ujasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UJASUSI; Usiwaambie watu Ndoto/malengo yako. Future ni Siri na ndoto inapaswa kuwa Siri

    UJASUSI; USIWAAMBIE WATU NDOTO/MALENGO YAKO. FUTURE NI SIRI NA NDOTO INAPASWA KUWA SIRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna anayeijua Kesho. Hiyo ndio Kanuni namba Moja ya UJASUSI. Kama hakuna ajuaye Kesho basi nawe unatakiwa kuhakikisha hakuna ajuaye ndoto au Hatua yako inayofuata ni...
  2. A

    Mkuu wa Ujasusi wa Rwanda, Lt. Gen Kayumba Nyanwasa, asema Kagame ni chanzo cha matatizo yote Congo na maziwa makuu

    Aliyewahi kuwa mkuu wa ujasusi Rwanda na Balozi wa Rwanda nchini India, Lt. Gen Kayumba Nyamwasa anasema matatizo yote yanayotokea mashariki ya Congo yanasababishwa na kagame. Anasema Congo hamna tena tatizo la Banyamulenge ,lilishakwisha zamani na wana haki sawa na wanahudumu hata sasa katika...
  3. Ujasusi Kwenye Ushindani wa Kibiashara

    Uandaaji wa Mpango Mkakati yaani “Strategic Planning” unahusisha ukusanyaji na ufanyaji wa tathmini wa taarifa juu ya mazingira ya nje yanayoizunguka kampuni yaani “external environment”. Mazingira haya yamehawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni’ Fursa. Haya ni mazingira chanya...
  4. UJASUSI - Nani ni authority halali (Kisheria)?

    UJASUSI - NANI NI AUTHORITY HALALI(KISHERIA)? Sakata la kumpata mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo limeibua mambo mengi miongoni mwa kambi pinzani ndani ya chama, ikiwa ni matokeo ya kurushiana makombora Katika jitihada za kila kambi kutaka kuidhoofisha kambi pinzani! Moja ya...
  5. Yeriko Nyerere akaangwa na Dr.lwaitama asema makaratasi yake ya ujasusi NI utapeli mtupu.

    Dr.kwaitama ambaye nimpigania demokrasia na mwumini wa mageuzi hapa nchini amesema kwamba yeriko Nyerere ni tapeli na hafai kwenye jamii ya watanzania kwani amekuwa kigeugeu katika misimamo yake hasa kwenye upande wa siasa, mwandishi huyo wa vitabu vya ujasusi amekuwa akitoa lugha za kashifa...
  6. Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

    Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu. Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura. Wameamua kabisa...
  7. Stori ya kufikirika na chatgpt

    STORI YA KUFIKIRIKA NA CHATGPT Kabla sijaanza na mada itabidi kwanza nielezee kwanza maana na baadhi ya vitu kBL sijatoa experience yangu ndani ya mijengo ya FBI na later kwenda CIA nchini marekani. Kwa wenzetu: Usalama wa taifa ni taaluma inayohusu ukusanyaji , uchambuzi na uwakilishaji wa...
  8. Rais wa Congo, F. Tshisekedi, tumia mbinu za ujasusi za Netanyahu kupambana na ugaidi utafanikiwa

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada inakuja baada ya waasi wa M23 kuteka mji wa kalembe ambao ni muhimu kwao, unatoa nafasi kwao kufikia majimbo mengine kirahisi hasa yenye utajiri wa madini, kama tshobo, kivu kusini, na maniema. Alichofanya netanyahu wakati ana anza kupambana na hamas uko...
  9. R

    Jeshi la Israel limesema limefanya shambulizi kwenye makao makuu ya kijasusi ya Hezbollah

    Siku ya Leo jeshi la Israel lashambuliwa makao makuu ya ujasusi ya Hezbollah ya ujasusi, pia sehemuilikuwa ina sehemu ya kutengenezea mabomu chini ya ardhi. Jeshi la Israel limesema limefanya shambulizi kwenye makao makuu ya kijasusi ya Hezbollahkatika mji mkuu wa Lebanon, Beirut...
  10. Ujasusi katika maisha halisi

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mpenda kufatilia makala riwaya na majalida mbalimbali ya kijasusi sijawai hata kupitia mafunzo ya mgambo ila elimu ya ujasusi niliyo nayo huwezi ipata shule nina degree ila sijawai pata elimu ii toka nianze kusoma ila ndo inanisaidia katika...
  11. Mkosoaji wa China akamatwa kwa mashitaka ya ujasusi marekani

    Huyu alikimbia toka China bara akakimbilia Taiwan baadae akaenda kusaka hifadhi marekani kama mkosoaji mkubwa wa China. Imekuja gundulika alikuwa jasusi wa China ndani ya marekani. Inavyoonekana sio kila mkosoaji wa nchi fulani hasa hizi kubwa anaye kimbia nchi yake na kukimbilia nchi nyingine...
  12. Julian Assange wa WikiLeaks kukiri kosa la kuvunja sheria za ujasusi za Marekani

    Mwanzilishi wa WikiLeaks Julian Assange Mwanzilishi wa WikiLeaks Julian Assange kesho Jumatano (26 Juni, 2024) anatarajiwa kukiri kosa la kuvunja sheria za ujasusi za Marekani, katika makubaliano yatakayomaliza kifungo chake nchini Uingereza na kumruhusu kurudi nyumbani Australia. Assange...
  13. Biden aipiga marufuku Ant Virus ya Kaspersky ya Russia kwa Ujasusi

    Putin kawashika pabaya Marekani sasa wanahaha kujilinda kwa kila mahala baada kuistukia Kaspersky Software ya Urusi inatumika kufanya ujasusi..Juzi tu walikua Wana ituhumu TikTok ya China kwa ujasusi🤣🤣🔧 --- 🚨 BREAKING: BIDEN BANS ANTIVIRUS KASPERSKY SOFTWARE Biden admin will announce plans to...
  14. Ni ngumu kuelewa ila anafutwa na icc ni marekani na sio netanyau na huenda huu ukawa mtego wa putin. Kuisambaratusha nato

    Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato. Ziko nchi tayali wameshaweka Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc. Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia...
  15. R

    Je, Dunia ni battle field ya UJASUSI kati ya ufalme wa Nuru vs ufalme wa Giza?

    Salaam shalom!! Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee, Tafsiri hapo ni kuwa, battle ground ya vita ilihamishiwa duniani, sasa twende mbele kujua mambo kadhaa wa kadhaa. Mifumo yote ya...
  16. Kenya inatumika sana kwa tanzania sema ujasusi umelala kwa ufupi

    Kipindi cha ukoloni kenya ndio ilifanya ujerumani ikaondoka sababu mwingereza alitaka kwa nguvu nchi hii na akafanikiwa. kipindi cha kutafuta uhuru nchi nyengine mfano south afrika ,kenya iliusika sana na makaburu ili tuweze kushindwa kuwasaidia wapiga uhuru huko. Umoja wa afrika mashariki...
  17. Nani alitangulia kati ya Yeriko Nyerere na Nashon C Elia kwenye suala la ujasusi katika dola na uchumi?

    Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere. Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
  18. U

    UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel

    UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel Wadau hamjamboni nyote? Uteuzi wa Maofisa wakuu wa Jeshi la Israel Jeshi la Israel IDF limefanya uteuzi mpya kwa kumteua Jenerali shlomi Binder kuongoza idara ya ujasusi ya Jeshi la nchi hiyo akichukua...
  19. Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Jeshi la Israel ajiuzulu

    Mkuu wa ujasusi katika jeshi la Isarel Meja jenerali Aharon Haliva amethibitisha na kukiri kufeli katika vita vinavyoendelea hasa katika kuzuia shambulio la Hamas la Oktoba 7, aidha kwa maelezo hayo Mkuu huyo wa ujasusi jeshini IDF amejiuzulu wadhifa wake huo ------- Israeli military...
  20. Uchambuzi: Kuvuja kwa mazungumzo ya siri ya kamanda wa Ujerumani, Russia yaonyesha kuwa ipo juu katika medani ya ujasusi duniani, NATO washangaa

    Balozi wa Ujerumani alieko nchini Uingereza bwana Miguel Berger aliitwa katika ofisi za wizara ya mambo ya nje ya Uingereza ili atoe maelezo kuhusu kuvuja kwa rekodi ya mazungumzo ambayo kamanda wa jeshi la anga la Ujerumani alisikika akikiri kuwepo kwa vikosi vya jeshi la Uingereza nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…