uhuru wa tanganyika

Gabriel Ruhumbika (born 1938) is a Tanzanian novelist, short story writer, translator and academic. His first novel, Village in Uhuru, was published in 1969. He has written several subsequent novels in Swahili. He has also taught literature at a number of universities, and is currently a professor of Comparative Literature at the University of Georgia in the USA.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Mzee Mshume Kiyate, hii ndiyo historia yake katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Mzee Mshume Kiyate akimvisha Mwalimu Nyerere kitambi kumfariji baada ya maasi ya 1964 Aliyemshika Nyerere mkono kulia ni Mshume Kiyate, Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi Uchaguzi wa Rais 1962. https://youtu.be/SiZ7ibE5mPc
  2. Mohamed Said

    Majina ya Ali (Ally) Katika Historia ya Kupigani Uhuru wa Tanganyika

    MAJINA YA ALI (ALLY) KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Katika vibao hivyo vitatu kimoja kimekosekana. Kimesosekana kibao cha Ali Masham wa Magomeni Mapipa. Ali Masham alifungua tawi la TANU nyumbani kwake na tawi hili lilifanya makubwa katika kupigania uhuru wa Tanganyika...
  3. Msanii

    Matatizo ya Tanzania yaliasisiwa na waliopigania uhuru wa Tanganyika

    Salaam kwenu. Ni kweli lengo la kupigania Uhuru wa Tanganyika, lilikuwa kuwafanya wananchi ama raia kuwa huru kuchagua aina ya uongozi na viongozi wanaotaka, kujiamulia mambo yao ya Kiuchumi, Kisiasa na Kiutamaduni bila kuingiliwa na kikundi ama mataifa ya nje. Lakini tujiulize hapa, baada ya...
  4. Mohamed Said

    Kilwa na Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Naweka hapo chini makala za historia ya Kilwa nilizopata kuandika katika nyakati tofauti katika kupigania uhuru wa Tanganyika: ABDULKARIM HAJJ MUSSA, MWINYI MCHENI OMARI NA JULIUS NYERERE KATIKA KUIJENGA TANU KILWA Abdulkarim Hajj Mussa Jamadar akifahamiana vyema na Julius Nyerere. Abdulkarim...
  5. B

    Miaka 62 ya uhuru wa Tanganyika; Aluta Continua

    Leo Tanganyika inasherehekea miaka 62 ya uhuru wa bendera toka kwa mkoloni wa Kiingereza. Nakumbuka wakati tunapata uhuru Hayati Mwl. JKN, baba wa Taifa alisema, pamoja na uhuru huo, bado kama nchi tulikuwa na kazi ya kufanya kuendelea na mapambano dhidi ya maadui watatu wa nchi yetu ambao ni...
  6. The Burning Spear

    Waliopigania uhuru wa Tanganyika Walipigana na nani?

    Hi Great thinkers. Nafikiri kuna jambo haliko sawa hasa tunaposema tulipigania uhuru. Tulipigana na nani.? Mi navojua ule ulikuwa ni mchakato wa kupata uhuru wa Tanganyika, Na hakuna mtu aliyegoma kutupatia uhuru eti hadi tuanze kupigania. Ni bora isemwe tu kwamba walioongoza harakati za...
  7. Erythrocyte

    Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

    Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile. Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
  8. Mohamed Said

    Kuelekea sikukuu ya uhuru wa Tanganyika: Historia ya Mshume Kiyate na Ali Msham

    Mshume Kiyate akiishi Kariakoo Mtaa wa Tandamti na Ali Msham Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu. Wote wawili walikuwa wanachama shupavu wa TANU na marafiki wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Mama Maria Nyerere. Itapendeza sana kama tutawazawadia mitaa waliyoishi kama kuonyesha...
  9. Mohamed Said

    Kuelekea Kuadhimisha Uhuru wa Tanganyika 9 December

    MAJI DEBE MOJA NA MZEGA https://youtu.be/_eRr2funuhI?si=jZorzuT9WHWRpO5o
  10. Mohamed Said

    Mama na Mwana Wazalendo Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    MAMA NA MWANA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Huenda historia ya Bi. Mwamtoro bint Chuma na mwanae Haydar Mwinyimvua ikawa ndiyo historia ya pekee ya mama na mwana wote wawili na kwa pamoja walikuwa katika TANU mstari wa mbele wakipigania uhuru wa Tanganyika. Nyumba ya Bi. Mwamtoro...
  11. Mohamed Said

    Bibi Titi Festival Ikwiriri, Rufiji: Mwanzo wa Bibi Titi katika kupigania uhuru wa Tanganyika 1954

    https://youtu.be/m6XH4SGWjDk Ilikuwa wakati Nyerere yuko Musoma ndipo John Hatch kutoka Chama cha Labour cha Uingereza alipokuja Tanganyika kama mgeni wa TANU. TANU ilifanya mkutano mkubwa sana Mnazi Mmoja na Hatch akawahutubia wananchi. Inakisiwa takriban watu 20,000 walijitokeza kwenye...
  12. Mohamed Said

    Picha za Sheikh Suleiman Takadir Wakati wa Anapigania Uhuru wa Tanganyika (1954 - 1958)

    Picha za Sheikh Suleiman Takadir Wakati Anapigania Uhuru wa Tanganyika (1954 - 1958) Kulia: Bibi Titi Mohamed, Clement Mohamed Mtamila, Sheikh Suleiman Takadir, Julius Nyerere katika moja ya mikutano ya TANU ya mwanzoni 1954/55 Kushoto: Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia na Julkius Nyerere...
  13. Mohamed Said

    Wanasema kwa kejeli ati najitia kuijua historia ya Uhuru wa Tanganyika

    WANASEMA KWA KEJELI ATI NAJITIA KUJUA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Vitabu hivi vingekeuwa vimeandikwa miaka mingi sana na waandishi na kuwa sehemu ya historia ya uhuru wa Tanganyika. Kwa nini haikuwa hivyo ni historia inayoanza mwaka wa 1962 mara tu baada ya kupatikana uhuru pale TANU...
  14. Mohamed Said

    CCM Kata ya Jangwani yasoma Khitma Kuwarehemu Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KATA YA JANGWANI IMESOMA KHITMA KUWAREHEMU WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA CCM Kata ya Jangwani leo wamesoma khitma kuwarehemu wapigania uhuru wa Tanganyika waliotangulia mbele ya haki. Wana CCM wa KATA ya Jangwani kwa kuzingatia kuwa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM...
  15. GoldDhahabu

    Utausherekeaje uhuru wa Tanganyika huru?

    Hili swali linamuhusu Mtanganyika Mzalendo tu. Na Mtanganyika Mzalendo, kwa mujibu wa huu uzi, ni Mtanganyika yeyote anayeipenda nchi yake ya Tanganyika bila kujali anakoishi. Ikiwa wewe ni Mtanganyika Mzalendo, utausherekeaje uhuru wa Tanganyika huru? Uhuru upo karibu. Dalili zinaonesha kuwa...
  16. Mohamed Said

    Picha Adimu za Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    PICHA ADIMU ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Nimepokea picha kutoka kwa Mshindo Ibrahim ikimuonyesha marehemu baba yake Mzee Ibrahim Mwinyimvua Makongwa aliyepata kuwa Mwenyekiti wa TANU Iringa wakati Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961 akimuaga uwanja wa ndege wa Iringa...
  17. Mohamed Said

    Picha Adimu za Wapigania Uhuru wa Tanganyika: Binti Khalfani wa Bukoba

    Picha hiyo hapo chini kaniletea kaka yangu Ramadhani Kingi kutoka Bukoba. Huyu ndugu yangu ana hazina kubwa sana ya maandishi na picha ya historia ya uhuru wa Tanganyika katika Maktaba yake. Picha hiyo hapo chini ni viongozi wa TANU wakiwa na Mwalimu Nyerere katika miaka ya mwanzo ya uhuru...
  18. Mohamed Said

    Mzee Kissinger: Mwalimu Wangu wa Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MWALIMU WANGU MZEE KISSINGER MZEE KISSINGER WA MTAA WA CONGO CHUO KIKUU CHA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?'' Mimi huwa simjibu kitu nashukuru na kama nimefuata kujua kitu kutoka kwake nitamuuliza na pale pale mwalimu wangu...
  19. Mohamed Said

    Tusiwatukane wala kuwakejeli Wazalendo wa TANU Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    kopites said: ''Watu wanacheza bao,kunywa kahawa cku nzima,wanawaza simba na yanga tu kwa nini wasizidiwe ujanja.''🤣🤣 JIBU LANGU KWA KAPITES Mathalan nikikuomba ushahidi kuwa wazee wangu walikuwa wanacheza bao na kunywa kahawa siku nzima na wanawaza Simba na Yanga unaweza kuuweka hapa? Kahawa...
  20. A

    Miaka 62 baada ya kupata uhuru: Ni faida gani tuliyoipata kwa kuwa huru?

    Ni miaka 62 imepita baada ya Tanzania kupata uhuru kamili. Lakini ukiniuliza ni faida gani tumepata kwa kuwa huru, sina jibu. 1.Hatuna uhuru wa kisiasa. Siasa yetu bado inasimamiwa na mabeberu e.g. swala la vyama vingi, demokrasia, etc 2. Hatuna uhuru wa uchumi. Uchumi wetu bado upo mikononi...
Back
Top Bottom