Enzi za Mao, China ilikuwa nchi ya kikomunisisti iliyoamini katika Sera za Ukomunisti.
Pamoja na Ukomunisti wa China, Rais wa kwanza wa China, Mao aliamini kuwa ni lazima apeleke vijana nje ya China wakajifunze Dunia inaendaje na ikoje ili warudi kufanya mabadiliko China.
Moja ya vijana hao...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo.
Kama kawaida yangu, kila nipotapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazozungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, na hufanywa kwa mtindo wa maswali fikirishi, kisha...
Kila mtu hapendi aibu na kushuka. Hata Nabi na wachezaji wanaoondoka Yanga baada ya kuipa Yanga Mataji mengi na kucheza finali ya CAF wangependa kuondoka na sifa Yao hiyo kama ikiwezekana.
Ukiona kocha, mchezaji au mfanyakazi yeyote anaendelea kubaki kwenye kituo chake Cha kazi kwa muda mrefu...
Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu.
Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua...
Eti msiba wa wengi ni harusi! Jiulize mbona matanga hayalaliwi ukumbini kwa taarabu na slow jam?
Eti siogopi kudaiwa, serikali yenyewe inadaiwa! Jiulize deni la nchi analipa nani kama sio wewe? Halafu tafakari lini serikali ilibeba deni lako? Akili itakaa sawa pindi utakapolala nje au kurudi...
1. Kwanini kwenye usafiri wa ndege huwa hawapigi mziki mkubwa kama alivyo kwenye basi? Halafu angalia aina ya watu wanaopanda basi na wale wanaopanda ndege.
2. Kwanini maeneo kama Masaki, Upanga na Osterbay hayana kelele, ukilinganisha na Bugurini, Mwananyamala n.k, halafu angalia aina ya watu...
Wakuu naomba kuuliza, kuna shule ipo mikoa ya kaskazini inaitwa PATANDI MAALUM SCHOOL, sasa nilitaka kujua ipo mkoa gani, na jografia yake ili ufike upande gari za wap na wapi, kuuliza si ujinga.
Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga.
Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza...
Ebwanaeeeeeeee, za leooo.
Moja Kwa moja kwenye mada.... Hivi nyie wanawake mkoje.... Hasa mnaoshinda nyumbani wakati sisi tupo kutafuta na kuvuja majaisho huko mtaani.
Iko hivi... Mimi huwa sipendi kununua vitu kidogo kidogo maana naona inakuwa gharama Sana kuliko ukanunua kwa wingi, mfano...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zikijadili jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa letu. Makala hizi huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utalitoa wewe mwenyewe msomaji.
Makala ya leo ni kuhusu...
Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu yupo na dada mmoja ambaye wayback alikuwa mteja alinijumlishia sana michele, baada ya stori za hapa na...
Hili suala la kugongeana wapangaji sijui wenye nyumba kwangu halijakaa poa kabisa.
Unajua kabisa ana mtu wake either anakuja au anaishi hapo, hadi muda mwingine wakiwa ndani unapunguza sauti ya redio yako usikie wanachofanya and then akiondoka na wewe unamendea.
Unaona mwamba/demu kaingiza...
Ujinga wa Elon Musk ni pale pesa yake inaweza kubadili sayansi ya Mungu. Elon Musk ana mkakati kabambe wa kuhamishia makazi yake kwenye sayari ya Mars na tayari tunaambiwa Huko mji umeshaanza kujengwa
Mungu ametupa Dunia Moja tu kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi, tumeichafua na kuinajisi kwa...
Tanzania ni nchi ya aina yake kulinganisha na zingine zote duniani. Kwa hakika ni halali wengine kuiita kuwa ni nchi ngumu sana.
Chukua muda uisome nchi hii kupitia kwa watu wake. Zanzibar wanaweza kuwa tofauti, lakini si bara.
Inasikitisha kuwa Tanzania bara ni jamii ya watu waliojaa...
MAREHEMU BETTY AJENTA CHARLES:
Hadithi ya Betty Ajenta Charles (pichani), inasikitisha. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika sakata linaloendelea nchini Kenya la Mchungaji Paul Mackenzie ambaye anawafungisha Wakenya hadi umauti ("Fasting to Death") ili wafike Mbinguni...
Nimejiuliza sana tena sana, kwanini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani?
Wanasiasa hao huja na vijizawadi vya kipuuzi kama vile chumvi ya mawe, kofia, tisheti na sabuni za vipande na kuwapa wapiga kura ili wawachague na wakishapewa kura...
Sipo hapa kuponda binadamu mwenzangu kwa kuwa me najifunza na kuhoji ili nizidi kupata Maarifa,
Elimu, inamapana yake kwahiyo hata kama uko na Elimu.. uko na Elimu kuhusu issue fulani ila sio kila kitu Duniani _Ndo maana mwenyezi Mungu kila mja wake kamfanya awe na kipaji chake au kalama yake...
Ilikuwa leo katika ibada maalum ya kumuaga Marehemu askofu wa Jimbo kuu la wakatoliki Mbeya iliyofanyika Makao makuu ya baraza la maaskofu Tanzania Kurasini jijini DSM.
Alipopata fursa ya kutoa salam Mh Rais Magufuli alisema sitamumunya maneno, Nampongeza marehemu askofu Chengula kwa mema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.