Nilisikitishwa sana na hili tukio lililomkuta kaka Sindato kwa kweli!
Na hii sio kwa Sindato tuu. Inatokea kwa watu wengi wanaume kwa wanawake. Unakuta watu wameshashindwana na kuamua kuachana lakini mmoja wao anapoamua kuingia kwenye mahusiano mengine inakua vita.
Tena wengine wanafikia hatua...
Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza.
Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na...
Hata kama wahenga walisema ukitaka uzuri sharti udhurike lkn siyo kwa kuvaa mipira hii ya kukuza na kuonesha makalio. Ni hatari sana.
Maumbile ya kike yanahitaji sana hewa. Ndiyo maana kwa enzi na enzi mwanamke amekuwa akivaa mavazi yenye kuruhusu hewa kufika kwa wingi kwenye sehemu zake za...
Wasalaam wana JF
Katika kipindi cha miaka sita iliyopita nchi yetu ilishuhudia utawala usiofuata sheria na kutojali haki na heshima za binadamu. Watanzania wengi walikua wamekatwa mikia na kugugumia. Haki za kisiasa na kiraia ziliporwa na watu waliumizwa kimwili na kiuchumi na wengine kupoteza...
This is sad,
Miaka 18 hata Advance hajamaliza...au ndio anamaliza...
Haya ni maamuzi ya kukurupuka, una uhakika huyu 'mtoto' yuko kwenye 'ajira'rasmi?
Sana sana utawashawishi watoto wasifocus na shule waingie mtaani kutafuta ajira, unskilled jobs.
Huwezi ukafanya mambo( kodi) kama nchi...
Bado nasema na nitasema daima , kati ya jambo ambalo bado serikali imefeli kupambana nalo ni ujinga na ushamba na ukitaka kuona nchi hii wajinga ni wengi sana basi fuatilia mijadala ya humu JF
Leo Mama Samia kafanya kikao na wafanyabiashara wa Oman na ameelezea fursa ya kusafirisha wanyama hai...
Nchi yetu ni Maskini sana na wananchi wake ni maskini sana ,kiasi kwamba bado kuna wanakufaa kwa kukosa Matibabu ,Njaa na kukosa malazi.
Najiuliza sana Hawa Wasomi waliopo serikalini na kwenye Uongozi wanatudia kweli?
Sababu kubwa ikiwa ni Siasa ndani ya mfumo Elimu .Nchi yetu ina Mali asili...
Ukiona watu hawaview status zako jua unapost ujinga badilika jamaa angu utakosa viwers bure hakuna anayekubali bando lake liishe kijinga kwa kuangalia ujinga
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye maswali fikirishi
Swali la Leo ni Je wajua kutotambua matokeo ya uchaguzi wa rais, ni Kutomtambua rais, serikali na Bunge?. Rais akiisha apishwa ni rais!, umtambue, usimtambue, it doesn't...
Amani iwe nanyi!
Kama kichwa cha mada kinavyosema, kwa muda mrefu sasa nimegundua kwa nini mwalimu nyerere alitamka kuwa moja wa maadui wakubwa wa Tanzania ni ujinga! Nasikitika kusema pia, kuwa hatujaweza kumuondoa huyu adui ujinga!
Mwana jf samurai katika uzi unaoelezea Mhe Rais kufanya...
Habari!
Samahani kama haya maneno "ujinga na upumbavu " vitakukwaza.
UJINGA ni hali ya mtu kukosa ujuzi, elimu au taarifa fulani muhimu ambayo ingemsaidia kutatua changamoto za kwake au za jamii yake.
Huku UPUMBAVU ni hali ya mtu kushindwa kutumia elimu, maarifa au ujuzi aliona ili kutatua...
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.
Nayaleta haya kwa kuwa bila ya...
Wakati wa akina Bruno Mpangala, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi lilipokuwa huru na lina viongozi wenye weledi na calibre ya kuongoza si tu Vyama vya Wafanyakazi, bali hata kuongoza nchi; siyo haya mapandikizi yaliyojaa kwenye vyama vya wafanyakazi kwa sasa.
Wakati ule serikali ilianza...
UJINGA ULIOWAGHARIMU WENGI KWENYE MAISHA!
Anaandika, Robert Heriel.
Kila binadamu anakiwango chake cha ujinga, hata Yule unayemuona anaakili Sana ujue anakaujinga kake.
Sasa unaweza ukawa mjinga lakini kamwe Epuka kuwa MPUUZI, mpuuziaji ambaye baadaye itakufanywa uitwe mjuaji wakati hukuwa...
Nimekuwa mfuatilia kiasi kwenyw mijadala ya page za CAF mtandaoni nimekutana sana na hili neno snake kuwahusu Mamelod.
Na leo kuna mtu amewashauri Orlando waazime snake wa Mamelod wakija kucheza na Simba kwa sababu Simba kwao wanatumia African magic witchcraft iliyosababisha Kaizer Chief...
Kila tarehe moja mwezi wa nne kama leo huwa inatajwa kama ni siku ya Wajinga Duniani, ingawa si siku inayotajwa rasmi na Mamlaka za Nchi lakini Wananchi wake wamekuwa wanaziadhimisha kivyaovyao.
Nimekuwa nikishuhudia na kugundua ya kuwa karibia asilimia 99 ya Watanzania huwa Wanawadanganya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.