ujenzi

  1. We do design and construction services

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES APPARTMENT VILLA EACH UNIT 2BEDROOM PLOT SIZE 20X30M CALL/WHATSAP +255624004650 VISIT OUR OFFICE SINZA PALESTINA
  2. Wadau wa ujenzi pitia hii toa maoni.

    Hii ni idea ya ramani ya nyumba. Mdau naomba uipitie utoe maoni yako wapi pa kuboresha. Natanguliza shukrani.
  3. R

    Wataalamu wa ujenzi wa nyumba /waezekaji msaada please

    Roofing nails zinauzwa katika vipimo vipi? Fundi aliniambia kuwa kg moja ya roofing nails ni Tsh 6,000. Sasa nimenunua box lina kg 13, ndani kuna mifuko midogo 25 yenye misumari 47 na haitimii kilo for that matter. Wananiambia hiyo kimfuko chenye misumari 47 ndicho elfu 6, ndiyo kg moja at...
  4. Mbunge Mavunde Aahidi Kushirikiana na Waislamu Majengo Kukamilisha Ujenzi wa Msikiti

    MBUNGE MAVUNDE AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WAISLAMU MAJENGO KUKAMILISHA UJENZI WA MSIKITI ▪️Achangia saruji tani 10 ▪️Awapongeza waumini kwa kujitolea ujenzi wa msikiti ▪️Aahidi kutafuta wadau wa kukamilisha ujenzi 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amewaahidi waumini wa...
  5. Nauza marine boards, mirunda na mbao zilizotumika

    Habari.Nauza mirunda, mbao, na marine boards zilizotumika. Marine boards ziko size 18mm, Mbao zipo size 2x2, 4x2, 1x9, na 1x 10. Bei maelewano. Vifaa vimetumika mara moja tu, nategemea kuezua slabu yangu tarehe 23/11/2024 site ipo Msumi Dar. Mawasiliano 0747109975.
  6. Huu ujenzi unaoendelea hapa Dar es Salaam unamaanisha uchumi umefunguka?

    Hapa DSM kila sehemu panajengwa , maghorofa yaliyokwama wakati wa magufuli sasa yanajengwa . Ukiwa haufanyi baishara au haupo Latina circle ya waliojipata hauwezi kuelewa namna hela inavyopatikana Kwa sasa
  7. Prof Tibaijuka alia ujenzi kiholela umegharimu maisha ya watu kariakoo

    https://youtu.be/gm6k0gc9PW4?si=StdiqWV7Dj1gTll5 =================== Naomba uongozi wa Jamiiforums Active mmfanyie mahojiano ya kina Prof Tibaijuka Pia mngemfanyia Mahojioano Mhandisi mzoefu wa Ujenzi wa Maghorofa marefu. Pia mngemfanyia Mahojioano Mtaalam wa Mipango miji...
  8. Kuepusha majengo kuanguka hivyo; Itungwe Sheria ya nyumba na kanuni za ujenzi

    Sheria zilizopo za maendeleo ya miji si mahususi kama Kanuni za Ujenzi, Wakati sheria zilizopo zinahitaji tu jengo kupewa cheti cha kufuata taratibu baada ya kukamilika, Kanuni zinataka jengo lipate uthibitisho kama linastahili kwa makazi ya binadamu au la. Sheria zilizopo ambazo ni pamoja na...
  9. Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

    Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
  10. Maafa ya Kariakoo: Ni Wakati wa Wizara ya Ujenzi kuwajibika

    Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu sote, huku tukiombea kwa dhati afya njema na salama kwa wale waliojeruhiwa na pole za dhati kwa...
  11. Swali kwa wataalamu wa ujenzi

    wadau wa ujenzi msaada kwa waliowahi kutumia mabati ya kampuni ya SUNBANK na SUN SHARE kwenye swala la uimara na ubora wake yapoje?
  12. Tuliohamia makwetu 2024 kabla hata ujenzi hujaisha tukutane hapa kutiana moyo na kupeana changamoto

    Uzi maalumu kwa wale baba wenye nyumba walioamua 2024 liwalo na liwe wamefanikiwa kuhamia kwao na maisha yanasonga na hawalipi tena kodi bali wanaweza hata kugombea ujumbe wa nyumba 10 tukutane hapa. Wengine shida maji wengine umeme na wengine usafiri.vp una solve ishu hizo kuzirahisha.mpewe...
  13. K

    Naomba kujua bei ya Tiles

    Wanajamvi napenda kujua bei ya Tiles Twyford au Goodwill kwa dar es salaam 40×40 25×40 Na skating tiles
  14. A

    DOKEZO Fundi Ujenzi afariki dunia kwa kukosa Huduma ya Kwanza ndani ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki – EACLC, Ubungo

    Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora. Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
  15. Tusaidiane faida na changamoto za kuweka milango ya aluminium kwenye nyumba ya kuishi kama mbadala wa milango ya mbao milangoni?

    Tusaidiane faida na changamoto za kuweka milango ya aluminium kwenye nyumba ya kuishi kama mbadala wa milango ya mbao milangoni?
  16. Naibu Waziri Katimba: Ujenzi wa Soko la Mwanga na Katonga Utaimarisha Mazingira ya Biashara Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: UJENZI WA SOKO LA MWANGA NA KATONGA UTAIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA KIGOMA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema ujenzi wa Soko la Kisasa la Mwanga na Soko la Samaki la Katonga mkoani Kigoma utaleta tija...
  17. Biteko: Serikali imejenga hospitali mpya 129, hospitali 50 zimekarabatiwa, ujenzi hospitali za wilaya 677 na zahanati 425

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi mingi katika sekta ya afya inayolenga kuongeza ufanisi katika huduma za afya na kuboresha maisha ya Watanzania. Sambamba na kulipongeza Kanisa Katoliki kwa juhudi zake za kutoa huduma za...
  18. Kituo Chetu Mabasi Arusha hiki hapa

    Eneo kinapotarajiwa kujengwa ni palepale Bondeni City ambapo pembeni yake kutakuwa na mji wa kisasa (satellite city) Kwa mgeni wa jiji la Arusha, eneo la bondeni lipo barabara inayoelekea kwenye kambi ya kufunza vijana (JKT Oljoro) kutoka kwa mromboo ni takribani 8km. Kwa taarifa za awali ni...
  19. Serikali Yasaini Mikataba 93 Ujenzi wa Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua

    Bashungwa asisitiza TANROADS haiko hoi, miradi 87 yaendelea kutekelezwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya dharura ya barabara na madaraja iliyoathiriwa na mvua za El Nino pamoja Kimbunga...
  20. Ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya Mwanza Kaskazini umefikia asilimia 44

    MRADI WA MABORESHO YA BANDARI YA MWANZA KUKAMILIKA APRIL IMEELEZWA kuwa mpaka sasa ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya mwanza kaskazini umefikia asilimia 44 ambapo kukamilika kwake kutasaidia kuongeza idadi ya abiria waliokua wakisafiri kwa siku ni mia 6 kwa mwaka abiria milioni 1.64 na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…