Ngoja nikwambie kitu. Hii dunia huwa ina siri kubwa sana, na kamwe usimwamini mtu hata kama anakuongozaga ibada sehemu ya kusali. Hii dunia ina watu wajinga na wajanja, wajinga ni asilimia tisini na wajanja ni asilimia kumi.
Kwenye hao kumi pia wametofautiana. Asilimia saba ni wale ambao...