ujumbe

  1. Rais Samia aongoza kikao ujumbe rasmi wa Tanzania na Zambia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka tarehe 25 Oktoba, 2025.
  2. Friday quote

    "Forgetting is good for the brain: deleting unnecessary information helps the nervous system retain its plasticity."
  3. S

    Ujumbe wa Jumapili: Je, kuna maeneo yaliyokauka katika maisha yako? Nina ujumbe kwako

    Kila nikiangalia nyuzi mbalimbali naona ukavu katika kila eneo la maisha ya mtu, ukavu kwenye mahusiano, ukavu kwenye suala la utafutaji wa pesa, wengine ni wagonjwa na wengine wamesongwa na msongo wa mawazo maishani mwao, hawaoni muelekeo. Wengi wanalia kwasababu ya usaliti katika mahusiano na...
  4. Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na mtu. Pengo la uhusiano mnalolitengeneza kati yenu na raia wa kawaida, mtakuja kuliona nyakati zijazo...
  5. Clatous Chama (Triple C) amewatamani sana Watanzania, katuma ujumbe wa salamu dhidi ya Taifa Stars

    Ujumbe wa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama baada ya Tanzania kupangwa kundi F sambamba na timu yake ya Taifa ya Zambia, DRC na Morocco kwenye droo ya upangaji wa makundi ya fainali za kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023. “Ndugu zangu Watanzania, hatimaye yametimia, tukutane Cote D'Ivoire!”...
  6. Ujumbe kwa Joyce Mhavile: Waandishi wako hawajui tofauti ya Mahatma Gandhi na Indira Gandhi - pathetic!

    Katika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari (dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi! Hili lilirudiwa mara mbili. Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi...
  7. Kakobe: TANESCO mwogopeni Mungu!

    http://www.youtube.com/watch?v=tPK7kXLgkH4
  8. Ujumbe wa Tanzania Watembelea Ubalozi Misri

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA WATEMBELEA UBALOZI MISRI KATIKA KUPIGA KURA NCHI MWENYEJI MASHINDANO YA AFCON 2027 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 25, 2023 ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Ubalozi Cairo nchini Misri kabla ya siku ya...
  9. Bingwa wa CAF Super Cup katokea kombe la shirikisho ni ujumbe tosha ya kwamba Yanga wapewe maua yao

    Ni muendelezo wa kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wanabwata ya kwamba kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu, kwa walioangalia mpira wa Al ahly na USM alger atakubaliana na mimi ya kwamba yanga alicheza fainali na timu bora barani afrika kwa sasa. Pamoja na yanga kukutana na timu bora...
  10. Weka picha yenye ujumbe hapa

    Mfano...
  11. Ukipata Ujumbe Huu Sambaza

  12. F

    Miss Lolo wa Clouds TV na ujumbe wa "Your boyfriend Loves me"

    Nipo hapa natazama the spark ya Clouds Tv kinachorushwa kila siku za wiki saa 11 jioni hadi 12. Namwona Miss Lolo ambaye ni Mtangazaji wa kipindi amevaa blausi ya kijani mpauko kimeabdikwa "Your boyfriend Loves me". Maana yake Rafiki yako wa kiume ananipenda. Watangazaji wa Tv huwa...
  13. Habari Picha: Hii picha imebeba ujumbe gani?

    the THE BIG SHOW, FaizaFoxy na Lucas mwashambwa njooni mtueleze
  14. T

    Ujumbe Mahsusi kwa KMK

    Salam Dkt. Kusiluka, Tafadhali naomba uwepo MWONGOZO wa kuwatumia wastaafu kama watu binafsi kwenye mambo ya serikali, la kama wana jambo au maoni yoyote mazuri kwa nchi washauriwe kuanzisha TAASISI zao kama alivyofanya Mzee Ludovick Utto kwa kuanzisha Taasisi ya WAJIBU. Ili serikali au nchi...
  15. M

    Kwanini kila mwandishi akiandika jambo kuhusu Tanzania, lazima amnukuu Mwalimu Nyerere?

    Imekuwa kama fashion kwamba karibu kila mwandishi akiandika jambo kuhusu Tanzania, lazima amnukuu Mwalimu Nyerere. Wanasiasa na wanazuoni pia hivyo hivyo, kila speech lazima wamnukuu Mwalimu Nyerere. Huwa najiuliza, kwani wazee wengine hawakuwa na mawazo? Hayajaandikwa? Hawakutoa speeches...
  16. Kutolewa kwa Azam kwenye Mashindano ya Caf ni ujumbe tosha

    Azam complex ni uwanja wa Azam, kama uchawi unacheza mpira Azam walikuwa na muda wa kufanya kafara zote kama Popoma mkuu anavyoamini uchawi unacheza mpira. Wakati Yanga wametulia kimya Avic town kuna wazururaji wa Msimbazi na Chamanzi walini kwenda kuzurura nje ya Tanzania ndio kuandaa timu...
  17. M

    Ujumbe kwa Anthony Lusekelo anayeamini ana tiketi ya mbinguni tayari pamoja na wanaojiita walokole

    PAPA FRANCIS ALISEMA: "Fikiria mama asiye na mume anayeenda kanisani au parokiani, na kumwambia katibu: NATAKA KUBATIZA MWANANGU, na mhudumu anasema: 'Hapana, huwezi, kwa sababu hajaolewa..." Tukumbuke kwamba. Mama huyu alikuwa na ujasiri wa kuendelea na ujauzito - na ni kitu gani kilichompata...
  18. M

    SI KWELI Shemasi ‘George Rugambwa’ awauliza maswali sita Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    Kuna ujumbe unasambazwa WhatsApp, una kichwa kinachosema Maswali Sita kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) je, ni wa kweli?
  19. Imekuwaje The Cask Bar waombe radhi kwa wateja wao kuwa na ujumbe wa kuokoa bandari?

    Je, mdau unadhani wako sahihi kuomba radhi kwa jambo la mteja? The Cask Bar and Grill wameomba radhi baada ya kuona video ya wateja wao wakiwa wametumia banner ya the Cask kuweka ujumbe uliosomeka "Okoa Bandari" The Cask wameomba radhi kwa tukio hilo na kusema kuwa banner yao hutumika na mteja...
  20. Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023. Rais wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…