Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.
Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
Hata kama baa inakesha...sibanduki kaunta ni mwendo wa kata chupa leta chupa...wanakuwa na keep change nyingi sana wale....
Sio unasubiria mhudum wa kawaida kazi kukupiga mizinga tu
Uzi tayari
Ni Tanzanian pekee mwekezaj anaanza kunufaika matunda ya kampuni bila hata ya kutoa ela ya umiliki (hisa) haya ndo maajabu ya afrika
Na mwekezaj anapoambiwa ela ya umiliki wa hisa anakua mbogo, swali la kujiuiza mo dewji ameachwaje miaka mitatu bila hata ya kuchukuliwa hatua na mamlaka husika...
When in November last year, the National Police Service said it had received information from Interpol that some Kenyans were wanted in the US for alleged fraud offences, one of the names released was that of Edwin Sila Nyumu, a man who had been on the run.
Nyumu and his family were behind a...
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.
Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo...
Niliwawahi andika miaka hii haya mashindano ni ya kitapeli
Wapo waliodhihaki
Nenda mtandao wa salehe jembe usikie mwenyewe mshindi wa enzi hizo Kayumba na zawadi alizopata.
1) Anasema wazazi walipewa mil 2 tu
2) Aliletewa gari ambalo alikuwa jipya nakuwambiwa utakuwa ukitumia
3) Alipelekwa...
Kuwa na wapenzi wengi,ni ujanja ama ushamba?
Unakuta binti ana wanaume lukuki, kila mmoja anapangiwa muda wake na mbaya zaidi unakuta hawafahamiani. Hivyo hivyo kwa wanaume pia, wanakuwa na mabinti (wanawake) wengi leo Ashura, kesho Mwanaidi, kesho kutwa Merry n.k Je huu ni ujanja ama ni ushamba tu?
1. Hakuna kubadili sheria ya madini mpaka Barrick waondoke nchini.
2. Hakuna kuishtaki Barrick mahakama za ndani.
3. Barrick haitajisajili ndani ya DSE.
4. Hakuna Mtanzania atakayeweza kununua hisa kwenye kampuni.
5. Serikali itapata share ya net profit na net loss kwa 50%.
Kwa mkataba huu...
Kwa miaka hii minne Utawala wa CCM unashindwa kujipambanuwa. Kuna msigano wa wazi wa itikadi ipi hasa inafaa kufuatwa na mfumo upi hasa unapaswa uwe ndio mfumo wetu wa Utawala.
Watu wengi wanaamini ni mfumo mpya " ulibatizwa jina na kuitwa " MAGUFULIZATION"
Sijui mfumo huu unalenga nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.