakuwa aligned vipi ili iweze kuleta matokeo au kutatua matatizo yetu ya kila siku. Mifumo yetu ya elimu imeshakufa hata ukipeleka graduates VETA huwezi kupata matokeo. Elimu ili upate matokeo lazima uwekeze kwenye miundombinu na Sera ambazo zote zinahitaji pesa. Sisi tunataka matokeo, tumewekeza kiasi gani? Haiishii tu kuwekeza, serikali yetu inapaswa kuandaa mazingira kwa wale wanaopata elimu inaenda kutumika wapi? Usipokuwa na manpower projection vs public investments huwezi kuwatumia watu wako Sawa Sawa ili upate uchumi. Ukiangalia historia ya mapinduzi ya kiuchumi yaliyofanyika East Asian (Asian tigers) kama vile Singapore, Taiwan, China, South Korea na Japan utaona kwamba walianza na mifumo ya elimu ili kuhakikisha wanapatia watu wao maarifa sahihi ili wanapowekeza kwenye viwanda watakuwa na skilled manpower kwa ajili ya uzalishaji. Nchi yoyote inayodharau elimu hasa elimu ya juu, haiwezi kupata maendeleo. Elimu ya juu ni muhimu sana kwenye kutatua matatizo ya jamii. Nchi zote ambazo, zinapiga hatua kimaendeleo, angalia ranking ya vyuo vikuu vyao. Kwa Asia vyuo vikuu vyenye rank ya juu kabisa vipo kwenye hizo nchi nilizotaja. Ukiangalia North America, vyuo vikuu vyenye rank ya juu viko USA na Canada. Australia, ranks the same. Halikadhalika kwa mabara mengine. Ukirudi kwetu Africa, vyuo vikuu vyenye rank ya juu zaidi viko South Africa, almost top five yote ni vyuo vikuu vya South Africa. Ukilinganisha hadhi ya vyuo vikuu na maendeleo vinaenda sambamba kabisa.

Uhusiano Kati ya hadhi ya elimu ya juu na maendeleo ni mkubwa sana. Ndio determinant kwamba elimu yako inatatua matatizo yako au lah. Kwa mataifa ya Asia kama nilivyotolea mfano hapo juu, mataifa vyenye vyuo vikuu ambavyo vinachukua nafasi za juu kwenye hadhi/ranking ndio yale yale yenye economic progress kubwa. Kwa Americas, America kusini vyuo vikuu vyenye hadhi ya juu viko Brazili, Argentina, na ndio mataifa yenye uchumi mkubwa. North America vile vile, Hali ni ile ile. Ukirudi Africa, vyuo vikuu vyenye hadhi kubwa viko South Africa na ndio taifa lenye uchumi mkubwa na linalokuwa kwa kasi,. The List goes down to Egypt, nakadhalika. Elimu yako ikiweza kutatua matatizo yako utapata maendeleo, kinyume chake dismal failure. Ili elimu itatue matatizo, jambo muhimu ni kuwa na taasisi imara za kisiasa ambazo zinajenga taasisi imara za elimu na za kiuchumi. Mataifa yenye taasisi dhaifu za kisiasa, huwa na Sera mbovu ambazo hazitoi mazingira rafiki kwa taasisi za elimu na kiuchumi kukua.

Ukiona nchi imefikia hatua, Waziri mkuu wa nchi anasimama hadharani na kusema kwamba wahitimu wa vyuo vikuu warudi VETA wakasomee kozi za kushona, kutarizi, useremala nk ujue nchi iko kwenye hatua za mwisho za kukata roho. MNEC wa CCM anasimama kwenye mkutano wa hadhara na kusema graduates waende VETA. Hawa watu akili zao zimefikia mwisho, hakuna kitu wanaweza kufanya ili kuleta maendeleo kwa watanzania.

Jambo la kusikitisha zaidi hata wasomi wenyewe wa vyuo vikuu pia wamekubaliana elimu yao haina manufaa, na hivyo wanasapoti graduates warudi VETA. Huu ni msiba mkubwa. Yule ambae amesababisha elimu yao ikose manufaa amewaingiza mkenge mwingine wasomi wakubali kwamba elimu yao haina manufaa ili wasimnyooshe kidole.

Duniani kote, elimu ya juu ndiyo inayoongoza kwa innovations/ubunifu kwa nchi ambazo elimu yao Inaakisi na kutatua matatizo ya jamii. Wasomi wa elimu ya juu ndio wanaoinnovate robots. Baada ya innovation, mass production ya robots inafanywa na watu wa elimu ufundi au VETA. Wasomi wakigundua drones, mass production inafanywa na watu wenye elimu ya ufundi kwa kuassemble na kufunga nati. Specialist wa Afya wakigundua dawa ya kansa, mass production inafanywa na technicians, hivyo hivyo walipogundua sindano za insulin, mass production yake inafanywa na technicians. Sasa Elimu ya juu ikikosa mwelekeo, hata elimu ya Kati inapoteza mwelekeo pia. Na nchi pia inakosa mwelekeo.

Elimu ya Kati/ufindi/VETA duniani ni elimu kwa ajili ya watu wenye uwezo wa Kati na wa chini kutokea elimu ya sekondari. Ni elimu kwa ajili ya kutrace nguvu kazi inayopotea baada ya kumaliza elimu ya msingi ili kuipatia maarifa kwa ajili ya kuingia kwenye mfumo wa ajira au uzalishaji. Sio elimu kwa ajili ya watu wenye uwezo wa juu baada ya mchujo wa sekondari. Watu wenye uwezo wa juu wanatakiwa kutumika na taifa kwa ajili ya Innovation, policy makers, academicians, researchers nk. Tukiambiwa warudi VETA ni wazi nchi imepoteza mwelekeo.

Ukikaa kwa umakini kabisa, ukiangalia matokeo ya form four, Kwa karibuni miaka yote, zaidi ya asilimia 70 ya wanafunzi wanaofanya mitihani ya form four hupata kati ya division three, four na zero. Asilimia chini ya 30 hupata div 1 na 2. Wanaopata division 3 mpaka zero, ndio manpower mahususi kabisa kwa ajili ya elimu ya ufundi. Ili wasipotee bila skills wanatakiwa kupelekwa veta, wapate skills waingie kwenye uzalishaji. Bahati mbaya sana, hawa wanapotea bila kuwa na skills wengi wanaishia kuwa vibaka, wakabaji, wengi wanaolewa ndio zisizoeleweka kwa sababu za kiuchumi nk. Ukiacha asilimia zaidi ya 70 inayopotea ambayo ikipatiwa skills inaweza kuwa na mchango mkubwa sana kwenye uzalishaji na ulipaji wa kodi, unaenda kuwarudisha wale ambao ni Galactico ya taifa VETA ni jambo la ajabu sana. Ni kukosa dira kama taifa.

Taifa linapowekeza kwenye elimu lengo maalumu sio tu kupatia ajira watu wake. Lengo kuu ni kuwatumia watu wenye elimu ili kutatua matatizo yake na kujikuzia uchumi, kupitia kodi na uzalishaji. Ni wazi taifa letu la Tanzania halina projection ya mahitaji ya manpower yake ili kuweza kupanga namna gani kama taifa tuwekeze ili tuweze kutumia rasilimali watu tuliyonayo kujikuzia uchumi. Hii ndio sababu kuu watu wanaambiwa waende VETA, sio kwa sababu tu wamekosa ajira za kuwaajiri, hawana mipango ya namna gani wanaweza kuwatumia. Ni kwamba tumeshapoteza mwelekeo, hatutaki kujisahihisha. Kila Rais anaeingia madarakani anasukuma gurudumu lake kwa miaka yake 10, anahakikisha Chama kinabaki kuongoza dola, kitakachofuata hapo hakimhusu, yeye anaenda kukaa kwake akila pension huku anaandika kitabu cha maisha yake ya Urais.

Haya yote ni matokeo ya matatizo ya katiba. Watawala wana uhakika kufanya wanachotaka kwa sababu they have all it take kuendelea kubaki madarakani. Msipo wachagua wataiba kura.
Kakaaa mwl ambae amesoma shule ambayo haina maabara yenye vifaa vilivyokamilika na mwalimu anaejua namna ya kuvitumia kwenye kufundisha hawezi kufundisha sayansi. Mwalimu ambae hajui kiingereza akiwa mwanafunzi hawezi kufundisha wanafunzi wake kiingereza kizuri, vicious cycle.
 
Kama ukiona mhitimu wetu kafanya jambo la maana ujue alipelekwa tena India, China, Cuba, Korea, Israel, UK, Ujerumani au kwingineko kwa mafunzo tena kuhusu jambo hilo (continuous education). Elimu wanayohiyimu nao haiwawezeshi kufanya lolote. Ili daktari aweze kupandikiza figo lazima apelekwe kwanza hukoooo kisha arudi ajaribie huku.
Kwenye maisha capacity building ni kitu cha mhimu lazima ushirikiane na walioendelea zaidi hata wachina miaka ya mwanzo wamepeleka sana watu kusoma ulaya na marekani, bado wanaendelea kupeleka .

Wahandisi na wataalamu wetu wanajua vingi tatizo sehemu ya kuwasupport waende extra miles tunawapiga vita ,inapelekea wanabaki kuwa hivo hivo
 
Tungepeleka wengi wakaja wakashare ujuzi kwa wengi kwa kuanzisha makampuni ambayo yangepewa tenda za serikali
 
Kwenye maisha capacity building ni kitu cha mhimu lazima ushirikiane na walioendelea zaidi hata wachina miaka ya mwanzo wamepeleka sana watu kusoma ulaya na marekani, bado wanaendelea kupeleka .

Wahandisi na wataalamu wetu wanajua vingi tatizo sehemu ya kuwasupport waende extra miles tunawapiga vita ,inapelekea wanabaki kuwa hivo hivo
Ingekuwa busara na rahisi kuchukua mapato yote ya madini kuiomba China ilete walimu wao wa sayasi na uhandisi kuja kufundisha shule na vyuo vyetu kwa kutumia mitaala yao kwa muda wa miaka 10 ili kupata mbegu chotara ya walimu wenye umahiri. Kama tunataka watoto wanaomudu kuzungunza na kuandika kiingereza/kifaranza au... kuleta walimu wazuri kabisa wa kiingereza mashuleni kwetu kutoka ndani na nje ya nchi. Hii ndiyo itakayoivunja ile vicious cycle yetu ya elimu mbovu.
 
Back
Top Bottom