ujumbe

  1. Vijana ujumbe wenu huu hapa

    20-30 Years, Kijana wa Kiume hana kazi, Hana kipato cha uhakika na bado kijana huyu kipaumbele chake ni:- Kupendeza. Nywele azifanye dread au azifuge tuu Nguo anataka avae brand Amiliki iPhone macho matatu Anukie vizuri Batani asikosekane. Aaah!!! Shairi la kijana wa sasa gumu
  2. W

    KWELI Julius Malema atuma ujumbe kwa Odinga unaomtaka aache maandamano na kuvuruga amani ya Kenya

    Kiongozi mkuu wa Chama cha EFF amemtaka Raila Odinga kuacha maandamano na kukubali kuwa alishindwa. Amesema pia aache kuvuruga amani nchini Kenya kwani Rais Ruto alipita kwa haki. Julius Malema akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya EFF
  3. Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe, Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa uliowasilishwa kwake na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru kutoka Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange...
  4. TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari. Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
  5. Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World. === Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye reli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye utendaji wake wa kazi...
  6. C

    Ujumbe wa Dr. John Karugia: Watanzania lindeni sana rasilimali zenu

    Watanzania wapendwa, China ilipokuwa na nia ya kuwekeza 35% katika bandari ya Hamburg ambayo ni bandari kubwa kabisa Ujerumani, bunge la Ujerumani, wizara sita za Serikali ya Ujerumani na Usalama wa Taifa (yaani Foreign Intelligence Service) ya Ujerumani na European Commission wote walikataa na...
  7. F

    Video: Mchungaji Anthony Lusekelo awaonya wakristo madhehebu mengine wasiende kwenye makanisa ya maombezi watatapeliwa!

    Ujumbe huu umenishtua kidogo lakini naamini ni ujumbe wa dhati, unabeba ukweli mkubwa sana kuhusu makanisa yanayoibuka hovyo kila siku. Mchungaji Lusekelo anasema ni afadhali wakristo wa madhehebu ya zamani wabaki kwenye makanisa yao kuliko kukimbilia miujiza kwenye makanisa ya maombezi kwani...
  8. Rais Samia Atoa Ujumbe wa Eid Al Adh'haa, Awakumbuka Wenye Uhitaji

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za heri ya sikukuu ya Eid el Adh’haa kwa dua maalum akiwataka Watanzania kusherehekea kwa amani, umoja na upendo. Ametuma salamu hizo leo Alhamisi Juni 29, 2023 kupitia kurasa za mitandao yake ya kijamii huku akiwahimiza Waislamu kutumia siku...
  9. L

    Ziara ya ujumbe wa viongozi wa Afrika nchini Ukraine na Urusi yaonesha kuwa na Mafanikio

    Ujumbe wa nchi za Afrika ulioongozwa na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ulifanya ziara nchini Ukraine na Russia, na kukutana na viongozi wa pande hizo mbili ukitafuta njia za kutatua mgogoro huo ambao umekuwa na madhara kwa nchi mbalimbali za Afrika. Ujumbe huo ni moja ya juhudi za jumuiya...
  10. C

    Hivi Hayati Magufuli angekubali huu ujinga wa kugawa Bandari?

    Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa. Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani. Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
  11. Hivi kuna wimbo mzuri wa mapenzi na mahusiano wa Kiswahili mzuri na wenye ujumbe konki kuliko huu?

    Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu. Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo na Juliet-unaweza ukadhani hamna kifo.
  12. Ikulu ya Magogoni iwaruhusu Deus na wenzake kupeleka ujumbe wao

    Sioni sababu yoyote ya Polisi kuzuia hayo màndamano. Kamanda wa Polisi Temeke awaruhusu hawa vijana kufanya hayo maandamano. Hili ni swala ambalo ingawa serikalini wamemaliza mjadala,lakini wananchi wengine bado wanalijadili. Hili swala la maandamano halikatazwi Kikatiba siyo sawa kwa Polisi...
  13. Mayele atoa elimu kuhusu mfungaji bora. Huyu hapa.

    Venus Star na makolo wengine hawataki kabisa kusikia ukweli huu unao wauma mno.
  14. Ujumbe wa Kamonga siku ya Mazingira Duniani

    Mchekeshaji anayetoa elimu pia, Kamonga ametuma ujumbe kuwa "Leo Juni 5, tunasherehekea Siku ya Mazingira Duniani, siku ambayo inatuwezesha kutafakari umuhimu wa mazingira yetu na wajibu wetu wa kuyalinda. "Ni wakati muhimu sana kwa taifa letu kujikita katika juhudi za kuthibiti magonjwa ya...
  15. Kuna ujumbe wenu huku wadada wazuri

  16. TRA unahimiza matumizi ya EFD halafu mnawazimia wafanyabiashara kuzitumia kwa Ujumbe 'Device Blocked by TRA'

    Wako wafanyabiashara kadhaa EFD zao zimezimwa na TRA na zinaonyesha ujumbe mzuri kabisa DEVICE BLOCKED BY TRA bila kusema sababu. Hii inawezekanaje wakati ambao TRA inahamasisha toa risiti dai risiti?!
  17. Kwa nini ndoto haziji zikiwa na ujumbe moja kwa moja?

    Habari, Sidhani kama kuna binadamu ambaye haoti ndoto! Kwanini Ndoto nyingi tunazoota, ukitafuta Tafasiri za ndoto toka kwa watu wa kiroh zinakupa ujumbe tofauti na ulivyoota! Mfano: ~ Utaota unagalagala kwenye kinyesi, tafsiri itasema utapata pesa nyingi karibu! ~ Utaota unapigana na vibaka...
  18. S

    SoC03 Nikifa tafadhali mpeni mwanangu ujumbe huu

    Maisha ya siku hizi yamegubikwa na vitu vingi sana ambavyo kiuhalisia vinaficha uhalisia wa maisha yetu waafrika, Ninaweza kusema kuwa haya ndiyo maendeleo lakini isifike mahali tukasahau kabisa tulikotoka na kuuvaa umagharibi moja kwa moja katika chapisho hili ninakwenda kuikumbusha jamii...
  19. WATOTO WASIOZALIWA: Ujumbe wa Mawazo na Hisia

    WATOTO WASIOZALIWA 1. LETTER TO MY UNBORN CHILD - 2 PAC Pac anamwandikia barua mtoto wake ambaye bado yupo tumboni mwa mama yake na KUMWAMBIA UKWELI kuhusu dunia hii. Mistari ambayo inanigusa zaidi humu ni hii ifuatayo; "MY ONLY FRIEND IS MY MISERY." 00:48 (Rafiki yangu wa pekee ni mabalaa...
  20. S

    Ujumbe wa Feisal Baada ya Kushindwa Kesi dhidi ya Yanga

    Post ya Feisal baada ya Maamuzi ya kamati na hadhi ya wachezaji ya TFF
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…