uingereza

  1. #COVID19 Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengiImage caption: Waziri Mkuu Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengi. Waziri mkuu, Boris Johnson, alisema alitarajia kupunguza sheria za Covid...
  2. D

    Mashabiki wa Uingereza ni wazalendo wa kweli

    Watu wengi huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara wanapotosha maana halisi ya "uzalendo" maana wanaligeuza neno kama kibwagizo cha kutafutia fulsa na kushibisha matumbo yao. Uzalendo sio kelele za kasuku bali uzalendo ni vitendo vya utu, upendo, na kuwa na matarajio mema kwa taifa husika...
  3. Kwenye suala la soka mashabiki wa Uingereza ni zaidi ya vichaa

    Hawa jamaa bana wanajua kushangilia asee nadhani pombe pia inachangia. Haya Ujerumani kashakula 2-0 huko.
  4. #COVID19 Waziri wa afya wa Uingereza ajiuzulu kwa kuvunja sheria za corona

    Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na msaidizi wake mkuu Gina Coladangelo anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye. Gazeti la The Sun...
  5. Nina soko Uingereza la maharage haya natafuta patner mwenye mtaji

    Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage. Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu. Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji...
  6. Nchi nyingi zimeanza kulalamika kuhusu mining Bitcoin kwenye matumizi umeme

    Leo bbc imetoa ripoti huko nchini wingereza kukamata mtu ambaye alikuwa mwizi wa umeme kwa ajili ya kuvuna bitcoin. Bitcoin inakadiliwa kuwa inatumia vifaa vya graphic card kubwa ambazo zinafanya utendaji mkubwa wenye nguvu kubwa ya umeme ikiwa na GPU kubwa. Kuna nchi zina lalamika kuwa...
  7. Tulinganishe: Mgawo wa fedha kwa kila timu ligi kuu uingereza 2019/2020

    Huku tukiendelea kutafakari Nkataba wa Azam tupate inputs mbali mbali ufuatao ni mgawanyo wa fedha kwa epl 2019/20 Bingwa yaani liver pool alipata euro milioni 174 sawa na bilioni 573 za madafu (573,931,663,578.00 tshs) na aliyeshika mkia yaani Norwich City alipata euro 94.5m sawa na bilioni...
  8. M

    Mfahamu billionea wa kwanza Mweusi Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe

    Inakuwaje wanajamvi! Strive Masiyiwa ametangazwa kuwa billionaire wa kwanza mweusi Uingereza. Ana asili ya Zimbabwe na kujishughulisha na biashara ya Telecom. Masiyiwa pia ni mjumbe wa bodi wa Netflix na Uniliver. Ana mkono wa kutoa sana kwa Africa. Na amejihusisha sana kugawa chanjo za Covid...
  9. Naomba connection ya vitu used kutoka Uingereza au Japani

    Habari, Kama nilivyotanguliza kichwa cha habari hapo juu nilikuwa na mpango wa kwenda uingereza kukusanya vitu used vya majumbani na viwandani mfano mashine ndogo ndogo na kubwa kwa makubaliana na mwenye nacho na pia vifaa vya majumbani na madukani kwa wale wanaosafisha stoo na wengineo. Sasa...
  10. J

    Ikulu, Dar: Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia Afrika

    Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
  11. Aina ya Virusi vya Corona vya India na Uingereza vyagunduliwa Afrika Kusini

    Aina mpya ya Virusi vya COVID19 kutoka India na Uingereza imegunduliwa nchini Afrika Kusini, Wizara ya Afya imeeleza. Visa 11 vya maambukizi ya aina ya Virusi vya B.1.1.7 (Uingereza) na visa 4 vya B.1.617.2 (India) vimegunduliwa katika majimbo ya Gauteng na Kwazulu-Natal, na waathirika wamekuwa...
  12. Video: Jeshi la Maji la Uingereza latumia teknolojia ya mtu kupaa kupambana na uharamia

    Jeshi la Maji la Uingereza limefanya majaribio ya kutumia mavazi maalum yanayomwezesha mtu kupaa kwa lengo la kuboresha operesheni za kuzuia uharamia baharini. Kampuni ya utafiti wa teknolojia ya anga ya Gravity Industries imechapisha video inayoonesha wanajeshi hao wakifanya mazoezi kwa...
  13. Uingereza: Vifo vitokananvyo na Unywaji Pombe vyaongezeka baada ya Watu kuwekwa Karantini ya Majumbani

    Inaelezwa kuwa kuongezeka huko kumeanza baada ya watu kutakiwa kukaa majumbani ili kuzuia maambukizi zaidi ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona. Taarifa ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (ONS) zinaonyesha kuna vifo 7,423 chanzo kikiwa ni unywaji pombe sawa na ongezeko la...
  14. Ukoo wa kifalme Uingereza hawaruhusiwi kupiga kura katika uchaguzi

    Royals Don't Vote It might seem strange, but the royal family and politics do not go hand in hand. The royals do not vote because they are not supposed to express political opinions, and they are also not allowed to run for office. They are supposed to stay impartial. This also applies to...
  15. Kwenye ukoo wa kifalme Uingereza inakatazwa weza kuonyesha mahaba yao kama kushikana mikono hadharani

    PDA Is Off-Limits Although the couples in the royal family might love each other dearly, they are not supposed to show public displays of affection. Marrying a prince might seem like an actual fairytale, but you can't make a big show of it in public. Holding Hands Is Even Frowned Upon This rule...
  16. Hakuna aliye juu ya sheria- hii kwa makosa inatumika tu hapa kwetu ila Uingereza Malkia wao haihitaji leseni ya udereva

    The Queen is the only person in the United Kingdom who can drive a car without a driver's license. She has been driving since she was 19, and she does not need a license because they are issued in her name; therefore, she gets to enjoy the rights that exclude her from the law.
  17. U

    Taarifa: IGP Simon Nyakoro Sirro Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar. Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na walibadilishana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama
  18. U

    Malkia Elizabeth II wa Uingereza atimiza umri wa miaka 95

    Tarehe kama ya leo alizaliwa Malikia Elizabeth II ambaye ni Mkuu wa Ufalme wa Uingereza Hongera sana kwake kwa kutimiza umri wa miaka 95
  19. A

    Miaka 82 ya penzi la Malkia Elizabeth II na Mwanamfalme Philip

    MWAKA 1939, Elizabeth alikuwa binti mwenye umri wa miaka 13. Urembo wake haukuwa na kificho. Mwaka huo, Philip alikuwa kijana barubaru, umri wake tayari ulishatimia miaka 18. Ndipo wakakutana. Binti wa miaka 13 akaangukia kwenye penzi la kijana mwenye miaka 18. Elizabeth na Philip wakawa...
  20. Rais Samia Suluhu atuma salamu za rambirambi kwa familia ya malkia wa Uingereza

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa malikia wa Uingereza Queen Elizabeth II, baada ya kifo cha Mwanamfalme Prince Philip. Kupitia ukurasa wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Twitter ameandika kuwa:-
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…