Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana!
Miguna miguna alimuapisha Odinga na karejea Kenya baada ya muda mrefu kuwa Canada! Je, kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna ujanja ujanja fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile...
Uchawi wa mwanaume kwa mwanamke upo wa aina 2 tu;
1. Pesa - Hii itamvuta aje kwako.
2. Kumfikisha Mlima Kilimanjaro - Hii itamfanya uingie moyoni kwake sana sana. Sasa ili umfikishe Kilimanjaro hapa inategemea na show yako.
Mwingine dakika 2, 3, 4 na wengine kwasababu za kimaumbile na kihisia...
Habari za jioni
Kwenye mwendokasi dar ma cashier wajanja sana.
Nauli ya mwanafunzi ni 200
Nauli ya mtu mzima ni 650.
Hizi tiket za mwanafunzi na mtu mzima zinafanana kila kitu tofauti ni maandishi ya bei tu.
Ma cashier huwa wana tabia ya kuprint tiket nyingi wakiwa wenyewe.. kisha wateja...
Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
Jameni Mrusi anateswa hadi basi tu, Ukraine wamekua wanatengeneza mifano ya HIMARS za mbao, kisha wanazianika Urusi wanazinyeshea kwa mvua ya mizinga kisha wanatangaza "leo tumelipua HIMARS 20"....
Ukraine is reportedly using wooden decoys of advanced US rocket systems to trick Russia into...
Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
Iko hivi, Marekani kwa kutaka kuikomoa Urusi wakapata mawazo ya kugomea kununua mafuta Yao. Lakini kabla hawajafikia muafaka wa kugomea mafuta ya Urusi wakaona watafuta chanzo mbadala Cha mafuta. Hapo ndio wakapata wazo la kuiomba Venezuela kwa Raid Maduro waweze kuànza téna kuchukia mafuta huko...
Fanya utafiti wako mdogo kwenye jamii jamii yetu utagundua kuna changamoto kubwa sana ya uaminifu karibu kwenye nyanja zote, kazini, kwenye biashara, mahusiano, siasa na hata kwenye masuala ya kiimani.
Kiwango cha watu kuonesha udanganyifu, wizi, uongo, ujanja ujanja, ni kikubwa mno. Waajiri...
Uongozi wa kigamboni kuna barabara mbili pale feri ambazo kwasasa zinapita njia moja japo zina michoro ya njia mbili na kipindi cha nyuma zilikuwa zinatumika kama njia mbili tunaomba muweke alama zinazoonekana na zinazokataza gari kuingia.
Katika njia hizo ⛔ pale mwanzo kuingia na sio vile...
Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni, leo wameshiriki uzinduzi wa Shule ya awali na msingi Museveni iliyojengwa katika kijiji cha Nyabilezi, Chato mkoani Geita.
Shule hiyo imejengwa kwa gharama ya takribani Dola za Kimarekani Milioni 1.67...
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia.
Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza...
Ikiwa kama tunataka kupima uwezo wa timu kujaza mashabiki kwenye kinachoitwa Yanga Day , basi ni vema tuache kujidanganya kutumia ujanja ujanja kama huu ambao yanga wanautumia.
Kitendo cha kumleta Mopao uwanjani hii inamaanisha hata mimi Mwanasimba lazima nihudhurie tu , sisi wengine ni wapenzi...
Kama uliwahi kuweka vocha kwenye simu yako alafu ukakuta ile hela uliyoweka haipo na wala hujaitumia, ulishawahi jiuliza inaenda wapi nini kifanyike ili kuzuia wizi wa namna, nini kinafanyika kuzuia wizi wa aina hiyo.
“Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba wanapoteza pesa kujiunga...
Habari wakuu leo katika utundu wangu nimegundua kwamba meter box ina matumizi mengi sana zaidi ya kutumika katika ulipaji wa umeme.
Naam, Nitawadokeza jinsi ya kutumia meter box kuangalia vitu vingine
Moja ya matumizi ya Meter ni kuangalia tarehe na saa/Mda
Nisiwachoshe ni kama ifuatavyo
Jinsi...
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ameendelea kukazia zege kauli yake aliyoitoa bungeni juu ya maslahi ya wabunge.
Anadai yeye ni msema kweli daima, ameokoka na hataki kufanya yasiyopendeza Mungu.
Amefunguka kwa kusema kuwa wabunge wanalipwa milioni 3.8 tu. Ambazo kimsingi hazitoshi kwa kazi...
Katika Kuonyesha kuwa Watoto wa Kizazi cha akina Kikwete na Magufuli huenda wakawa ni Werevu kuliko Kizazi chetu cha akina Nyerere na Mwinyi wameanza kuwa ' Wabunifu ' katika Kujipatia Pesa kwa ' Style ' ya Kipekee kabisa.
Wanajikusanya Watoto kama Watano (5) hivi kisha wanakaa katika njia...
Kuna Mjadala sana siku kadhaa kuhusu Wakenya na ishunzima ya wakenya kuwa wengi sana Tanzania kwa uwekezaji ilihali sisi tukiwa na kampuni kama 30.
Niliwahi enda Kigoma na nilikaa kaa sana kule na katika kakaa yangu nilikutana na Waganda, Warundi, Wanywarwanda yaani wale wana faidi sana Kigoma...
Morning Fam,
Kimsingi licha ya exposure katika mambo mengi tu yakiwamo mahusiano, magari, fashions na teknolojia nikiri tu kuna maswala mengine niko katika ujima.
Hivi karibuni nimekumbwa na kipengele, nataka nikanunue Gold jewelleries zikiwemo hereni, chain na pete ila sasa kimsingi sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.