Kufanya biashara mtandaoni ni riski kubwa sana pia nawahurumua watu wanaotegemea kufanya biashara mtandaoni maana kadiri mambo yanavyobadilika hamna mtu ataamini vitu vya online ingawa ingekuwa inatumika ipaswavyo ingerahisisha zaidi kwa kuokoa muda na usalama pia.
Ila kadri siku vinavyosonga...
Sukari bei juu!
Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero!
Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao!
Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki!
Nishati ya mafuta bei juu!
Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao!
Mfumko wa bei...
Kwa mliowahi kutembea nje ya Africa naomba mnipe uzoefu wenu mliyoyaona Uko nje ya Afrika hususani kwenye Swala la usafiri wa mabasi yanayoenda safari ndefu kutoka Mji fulani kwenda mwingine maana kwa Tanzania kuna usanii mwingi kwenye usafiri wa mabasi.
Kama Kuna changa Moto ulishawai kutana...
Ngoja nikwambie kitu. Hii dunia huwa ina siri kubwa sana, na kamwe usimwamini mtu hata kama anakuongozaga ibada sehemu ya kusali. Hii dunia ina watu wajinga na wajanja, wajinga ni asilimia tisini na wajanja ni asilimia kumi.
Kwenye hao kumi pia wametofautiana. Asilimia saba ni wale ambao...
Ile dilomasia ya kinafiki ya Marekani kuwazuga waarabu inazidi kukwama.
Mawaziri wa nchi za nje wa jumuiya ya nchi za kiarabu wamemkatalia waziri wa masuala ya ulinzi wa Marekani kujadiliana nao juu ya namna ya kuiendesha Gaza baada ya vita kumalizika.Mazungumzo ya aina hiyo yamepata vikwazo...
Frankly speaking Samia hajui chochote kuhusu mpira! Support za kinafiki ambazo huwa anatoa huwa ni ushauri anaopewa na ma-master mind wa CCM ambao wameshajua kuwa ukiwateka mashabiki wa Simba na Yanga basi kura karibia zote unazo.
Swali dogo tu; je ni lini umemsikia Samia akipongeza timu kama...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetumia mbinu za kijasusi kwa kusaini mkataba kati ya Bandari ya Darisalama na muwekezaji dp world kutoka dubai na siku hiyo hiyo kutoa taarifa kwa vyomba vya habari kumtangaza paul makonda kuwa katibu wake wa itikadi na uenezi
Lengo la kuunganisha matukio hayo...
Naona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?
Kunahitajika PROGRAMU ya dharura kuliokoa hili jiji.
Sina maana ya kusema vijana wote wa Arusha ni wahuni na waalifu ama kusema Arusha si salama kabisa, La Hasha! ni kwamba uhuni ni kama umefumbiwa macho usambae mithiri ya kansa ya kidole inavyosambaa mwilini kwahio sio jambo la kufumbia macho...
Wakuu
Tangu muziki huu ulipoanza kusikika nchini kutokea huko south Africa.
Sasa imekuwa fashion kila wimbo unaotoka basi jua ni amapiano tu na tumezoea imekuwa kawaida kabisa.!
Mpaka wazee nao wanaruka amapiano.! Unabisha? Nenda mpaka kwenye sherehe wanapiga na wazee wanaruka tu...
ACHENI KUGONGAGONGA HOVYO!!!
Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa.
Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi, unafanya hivi na vile lakini hakuna kitu.
Umekuwa na ndoto zako za muda mrefu, unaamini zitakupa sana...
Nirudi kwangu kwanza, kipindi nikiwa nasoma mkoa kama umefika Dar ulionekana bonge la mjanjaa! Sasa nikiwa shule ya msingi chini ya 2000 huko mwalimu yoyote akiuliza swali la nani anajua Dar es Salam, Big stone and coner stone nakuwa wa kwanza kusimama.
Nani anajua maji ya bahari yana ladha...
Wasalaam JF,
Money is the king of love.
Money is the only magnet that women have since failed to resist.
Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you.
Thank me later.
Wadiz
Hii ndiyo serikali yetu kwenye ubora wake:
Kwa mtaji huu kuna haja ya kuziangalia upya zinazoitwa siri za rerikali.
Pia Kuna haja ya kukiangalia upya kinachoitwa "collective obligation" kwenye kuitetea serikali.
Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika?
1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana vyuo vya umma havina tofauti na vyuo binafsi.
2. Malipo ya hospitali ambapo dawa, kumwona daktari...
Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani.
Baadhi ya matukio
Tuko necta ya fomu 6 kuna demu mmoja aka kamatwa na ki karatasi kimekunjwa kwa ustadi mkubwa...
Dar Es Salaam mzee wangu alikuwa anataniwa na rafiki majirani Wazaramo ...." We wakuja" anacheka sana. Akawa anawatizama tu anacheka.
Leo hii wale waliokuwa wanamwita mzee mshamba wameenda kuishi huko Kisarawe na Mbele ya Vikindu. Mzee alinunua nyumba zao pale Jirani akabomoa akatanua uwanja...
Salaam ndugu zangu,
Natumai wote mu wazima. Leo najaribu kugusia na kudokeza baadhi ya tabia za ujanja ujanja zinazofanyika nje ya Ofisi nyingi za umma.
Walinzi au watu wa mapokezi wa sehemu hizi wamekuwa chambo Cha kufanya biashara ndogo ndogo wakitumia chambo Cha wananchi kusaka huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.