Gabriel Ruhumbika (born 1938) is a Tanzanian novelist, short story writer, translator and academic. His first novel, Village in Uhuru, was published in 1969. He has written several subsequent novels in Swahili. He has also taught literature at a number of universities, and is currently a professor of Comparative Literature at the University of Georgia in the USA.
Leo ni siku muhimu sana katika historia ya Tanzania siku ambayo watawala wamewapa watawaliwa Uhuru wa kupaza sauti zao, mkoloni wa kiingereza hakuwahi kuwafunga midomo watanganyika kupaza sauti zao kudai Uhuru, waliodai Uhuru hawakufanywa lolote kwani ilikuwa ni haki ya watanganyika kudai Uhuru...
MUULIZAJI KAULIZA KWA NINI SYKES WANAREJEWA NA KUREJEWA?
''Nauliza hakuna familia nyengine ila ya akina sykes ilo shiriki?
Kugomboa tanganyika naona kila mara tunawarejea hao hao?''
Namjibu:
NYARAKA ZA SYKES KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA
Siku nilipofunguliwa sefu iliyokuwa na nyaraka za Sykes...
Tanganyika ipo wapi?
Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia?
Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki tu kwenye vitabu.
Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao.
Lakini wewe na January mmekata umeme.
Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru.
Watu wapo nyumbani wanahitaji kuangalia luninga na kujikumbusha na uhuru wa taifa lao
Wakati tukiwa na Rais Kikwete ambae yeye ndie aliekuwa mpiganiaji wa jambo hili alipokuwa akisota bungeni, kinachohitajiwa ni kusituliwa tu na kuambiwa ule wakati ndio huu.
Tunaitaka Tanganyika.
Tunataka kufuta kasoro za Muungano.
Tunataka Rais wetu.
Tunataka Bendera yetu.
Tunataka...
MORNING TRUMPET AZAM TV KESHO 9 DECEMBER: MOHAMED SAID NA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Kesho In Shaa Allah asubuhi saa moja na nusu nimelikwa kuzungumza kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Picha hiyo ni kipindi changu cha kwanza nilichofanya katika Morning Trumpet mwaka wa 2015.
Kulikuwepo na wazalendo kutoka nchi jirani ya Kenya kama vile Dome Okochi Budohi na Patrick Aoko ambao walikuwa wanajua vyema siasa za walowezi za kupora ardhi za wananchi. Kutoka kwa wazalendo kama hawa, Abdulwahid alipata usikivu wa mawazo yake ya kuigeuza TAA kuwa chama cha siasa chenye...
GEREZANI DAY 2022: GEREZANI IMEBADILI MAJINA YA MITAA KUWAENZI WAZEE WAO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Leo WanaGerezani wameadhimisha siku yao ya familia kwa kuwarehemu masheikh, wazee wao na wenzao waliotangulia mbele ya haki.
Shughuli ilifanyika Shule ya Kisarawe na ilitanguliwa kwa...
WATOTO WA KAZI KAZINI: DONDOO KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Karibuni mtaona video fupi fupi zikieleza historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Fuatililia.
Wadau,
Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake, ukimchokoza na kifurushi cha jero, yeye anakuletea kifurushi cha 50k.
Hebu leo kwa faida ya wasomaji...
Katika maziko ya Mzee Kitwana Kondo niliombwa nizungumze.
Sikiliza video hii kuna historia muhimu sana kueleza kuundwa kwa TANU.
Nilizungumza kuhusu kikao cha watu watatu nyumbani kwa Hamza Mwapachu, wengine wakiwa Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe agenda ikiwa namna ya kumuingiza Julius...
SAFARI YA UHURU WA TANGANYIKA
Video hii imenivutia kwa kule kuieleza historia ya TANU na kutoka vyanzo vilivyoko nje ya historia rasmi na kutumia picha alizoacha Ali Msham na nyingine kutoka Nyaraka za Sykes.
Halikadhalika kwa msomaji kutoa maelezo yake kama yalivyoandikwa ndani ya kitabu cha...
Hapo chini ni picha za baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya wapigania uhuru wa Tanganyika:
Katika picha hizi picha ya kwanza inamuonyesha Ali Msham wa kwanza kulia akiwa na Baba Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Ali Msham amefanya mengi ambayo...
MAJINA YA MITAA YAHIFADHI HISTORIA
Ndugu zanguni hivi sasa kuna mradi wa Anuani za Makazi (Post Code).
Naamini sote tunashausikia kwa kuwa serikali imeutangaza.
Mradi huu ulitakiwa uchukue miaka 5 lakini Rais Mama Samia ameamua huu mradi uwe "Operation Anuani za Makazi" na ukamilike kwa miezi...
TANU TANGA WAKATI WA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA: DUA YA USHINDI WA KURA TATU MNYANJANI 1958
Chanzo cha yote yanayokuja hapo chini ni marehemu Mama Ummy bint Anzwan moja ya nguzo za CUF siasa za ushindani zilipoanza mwaka wa 1992.
Nimepitia faharasha (index) ya kitabu cha Abdul Sykes na nimekuta...
Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera.
1. Ni lazima tuakikishe kwamba, bila masharti yoyote wafungwa wote wa kisiasa wanakuwa huru kutoka mikononi mwa Mahakama na dola.
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.