Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu na jirani zetu wakenya hakika kiongozi aina ya raila ni kiongozi asiyefahamu na mroho wa madaraka kupindukia.
Katiba mpya walisha ipigania wakaipata na ndio wakaitumia kwenye uchaguzi mpaka imewapa kiongozi wa chaguo la wengi lakini mambo yanaonekana bado...
Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga.
Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaani masuala ya ovyo ovyoo...
Nataka nisemwe nimechoka uzururaji na acha ubachella nakuwa double nipo serious.
Nimechoka usingle ambao haueleweki na kibabu kwendraa nakuacha na wewe unasoma huu ujumbe naisi good day
Kiukweli hapo awali nilikuwa nikijua kuwa vijana wa Kisukuma ni washamba, kiukweli ni washamba lakini uzuri wao wanapenda kuelekezwa na kujifunza na kujikubali pia.
Lakini sasa katika uchunguzi wangu nimekuja kugundua vijana wa Arusha ndio washamba na ni wajinga zaidi kwa sababu;
1. Ni...
Hivi mwanaume mzima halafu ukiwa kwa masela unajiita wewe ni mwanaume shababu halafu kutwa mapenzi yanakuendesha balaa huo si umbumbu? na ujinga? na ukichaa wa hali ya juu yaani mimi nikiona wanaume wa type hiyo natamani hata kuwapiga makofi hivi unaacha kuwaza pesa unawaza hawa ma slay queen...
Kupigana na maradhi mengine
Ikiwa katika mji magonjwa yalizidi kwa watu mkubwa wa mji hupigisha ramli kusudi apate njia ya kuzuia magonjwa hayo yasizidi, pia apate kufahamu ni mambo gani yaletayo magonjwa mjini mwake.
Mara nyingi waganga walikuwa wakiwaambia kuwa moto unaotumika mjini mwao...
Wakati wa uanzishwaji wa falsafa ya ujamaa na kujitegemea, Mwalimu alitaja maadui watatu wakubwa wa kupambana nao ili taifa liweze kupata ustawi ulio bora maadui hao ni pamoja na :-
i, UJINGA
ii, UMASIKINI
iii, MARADHI
Ningependa kumzungumzia huyu adui namba moja ambaye ni Ujinga.
UJINGA
Kwa...
Hahahaaaaa wabongo bhana cjui ni nani anaewauzia tumbaku yaan kabla hamjavaa sox mnaanza kuvaa viatu alfu ndo mvae sox kwel viatu
vichwa box rafu Leo mmechezea sharubu za rock city sa nawafanya wafu.
Hivi kwann watanzania ni watu wa ajabu Sana ujinga ukabila ujuaji na ushamba ambao wametoka...
Vipi!
Ujue mimi nawashangaa sana watanzania ambao mna kazi ya kucheka watu kuwa wamezeeka mara maji ya jioni hivi kuna mtu ambaye hatazeeka atabaki hivyo hivyo?
Kuna baadhi yaa watu maarufu huwa wanachekekwa kuwa wamezeeka swali mlitaka wasizekee? Mtu unashinda Tandika mpaka jua lina zama...
Mliki frustrate wenyewe mapema sana. Mara hamtaki kuingia vyumbani mara sijui nini. Sisi wengine tuliwaeleza nyie mkatulie mcheze mpira Simba wanafungika.
Tukawaambia mkawakabe watu flani. Mmeenda kufanya mambo ya kujichosha akili mapema. Mnagoma kuingia vyumbani. Halafu mlivyowajinga mnacheza...
Hello walimwengu.
Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga mitihani tofauti tofauti kama wanalijua hilo, je hawajui kuna shule wanafunzi wanafika form4 bila...
Ninawasalimu kwa jina la Chama pendwa, CCM.
Kwanza tuanze kufahamu nini maana ya PRANK. Kwa tafsiri nyepesi ni mzaha wa kumfanyia mtu ili kujifurahisha. Yaani kama utani tu. Sio jambo geni kwasababu hata majumbani mwetu wanafamilia huwa tunataniana sana. Kwa mfano mama na mwana au mara chache...
Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana!
Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa!
Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na...
Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama
Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za...
Kumbe ni kweli Feisal amevunja mkataba Yanga ila viongozi wanatudanganya tu. Leo kupitia account yake ya insta amepost akiwa anafanya mazoezi na uongozi wake mpya.
Nimeumia sana.
Nisiwachoshe sana na salamu niende Moja Kwa moja kwenye mada
Iko wazi kwamba no free lunch or dinner kama hutaki kuamini ngoja siku uje kusukumwa tope🤣
Siku hizi vijana wanaamini kwenye kamari na bahati nasibu,
Ila katika vitu vimeleta uvivu katika kujituma pamoja na fikra basi ni kamari...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa Barabara ya Inyonga-Mlele na kukabidhiwa kwa halmashauri hiyo.
Watumishi ambao ameagiza wahamie kwenye nyumba hizo ni Afisa Usalama wa Wilaya (DSO), Kamanda...
Sitasahau kama ilivyo kwa kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hii.
Kulifanyika mambo ya ajabu sana yaliyotudhalilisha Watanzania na yaliyolidhalilisha taifa.
Kamwe tusirudie tena.
Pichani: Maafisa vipenyo wakiwa kwenye moja ya migahawa ya Bunge wakipima ukubwa wa samaki aliyepikwa.
Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani.
Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.
Wanabodi,
Makala ya Jumapili ya leo.
Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia lazima tukubali, hapa tulipo, sipo mahali tungepaswa tuwe, tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.