Gabriel Ruhumbika (born 1938) is a Tanzanian novelist, short story writer, translator and academic. His first novel, Village in Uhuru, was published in 1969. He has written several subsequent novels in Swahili. He has also taught literature at a number of universities, and is currently a professor of Comparative Literature at the University of Georgia in the USA.
Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla.
Hebu chota busara hizi kutoka kwake
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: SIMULIZI ZA ALHAJI TAMBAZA "MWAMVUA MRISHO MPIGANIA UHURU..."
Katika kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika leo nimekutana na makala aliyoandika Abdallah Tambaza katika gazeti Tanzania Tanganyika akieleza historia ya Mama Daisy katika kupigania uhuru...
Ama kweli hii ni awamu ya Sita! Nimejaribu kusubiri kwamba labda kuna tangazo litatoka baada ya sherehe lakini naona kimya kimetanda, kulikoni?
Kama yupo aliyesikia jambo hili ni vema akatushirikisha
Leo ni sherehe ya kumbukizi la uhuru wa TANGANYIKA iliyokuwa inatawaliwa na Waingereza. Tusipotoshe historia!! Leo siyo siku ya uhuru wa Tanzania.
Anayebisha aniambie Tanzania ilikuwa inatawaliwa na mkoloni yupi! Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania wala Tanzania bara!! Tumeamua kupotosha...
Wanabodi!
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: BI. ZARULA BINT ABDULRAHMAN WA TABORA
Nimekuwa kwa miaka mingi nikitafuta picha ya Bi. Zarula bint Abdulrahman wa Tabora mwanamama ambae alikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Kama nisingemtaja jina lake katika kitabu cha Abdul Sykes...
KUSHEREHEKEA MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA BILA YA KUWAJUA MASHUJAA WALIOPIGANIA UHURU HUO
Kwa takriban siku 30 zilizopita kuanzia mwezi November mwanzoni nimekuwa nikweka hapa makala ambazo mimi nimeziona ni muhimu katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Makala hizi jumla yake ni 27 na...
Miaka 60 ya uhuru:Kinamama wengine hawakujua kusoma -Mama Maria Nyerere 6 Disemba 2021 'Katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, ambayo sasa ni Tanzania, BBC imefanya mahojiano na watu mbalimbali, na miongoni mwao ni Mama Maria Nyerere ambaye ni mjane wa baba wa Taifa hilo Mwalimu...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA1961: RASHID MFAUME KAWAWA, KENNETH DAVID KAUNDA NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE NDANI YA NYARAKA ZA SYKES
Nimekutana na picha hiyo hapo chini kushoto Rashid Mfaume Kawawa, Kenneth David Kaunda na Julius Kambarage Nyerere.
Hii picha bila shaka ni ya miaka ya mwishoni...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: ALL MUSLIM NATIONAL UNION OF TANGANYIKA (AMNUT)
Uchaguzi wa Kura Tatu ulisababisha farka ndani ya TANU na wa kwanza kujitoa katika chama alikuwa Zuberi Mtemvu akaunda African National Congress (ANC) chama hiki kikajulikana kama Congress katika umaarufu...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA: SALUM ZAHORO (1936 - 2020) NA KIKO KIDS JAZZ
Haikupata kunipitikia hata siku moja kuwa jina langu litatokeza hadharani na kwenye cover ya muziki wa Salum Zahoro na bendi yake ya Kiko Kids.
Imekuwaje sasa jina langu likawa katika cover hiyo pmoja na majina ya...
MIAKA 57 YA UHURU WA TANGANYIKA NI FAHARI YA TANZANIA ILIYOBEBA HISTORIA, UTAJILI NA HESHIMA KUBWA MNO BARANI AFRIKA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu
Friday -7/12/2018
Siku ya kesho kutwa yani tarehe 09/12/2018 taifa letu litasherehekea miaka 57 ya uhuru wake toka ilipojinyakulia uhuru wake huo...
Ndugu Watanzania,
Leo, Disemba 09, 2017 Tanzania inaadhimisha miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara (Tanganyika?).
- Sherehe za kumbukumbu hizi zinafanyika katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
- Sherehe hizi zinaadhimishwa huku kukiwa na simanzi kitaifa kufuatia askari wetu wanaolinda amani DRC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.