ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moto wa volcano

    Ni ujinga uriokithiri kurithi adui wa mtu kwa kusimuliwa habari zake

    Hakuna kitu cha kijinga na cha kishamba kama tabia ya kurithi adui au maadui wa mtu ,,, unakuta mtu anavuta taswira ya ubaya wa mtu au wa watu kwa kusimuliwa tu wakati hajawai hata kuwatia machoni hao watu au huyo mtu Usiwe mwepesi wa kuamini maneno ya watu , jambo lolote lile lifanyie tafiti...
  2. R

    Ni ujinga kununua simu ya zaidi ya milioni kama haina cha ziada katika shughuli zako unless you are rich , simu nyingi ≤ milioni 1 zinajotosheleza.

    Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la tech lina wadau wachache, Matumizi ya simu ni kupiga simu, kuchati, kusikiliza muziki, kurushiana...
  3. chizcom

    Bwana Lucas Mwashambwa kumbuka internet nayo inatunza ujinga na uongo

    Lucas Mwashambwa Shukuru sana utimize umri kama Wassira ili ukiwa unayapitia maelezo yako ushindwe kufuta labda ukapige bomu internet ilipotokea. Mada zako sasa ni lugha gongana haya tunauza nje kwa kununua umeme nje...
  4. Father of All

    Je yawezekana mtu akasoma na kuongeza ujinga badala ya kuelimika? Tazama wafuatao

    Profesa Ndumilakuwili Kabundi, Profesa Kusitasita Ndalikachako, Profesa Kitita Mwamkumbo Profesa Ukame Mbawala Hawa wana tofauti gani na profesa Vulata au Maji Marefu? Dokta asiyetulia Action Dokta Pindua Chania 'Dokta' Mguujuu Michembe 'Dokta' Ndoto Bitek 'Dokta' Sele Jaffu 'Dokta' Sania...
  5. Waufukweni

    Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

    Wakuu Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani? Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo? Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
  6. Chifu mkuu

    Waswahili wanasema : "Kuuliza si ujinga"

    Habari za jioni mabibi na mabwana. Kama kichwa cha habari kinavyosema kuuliza si ujinga! Mimi ni muislamu ila hupenda kujua pia habari za watu wa dini nyingine! Swali langu ni kama ifuatavyo: 1️⃣ Je kwaresma ipo kwa madhehebu yote ya kikristo / kikristu au ni special kwa wakatoliki peke yao? 2️⃣...
  7. kilwakivinje

    tukikosa ubingwa tutasingizia jiesiem

    Simba tukikosa ubingwa viongozi Wana kichaka Cha kujificha. Na tulivyo mapanganga viongozi watatuaminisha huu ujinga nasi tutaamini. Kuna namna viongozi wetu wanatudharau sana na kutuona hamnazo. Ifike muda watuachie timu yetu
  8. Superbug

    Ukitaka ujue ujinga wa watanzania angalia Azam sasa hivi ishu ni Simba na Azam

    Watanzania mambo ya msingi hawayapi kipaumbele ila mambo ya ujinga ndio wanayapa chapuo.
  9. Rorscharch

    Afrika na Ujinga wa Kujidanganya: Kwa Nini Hatuna Miradi Mikubwa ya Kisayansi?

    Kila siku tunasikia kauli kama “Afrika inaweza,” “Sisi ni watu wa nguvu,” “Tuna rasilimali nyingi kuliko Ulaya na Marekani.” Lakini, je, kweli tunaweza? Ikiwa Afrika inaweza, mbona hatujawahi kushirikiana kujenga mradi wowote mkubwa wa kisayansi? Dunia inaendelea na miradi mikubwa kama Apollo...
  10. Zuwenna

    Kuuliza Sio Ujinga; Nimepokea Sms hii Je kuna anaye fahamu kuhusu Hili?

    Nimepokea sms ambayo Imenichanganya sana Sio nimechanganywa labda na tamaa Au Kishawishi kilichopo hapo kwenye Sms hapana Kilicho Nichanganya ni Mtumaji . Huyu mtumaji Nimejaribu Kwenda Hata Google Sioni Majibu Yanayo Eleweka kabisa Mimi muoga sana Kufunga Kitu kinaitwa Link Kutoka Sehemu...
  11. Echolima1

    Ujinga na upumbavu wa waarabu waokoa mamia ya watu kufa au kujeruhiwa kwenye mabasi huko Israel

    Baadhi ya MAGAIDI walioachiwa hivi karibuni kutoka kwenye magereza ya Israel leo waliweza na kufanikiwa kupachika vilipuzi kwenye mabasi 5 ambayo yalikuwa yamepark katika sehemu mbalimbali nchini Israel. Kwa bahati nzuri sana Ujinga na upumbavu wao kwenye TIMER badala ya kuweka saa 3 asubuhi...
  12. M

    Jibuni hoja, msituletee ujinga

    Tangu Tundu Lissu atangaze kaulimbiu ya No Reforms No election kumekuwa na matamko kadhaa ya kkipuuzi na ya kitoto yanayotolewa na viongozi wa upande kinzani. Kwa ujinga hawajaweza kujibu hoja za msingi za Tundu Lissu. Hoja zake zipo very clear kwamba, ni lazima kwanza kufanya maboresho ya...
  13. Chizi Maarifa

    Ni nani anamjaza ujinga Baleke? Angeshukuru hata kukaa bench Yanga

    Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?
  14. B

    Mwanaume Maskini ana Enjoy wake zake hadi watano, wewe na PhD yako , vyeo kibao, pesa zakumwaga, Mke mmoja tu. Huu sio Ujinga?

    Tena huyo mmoja presha juu. Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣 Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi. Una akili kweli? Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia. Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.
  15. Angyelile99

    Maajabu ya ujinga kwa baadhi ya watumiaji wa mitandao

    Jambo la kwanza: ni Tanzania pakee. utakuta mtu kwenye jina la profile ya akaunti yake ya mitandao ya kijamii. anaweka na neno PhD ama Professor ili tu kujitambulisha kwa watu kua ana taaluma ya namna hiyo. Ila tukirudi kwenye ufanisi wa kiutendaji kwenye nafasi aliyopo ni ziro kabisa. La pili...
  16. BLACK MOVEMENT

    TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

    Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni. Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
  17. K

    Kwa USA: Ni ujinga kutoa misaada halafu tunapelekea pesa China, waarabu, Urusi na Uturuki

    Mange yupo sawa kwa hili https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
  18. Eli Cohen

    2025 hatutaki ujinga

    mzabzab Poor Brain Swahili AI min -me Shimba ya Buyenze PSL god Red black naelewa mambo yenu ila huu ni mwaka wa kujenga, fungeni macho 😂😂😂
  19. Li ngunda ngali

    Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

    Hao ndiwo wapiga zumali wa bwana Mbowe kwa sasa. Na ndiwo anaowategemea baada ya Uchaguzi watakuwa wasaidizi wake kwenye Chama. Tafakari.
Back
Top Bottom