Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka tarehe 25 Oktoba, 2025.
Kila nikiangalia nyuzi mbalimbali naona ukavu katika kila eneo la maisha ya mtu, ukavu kwenye mahusiano, ukavu kwenye suala la utafutaji wa pesa, wengine ni wagonjwa na wengine wamesongwa na msongo wa mawazo maishani mwao, hawaoni muelekeo. Wengi wanalia kwasababu ya usaliti katika mahusiano na...
Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na mtu.
Pengo la uhusiano mnalolitengeneza kati yenu na raia wa kawaida, mtakuja kuliona nyakati zijazo...
Ujumbe wa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama baada ya Tanzania kupangwa kundi F sambamba na timu yake ya Taifa ya Zambia, DRC na Morocco kwenye droo ya upangaji wa makundi ya fainali za kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023.
“Ndugu zangu Watanzania, hatimaye yametimia, tukutane Cote D'Ivoire!”...
Katika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari (dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi! Hili lilirudiwa mara mbili.
Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi...
WAZIRI DKT. NDUMBARO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA WATEMBELEA UBALOZI MISRI KATIKA KUPIGA KURA NCHI MWENYEJI MASHINDANO YA AFCON 2027
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 25, 2023 ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Ubalozi Cairo nchini Misri kabla ya siku ya...
Ni muendelezo wa kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wanabwata ya kwamba kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu, kwa walioangalia mpira wa Al ahly na USM alger atakubaliana na mimi ya kwamba yanga alicheza fainali na timu bora barani afrika kwa sasa.
Pamoja na yanga kukutana na timu bora...
Nipo hapa natazama the spark ya Clouds Tv kinachorushwa kila siku za wiki saa 11 jioni hadi 12.
Namwona Miss Lolo ambaye ni Mtangazaji wa kipindi amevaa blausi ya kijani mpauko kimeabdikwa "Your boyfriend Loves me".
Maana yake Rafiki yako wa kiume ananipenda. Watangazaji wa Tv huwa...
Salam Dkt. Kusiluka,
Tafadhali naomba uwepo MWONGOZO wa kuwatumia wastaafu kama watu binafsi kwenye mambo ya serikali, la kama wana jambo au maoni yoyote mazuri kwa nchi washauriwe kuanzisha TAASISI zao kama alivyofanya Mzee Ludovick Utto kwa kuanzisha Taasisi ya WAJIBU.
Ili serikali au nchi...
Imekuwa kama fashion kwamba karibu kila mwandishi akiandika jambo kuhusu Tanzania, lazima amnukuu Mwalimu Nyerere. Wanasiasa na wanazuoni pia hivyo hivyo, kila speech lazima wamnukuu Mwalimu Nyerere.
Huwa najiuliza, kwani wazee wengine hawakuwa na mawazo? Hayajaandikwa? Hawakutoa speeches...
Azam complex ni uwanja wa Azam, kama uchawi unacheza mpira Azam walikuwa na muda wa kufanya kafara zote kama Popoma mkuu anavyoamini uchawi unacheza mpira.
Wakati Yanga wametulia kimya Avic town kuna wazururaji wa Msimbazi na Chamanzi walini kwenda kuzurura nje ya Tanzania ndio kuandaa timu...
PAPA FRANCIS ALISEMA: "Fikiria mama asiye na mume anayeenda kanisani au parokiani, na kumwambia katibu: NATAKA KUBATIZA MWANANGU, na mhudumu anasema: 'Hapana, huwezi, kwa sababu hajaolewa..."
Tukumbuke kwamba. Mama huyu alikuwa na ujasiri wa kuendelea na ujauzito - na ni kitu gani kilichompata...
Je, mdau unadhani wako sahihi kuomba radhi kwa jambo la mteja?
The Cask Bar and Grill wameomba radhi baada ya kuona video ya wateja wao wakiwa wametumia banner ya the Cask kuweka ujumbe uliosomeka "Okoa Bandari"
The Cask wameomba radhi kwa tukio hilo na kusema kuwa banner yao hutumika na mteja...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.
Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.