Gabriel Ruhumbika (born 1938) is a Tanzanian novelist, short story writer, translator and academic. His first novel, Village in Uhuru, was published in 1969. He has written several subsequent novels in Swahili. He has also taught literature at a number of universities, and is currently a professor of Comparative Literature at the University of Georgia in the USA.
Hii nimeona kuanzia kwa Magufuli mpaka kwa Samia. Hawa viongozi hawana nasaba zozote za kupigania uhuru ama kuwa kwenye line ya wapigania uhuru kwenye taifa hili. Viongozi Hawa hawakuwahi kupiga stori na Nyerere za namna yoyote ile na uhakika upo.
Hawa ndiyo vinara wa kuminya uhuru wa kujieleza...
MHADHARA: MCHANGO WA TABORA KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA (1945 - 1961)
Niko Tabora toka jana usiku.
Mwaliko wa Wazee wa CCM Tabora Kuadhimisha Kuzaliwa kwa CCM tarehe 5 February 1977.
Nimealikwa kuzungumza mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Mhadhara unafanyika...
Historia ya Shirika la Posta Tanzania
Huduma za Posta kama taasisi zilianzishwa nchini na Serikali ya kikoloni ya Ujerumani. Huduma ya kwanza ya barua iliyobandikwa stempu ilianzishwa hapa nchini mwaka 1893.
Mara baada ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Desemba 1961, huduma za Posta ziliendelea...
Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru, mikoa mbalimbali nchini imejitokeza kushiriki shughuli za kutunza mazingira, ikiwemo kufanya usafi na kupanda miti.
Mkoani Morogoro, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa kushirikiana na Kikosi cha Mazao Mzinga na wadau wa mazingira wamepanda miti 7,000...
Tunapoadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanzania, tujikumbushe maneno ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kuhusu Muungano wa Tanzania.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store
Kwakuwa hakuna nchi inayoutwa Tanganyika, serikali isipoteze fedha kila mwaka kuandaa sherehe za uhuru wa nchi hewa.
Pia wafanyakazi waende kazini kama kawaida maana kukaa nyumbani kwa kisingizio cha sikukuu ya uhuru wa nchi ambayo haipo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Leo tunapoadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika kupata uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961, tunakumbushwa juu ya safari ya kujitawala, mshikamano, na kujenga taifa lenye matumaini.
Ni siku ya kukumbuka juhudi za mashujaa wetu waliopigania uhuru kwa nia ya kuleta haki, usawa, na maendeleo kwa kila...
Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa.
Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea?
Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
KUMBUKUMBU YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA
Tunamkumbuka Shujaa wa Uhuru wa Tanganyika
Haruna Iddi Taratibu Muasisi wa TANU Jimbo la Kati (Central Province) 1955
Haruna Iddi Taratibu
Sifa kuu katika ujumbe wa Julius Nyerere ilikuwa ni kule kueleweka kwa mantiki yake na kuweza kuwavutia...
Daily News 12 October 1988
Ilibakia kidogo Daily News wakatae kuchapa kumbukumbu hiyo hapo juu ya miaka 20 ya kifo cha Abdul Sykes.
Reginald Mhango ambae sasa ni marehemu, aliyekuwa mhariri wa Daily News alisema hawezi kuchapa kumbukumbu ya Abdul Sykes mpaka apewe ruhusa kutoka Dodoma.
Maneno...
Jumla ya dua ambazo TANU ilisoma kuomba msaada wa Allah ni tano.
Kila dua ilikuwa na sababu na chanzo chake.
Dua nne zilikuwa kuwaombea watu makhsusi wasiangamizwe na njama na hila za Waingereza: Dua ya Ali Rashid Meli, Dua ya Abdulwahid Kleist Sykes na Dua mbili za kumuombea Julius Kambarage...
MWINYIMBEGU DIBIBI- MZALENDO WA KIAFRIKA ALIYESAHAULIKA
Ahmed Dibibi
Si wengi wenye kulifahamu jina hili na wengine yawezekana ikawa mara ya mwanzo kulisikia.
Mwinyimbegu Dibibi kwa watu wa makamo na wazee si jina geni masikioni mwao, wenyeji wa Miji ya Upwa wa Tanganyika ya Kale na Unguja...
JUMU LA PICHA ZA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WENGI WAO MCHANGO WAO HAUFAHAMIKI
Picha hizo ni za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika wengine kwa mali walizojaaliwa na wengine kwa kukosa mali walipigania uhuru kwa hali zao.
Wengi wao hawatambuliki wala hawafahamiki.
Huu ni msiba usio na...
Mwenge wa Uhuru 2024 umewasili Mkoani Njombe, na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva- Mwenge wa Uhuru kukimbizwa Wilayani Ludewa
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kukimbizwa kwa Umbali wa Kilometa 93 Wilayani Ludewa; ukipitia Miradi 7 yenye...
NDUGU WAWILI KATIKA HISTORIA YA TANU: STEVEN MHANDO NA PETER MHANDO
Imenichukua muda mrefu sana kuitafuta na kupata picha ya Steven Mhando na mdogo wake Peter.
Niliipata picha ya Peter Mhando na baadae picha ya Steven Mhando kaka yake.
Hawa ndugu wawili ni kati ya wazalendo waliounda TANU na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.