Habari za mda huu, naamini ni wazima wa afya na kama yupo anaeumwa Mungu atampa nafuu.
Niende kwenye point, iko ivi nilisex na mme wangu siku 2 baada ya KUMALIZA hedhi, yaani zile siku ambazo ni salama ila alimwagia ndani😥
Ikabidi nitumie p2 mapema kabla ya masaa 24 kuisha. Yote ni kuhofia...