ujumbe

  1. M

    Ujumbe kwa wanasiasa wanaoftarisha

    Tuusikilize kwa makini
  2. Kwa ambaye hatamuelewa hapa Mchambuzi Oscar Oscar kwa huu Ujumbe wake Murua na wa Ukweli kabisa basi akapimwe Akili Mirembe haraka sana

    "Kama kweli mmepeleka Basi lenu Bunju, basi hata wale Wahuni wa juzi Uwanjani kwa Mkapa mliwatuma nyie" Oscar Oscar. Huenda Oscar Oscar nae kausahu ule Uchambuzi kuwa Wapumbavu na Vibaka wengi Kariakoo wanatoka huko huko.
  3. Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  4. U

    SI KWELI Papa amesema kuwa Wakatoliki wale chochote wanachokitaka wakati wa Kwaresima kwa kuwa dhabihu haipo tumboni bali moyoni

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: “Eat whatever you want during Holy Week, the sacrifice is not in the stomach but in the heart. People abstain from eating meat, but they do not talk to their siblings and/or relatives, they do not visit their parents and do not...
  5. C

    Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  6. L

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi Aongoza Ujumbe wa CCM katika mazishi ya Baba wa Taifa la Namibia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea...
  7. Ujumbe maalumu toka mimbari za ijumaa

    Huu ni Uzi maalumu kwa waislamu katika siku za ijumaa kupeana taarifa umeswali ijumaa msikiti gani, khatibu wa ijumaa alikuwa sheikh au Ustaadh gani na mada ya khutba ya ijumaa ilizungumzia nini. Kwa kuanzia , Leo mimi nimeswali swala ya ijumaa katika msikiti wa Abuu Dharri Jundub bin Junada...
  8. Natamani kuonana na Rais Samia, “face to face and privately”. Nina ujumbe wake, nitamfikiaje?

    Amani iwe kwenu nyote, Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
  9. Aziz Ki kutoa mpira wake kwa sureboy anatuma ujumbe gani kwa nani?

    Je, ni rafiki yake?; je, anampa pole kwa kusugua benchi? je , anawalaumu makocha kwa kutompa nafasi Sureboy ya kucheza? Au ni nini alimaanisha?
  10. I

    Nimepokea ujumbe huu kutoka kwa mpenzi wangu wa utotoni..nimjibu nini?

    Habari zenu walipa kodi wenzangu. Nanukuu nilichoandikiwq na huyu mrembo wa kisambaa. "To you the love of my life" You are just what I dreamed,my sweetheart would you be my valentine? Nimjibu nini asa hapa?
  11. Hii nyimbo ina ujumbe murua kabisa -ACHA TAMAA 🎶

    Acha tamaa mwangu yo Amenikanya Mama alienizaa Jichuuunge yeye amesema yeye yeyee Tukitafuta pesa eti tutaigaaa tabia mbaya Hakuna aliezaliwa ni mwizi Saviè Kandoro Papa Hakuna aliezaliwa ni kahaba Issa Mambombe Tip-fire Tabia hizo mbaya twaziiga tukitafutaa Pesa Binadamu hukubari afanye jambo...
  12. Job Ndugai, Ujumbe Wako Tumeuelewa Tutatekeleza na Kuueneza Watu Wengine Wauelewe.

    Hakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi. Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa. Sasa kwa kuenzi huo ukweli aupendao mwenyezi Mungu tumekuelewa na tutausambaza kila kona ya nchi na...
  13. Rais Kagame ataka M23 watambuliwe na Serikali ya DR Congo

    Kagame ameleta msimamo wa M 23 kuwa watambulike na congo DR, sijui ni kivipi serikali ya Congo haiwatambui Wanyamulenge? RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesema nchi yake haiwezi kukaa kimya wakati usalama wake unahatarishwa na DRC na kubainisha kuwa Rwanda imejaribu mara nyingi kuzungumza na...
  14. Ahmed Ally amtetea Chasambi baada ya kujifunga bao lililoigharimu timu yake

    Rasmi leo ndio umekua mtu mzima wa kimpira, ingekua kimaumbile tungesema umebaleghe hii leo Matusi, kejeli, na dhihaka zote utakazopokea leo ni ukaribisho kwenye ukubwa wako, yasikutishe tamaa na wala yasikuvunje moyo, KARIBU UKUBWANI Umeumiza mioyoo ya Wana Simba, lakini wewe sio wa kwanza...
  15. Hotuba ya masaa 7 mfululizo ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?

    LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
  16. Simu inatuma huu ujumbe kila wakati Kwa namba nisizozifaham

    Kuanzia Jana simu yangu kupitia mtandao wa Yas imekuwa ikituma hii sms Kwa namba nyingi nisizozifahamu. Kila baada ya dakika kadhaa nakuta imetuma tu Kwa namba nisioifahamu. Hii itakuwa nini?
  17. T

    Ujumbe kwa wizara ya Afya-Sitisho la misaada ya Marekani lazua Taharuki

    Wiki hii taarifa kutoka shirika la misaada la USAid kwenda kwa Taasisi mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Benjamin Mkapa juu ya kusitisha ufadhili wa miradi inayohudumia waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI na Magonjwa ya kuambukiza ikiwemo TB limeleta taharuki hasa kwa wagonjwa wanaohudumiwa na mradi huu...
  18. Mambo ambayo hayajadiliwi kai

    ...
  19. A

    Huu ujumbe wa RITA kwenye kuhakiki cheti cha kuzaliwa una maana gani

    Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi unaisha aisee
  20. FidQ: anatuachia ujumbe mkubwa sana kwenye Ngoma yake ya SUMU, tuijadili

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Ngoma inaitwa SUMU imeimbwa na Farid kubanda FidQ Ina maneno ambayo yaanza kwa kisukuma lakin nitayatafasiri Kwakifupi Ngoma hii imesheheni ujumbe mzito sana Watukuobhutaga magulu wakusege, kwalounguno ya bhulema wako, Bhene bhalelemeja bhango jako douhu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…