uingereza

  1. Kenya yajibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo masharti

    Kenya imejibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo watakaowasili sharti la kuwa karantini kwa siku 14. Raia wa Uingereza watakapokuwa wamejitenga, watahitajika kupimwa ikiwa wamepata maambukizi ya virusi vya corona au la mara mbili siku ya pili na ya nane wakiwa karantini kwa...
  2. Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots

    Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots SATURDAY APRIL 03 2021 This picture shows vials of the AstraZeneca Covid-19 vaccine in Paris on March 11, 2021.AFP PHOTO By AFP The UK medical regulator said Saturday that out of 30 people who suffered blood clots after...
  3. Uingereza: Chris Whitty asema hakuna haja ya lockdown, wataishi na Corona kama mafua

    Afisa Mkuu wa Tiba na Mshauri wa Tiba wa Uingereza, Chris Whitty amesema hakutakuwa na lockdown wataishi na #COVID19 kama mafua. Ameshauri Serikali yake kujifunza kuishi na #CoronaVirus pia amesema vinavyotajwa kuwa virusi vipya ni uongo. ====== The idea that Covid variants can be stopped...
  4. K

    Hatimaye Uingereza yanyoosha mikono na kupendekeza kufuata nyayo za hayati Magufuli kuhusu kupambana na Corona

    Wakuu, Habari za asubuhi, Hayati Magufuli alikuwa anaona mbali sana kuhusu hili gonjwa la corona, japo baadhi ya watu wa ndani ya nchi, mataifa jirani na nchi za magharibu walikuwa wakibeza sana misimamo yake. Mshauli mkuu wa masuala kiafya wa uingereza kaona kujifungia ndani/lockdown...
  5. Uingereza yatuma kikosi maalum cha makomandoo wa SAS Msumbiji kumuokoa raia wao aliyetekwa

    Makomandoo wa kikosi maalum kiitwacho Special Boat Service: Picha na Royal Marine ya Uingereza. Uingereza imetuma makomandoo watatu wa SAS kwenda nchini Msumbiji kusaidia kumuokoa raia wa nchi hiyo bwana Phillip Mawer ambae ametekwa na kikundi cha kigaidi cha ISIS. Gazeti la The Times la...
  6. #COVID19 ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

    Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini. Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na kujifanya ni Watalii. Walipohoji raia umuhimu wa kuvaa barakoa, wengi walisema wanamuamini Mungu.
  7. Muungano wa Wafanyakazi Uingereza walia na mfumo wa teknolojia wa ufahamu bandia katika ajira

    Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira. Kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoruhusu kuajiriwa au kufukuzwa kazi kwa mfumo wa kompyuta, Muungano huo...
  8. Mke wa Rais wa Syria kufunguliwa mashtaka nchini Uingereza

    Miaka 10 tangu kuanza kwa mapigano nchini Syria, Mke wa dikteta na rais wa Syria, Bashar al-Assad, Asma al-Assad anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu na kushawishi uhalifu dhidi ya wananchi wa Syria, mashtaka yaliyofunguliwa dhidi yake nchini Uingereza. Asma ambaye ana uraia...
  9. #COVID19 Utafiti Uingereza: Chanjo inasaidia kupunguza kuenea kwa virusi vya corona kwa asilimia 85

    Takwimu kutoka nchini Uingereza zinaonesha kuwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inasaidia kupunguza uwezekano wa kuenea kwa maambukizi kwa hadi asilimia 85. Utafiti uliochapishwa na taasisi ya Public Health England (PHE) unaonesha kuwa chanjo ya Pfizer-BioNTech inapunguza uwezekano wa kupata...
  10. Kituo cha BBC chatuhumiwa kuchochea chuki na ubaguzi dhidi ya Wanawake wa Kiislamu Nchini Uingereza

    Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC limeshtumiwa kwa uchochezi wa chuki dhidi ya 'Uislamu na wanawake Waislamu'. Katika kipindi kimoja cha "Wakati wa Mwanamke" kwenye Redio ya BBC 4 kilichohudhuriwa na watu 100 nchini Uingereza akiwemo mchekeshaji maarufu Deborah Frances-White na wabunge...
  11. S

    Mapambano dhidi ya corona: Uingereza yazuia watu kutoka mataifa 33 kuingia Uingereza kuanzia February 15 na watanzania wakiwemo

    The UK has banned people travelling from 33 countries from entering its territory starting February 15 to prevent the spread of the Covid-19 variant originally identified in South Africa. “If you have been in or through any of the countries listed below in the previous 10 days, you will be...
  12. S

    Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

    Hii ndio Tweet yao: "This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel." ===== "
  13. Swali kuhusu Uingereza, Uhispania na Ufaransa wakati wa ukoloni

    UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Enzi Za Ukoloni Mataifa Mengi Ya Ulaya Yalianzisha Makoloni Sehemu Mbali Mbali. Lakini Mataifa Ya UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Ndiyo Yalijipatia Makoloni Makubwa Zaidi. Nimekuwa Nikisoma Kuhusu Ukoloni Lakini Kuna Swali Sikupata Jibu Lake. HISPANIA Ilitawala...
  14. CUF: Vikwazo vya Marekani na Uingereza dhidi ya Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA MISIMAMO YA MAREKANI NA UINGEREZA DHIDI YA WATANZANIA KUKANYAGA ARDHI ZA MATAIFA HAYO: CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea Matamko ya Mataifa makubwa ya Marekani na Uingereza kwa namna tofauti. Wakati Marekani ikipiga Marufuku Maafisa walioshiriki kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa 2020...
  15. Wakuu wa Magereza nchini Uingereza wamejiwa juu kwa ufisadi kwa kuwanunulia wafungwa TV za flat Screen

    Mzuka wanajamvi! Wakuu wa Magereza nchini Uingereza wamejiwa juu kwa ubadhirifu na kuchezea hela ya walipa kodi kwa kuwanunulia wafungwa TV za flat Screen. Maboss hao wa Magereza waliwanunulia kila mfungwa jumla ya Tv 120,037 moja ikigharimu 96 pounds kati ya February 2017 hadi December 2020...
  16. Q

    #COVID19 Kudhibiti maambukizi ya COVID-19: Wasafiri kutoka Tanzania wapigwa marufuku kuingia Uingereza

    (Reuters) - Britain is banning all arrivals from Tanzania and Democratic Republic of Congo from Friday to stop the spread of the South Africa COVID-19 variant, transport secretary Grant Shapps said in a tweet on Thursday. "All passengers from these countries except British & Irish Nationals and...
  17. Shule ya Wavulana ya Ihungo yazinduliwa rasmi, iliharibiwa na tetemeko la 2016

    Shule hiyo iliathiriwa na tetemeko lililotokea Mkoani Kagera Septemba 10, 2016 na kupelekea majengo mengi kuharibika ambapo Serikali iliagiza ijengwe upya. Mradi huo umegharamiwa na Serikali za Uingereza na Tanzania. Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amesema Shule ya Wavulana ya Ihungo...
  18. Iran yazuia uingizaji wa chanjo ya Corona kutoka Marekani na Uingereza kwa kutokuwa na imani na mataifa hayo

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amepiga marufuku uingizaji wa chanjo ya Covid-19 kutoka kampuni ya Pfizer ya Marekani na mshirika wake BionTech, sambamba na chanjo ya Uingereza ya Astrazeneca kwa kile alichokitaja kama kukosa imani na mataifa ya Magharibi. Katika hotuba kupitia...
  19. Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta? Tulishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima...
  20. K

    Serikali izuie safari za Uingereza na Afrika Kusini haraka

    Leo tumeamka na taarifa ya kuibuka kwa aina mpya ya kirusi cha Corona huko Uingereza na Afrika Kusini; Kirusi hicho kipya kina uwezo wa kusambaa kwa haraka zaidi ya 70% ya kirusi cha kawaida. Kufuatia kuibuka kwa aina hiyo mpya ya Kirusi nchi kadhaa zikiongozwa na Ujerumani tayari zimepiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…