Nilitembelea mgahawa x kupata chakula ili nisijekufa kwa njaa, akatokea jamaa mmoja mtu wa miraba minne naye akawa amekuja kupata huduma ya chakula...kama mnavyojua tena, kula ni muhimu ili kuupa mwili afya na nguvu; akaagiza mahitaji yake naye akahudumiwa.
Mbaya zaidi alikuja na dereva wake...